Recent posts
7 August 2025, 14:21
B.O.T yaanzisha mfuko maalum kwa wajasiriamali
Watanzania wanaweza kunufaika na udhamini wa mikopo hiyo kwa kupokea huduma za fedha kupitia taasisi zilisajiliwa na kusimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania. Na Lilian Leopold. Serikali katika kuhakikisha inaweka mazingira rafiki kwa wajasiriamali imeanzisha mfuko wa udhamini wa mikopo…
7 August 2025, 13:41
Waratibu GEF watakiwa kuchakata taarifa kwa uadilifu
Kwa upande wake Mwakilishi kutoka Zanzibar, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sitti Ali ameishuruku Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum kwa kufanikisha ushiriki. Na Mariam Matundu.Waratibu wa Programu ya Kizazi chenye Usawa wametakiwa…
7 August 2025, 12:50
Wagombea ubunge Mpwapwa walalamika rushwa kutawala
Wameyasema haya mala baada ya katibu wa chama hicho kutangaza matokeo ya uchaguzi wa majimbo ya kibakwe na Mpwapwa. Na Steven Noel. Baadhi ya wagombea wa nafasi ya ubunge Jimbo la mpwapwa wamelalamikia RUSHWA kutawala Katika uchaguzi kitu walicho kusema…
6 August 2025, 13:12
Jamii yatakiwa kuzingatia suala la unyonyeshaji
Wizara ya Afya inaendelea kuhimiza utekelezaji wa sera na hatua za kuimarisha mazingira yanayowawezesha mama kunyonyesha kwa uhuru. Na Lilian Leopold.Jamii imeshauriwa kuzingatia suala ya unyonyeshaji kwa watoto ikiwa ni njia ya ustawi wenye afya bora kwa watoto. Maadhimisho ya…
6 August 2025, 09:49
Serikali yatilia mkazo haki na usawa kwa wanawake
Ikumbukwe kwamba Programu ya Kizazi Chenye Usawa Tanzania (Tanzania Generation Equality Program). Utekelezaji wake unahusisha Wadau wa Sekta za Umma na Binafsi katika kipindi cha Miaka Mitano (2021/22 -2025/26). Na Mariam Matundu.Waratibu wa Programu ya kizazi chenye usawa (GEF) ngazi…
5 August 2025, 17:45
Dosari karatasi za kupigia kura zakwamisha uchaguzi
Amesema hitilafu katika uchapishaji wa makaratasi ya kupigia kura kwa baadhi ya majina ya wagombea kukosewa na kutoonekana imesababisha zoezi hilo kutofanyika. Na Kitana Hamis.Katibu Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Morogoro Nuru Ngereja ametolea ufafanuzi sababu za kata…
4 August 2025, 17:42
Wanaume watakiwa kushiriki wakati wa unyonyeshaji
Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji hufanyika kila mwaka kuanzia tarehe 1-7 Agasti Na LovenesMiriam. Imeelezwa kuwa ushirikishaji wa wanaume katika suala la unyonyeshaji kwa mama ni muhimu ili kuhakikisha afya ya mama na mtoto. Hayo yamebainishwa na Bi Neema Joshua…
4 August 2025, 16:15
Rais Samia Aongeza Nguvu kwa TADB
31 July 2025, 17:13
Washiriki 1163 kushiriki maonesho ya kilimo nanenane
Maonesho hayo yamebebwa na Kauli mbiu ya “Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025. Na; Mariam Kasawa. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli amesema kuwa washiriki wapatao 1163 wamethibitisha kushiriki katika Maonesho…
31 July 2025, 12:25
Mwanafunzi ajeruhiwa na pikipiki katika sherehe za harusi
Tukio hili limeibua maswali na mijadala mikali miongoni mwa wakazi wa mtaa huo, wakilalamikia ukosefu wa udhibiti wa vyombo vya usafiri katika maeneo ya makazi na hasa wakati wa shughuli za kijamii au sherehe. Na Joseph Gontako Katika tukio la…