Recent posts
18 August 2025, 12:48
Wananchi Malechela waiomba serikali kuwakumbuka nishati safi
Fursa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia itawapunguzia wanawake kutumia muda mrefu wa kutafuta kuni kwaajili ya kupikia. Na Victor Chigwada.Wananchi wa vitongoji vya Sokoine na Malechela wameiomba Serikali kuwakumbuka katika miradi ya uhamasishaji wa matumizi ya Nishati mbadala…
14 August 2025, 18:18
DUWASA yakamilisha zoezi la ulipaji fidia
Baadhi ya maeneo hayo ni pamoja na Nzuguni, Zuzu Nala, Nala Chihoni na Kibaigwa. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya Maji, imekamilisha zoezi la ulipaji wa fidia yenye jumla ya Shilingi Milioni 999 kwa wananchi 103…
14 August 2025, 17:40
Yafahamu maua kwa ishara ya usafi na uwiano wa asili
Ethaning Flowers wanaamini kuwa utunzaji wa mazingira na maua ni mambo yanayoshirikiana kwa karibu. Na Lilian Leopold. Katika ulimwengu wa leo unaokabiliwa na changamoto za mabadiliko ya tabianchi na uchafuzi wa mazingira, Ethaning Flowers wamejipambanua kama taasisi inayothamini uzuri na…
14 August 2025, 17:01
NGOs zatakiwa kutekeleza majukumu kwa kuzingatia uwazi
Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na mashirika haya ili kuimarisha ubora wa huduma, kuendeleza mshikamano wa kijamii, na kuchochea maendeleo endelevu kwa manufaa ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Na Mariam Matundu.Serikali ina jukumu la kuhakikisha kuwa Mashirika Yasiyo Ya…
12 August 2025, 13:30
Uchukuaji wa fomu wabeba taswira ya democrasia
Picha ni Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo wakati akichukua fomu hapo jana Hafla hiyo imefanyika kwenye ofisi za Tume zilizopo Njedengwa Jijini Dodoma.Picha na Tume ya uchaguzi. Wachambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii…
12 August 2025, 11:27
NGO’s zatakiwa kuwajibika katika kuwahudumia wananchi
Naibu Waziri Mwanaidi ameeleza kwamba uwazi na uwajibikaji wa Mashirika hayo ndiyo msingi wa kutambuliwa kwa mchango wao katika maendelo ya Taifa. Na Mariam Matundu.Mashirika yasiyo ya Kiserikali yametakiwa kuwa wazi na kuwajabika katika utekelezaji wa majukumu yao hasa kuwahudumia…
11 August 2025, 13:58
Ubovu wa barabara wakwamisha biashara Kiteto
Ubovu wa barabara umekuwa chanzo cha magari ya eneo hilo hasa mabasi ya abiria kuharibika mara kwa mara. Na Kitana Hmais.Inaelezwa kuwa Kutokutekelezwa kwa ahadi ya Barabara ya lami kiteto kumefanya Wananchi kutotimiza malengo yao. Hali hii imepelekea wafanyabiasha wa…
8 August 2025, 16:08
Unyonyeshaji wafikia asilimia 66 nchini
Wiki ya unyonyeshaji inakwenda na kaulimbiu isemayo thamini unyonyeshaji weka mazingira wezeshi kwa mama na watoto kupitia ligi ya mpira. Na Anwary Shaban. Takwimu za miaka 30 iliyopita zinaonesha unyonyeshaji wa mama kwa mtoto zilikuwa chini ukilinganisha na kwa mwaka…
8 August 2025, 15:42
Wadau sekta ya kilimo watakiwa kutimiza wajibu wao kwa weledi
Maadhimisho ya wakulima ya Nanenane mwaka huu yanafanyika kitaifa mkoani Dodoma, yakilenga kuhamasisha uzalishaji na matumizi ya teknolojia katika sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi. Na Seleman Kodima.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito…
8 August 2025, 15:15
Wajumbe Engusero walalamika kubadilishiwa namba
Awali wangombea walijinadi kwa kutaja Majina pamoja na namba kutokana na majina yao. Na Kitana Hamis. Wajumbe walio shiriki Uchaguzi wa Udiwani kata ya Engusero Wilayani Kiteto walalamika kubadilishiwa namba za wagombea na kujikuta wakiwapigia kura wagombea wengine. Wakizungumza Baadhi…