Recent posts
4 May 2021, 09:44
Uongozi wa secondary ya Hombolo bwawani wakanusha taarifa ya kuadhibu wanafunzi…
Na; Benard Filbert Uongozi wa shule ya secondary Hombolo bwawani jijini Dodoma umekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wanafunzi wa kidato cha tano kuadhibiwa hadi kufikia hatua za kulazwa hospitali kutokana na uharibifu wa mali za shule. Akizungumza…
4 May 2021, 09:02
Jamii yaonywa kuacha kuwatumikisha watoto katika biashara.
Na; Thadey Tesha. Katika kuondokana na wimbi la watoto wanaojihusisha na shughuli za biashara wakiwa na umri mdogo jamii imeshauriwa kuacha mara moja vitendo vya kuwatumikisha watoto wadogo katika shughuli za biashara kwani kwa kufanya hivyo ni kosa kisheria. Akizungumza…
3 May 2021, 13:37
Elimu dhidi ya ukatili wa kijinsia imesaidia kuondoa ukimya kwa jamii
Na; Mindi Joseph Imeelezwa kuwa elimu ya kuzuia vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto imechangia wengi kuripoti hususani watoto wa kike katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Taswira ya Habari imezungumza Askari polisi wa Dawati la jinsia…
3 May 2021, 10:29
Ukosefu wa elimu ya Afya kwa mabinti ni sababu kubwa ya maambukizi ya virusi vya…
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa ili kuongeza ufahamu kuhusu masuala ya afya ya uzazi kwa vijana ni muhimu kuongeza wigo wa utoaji elimu hiyo pamoja na mazingira rafiki yanayomuwezesha kijana kupata elimu hiyo. Debora Frenk ni afisa mradi wa EPIC…
3 May 2021, 09:59
Wananchi Mbalawala waombwa kuchangia uboreshwaji maabara
Na ;Afred Bulahya. Wakazi wa mtaa wa Kawawa kata ya Mbalawala jijini Dodoma wameombwa kuchangia kiasi kidogo cha pesa kitakacho wezesha zoezi la uboreshaji wa maabara ya zahanati ya Lugala. Wito huo umetolewa na mwenyekiti wa kamati ya afya ya…
3 May 2021, 07:05
90,025 kuanza mitihani kidato cha sita
Na; James Justine KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde amesema, takribani wanafunzi 90,025 wameanza kufanya mtihani wa Kidato cha Sita kuanzia leo Jumatatu tarehe 3 hadi 25 Mei 2021. Dk. Msonde ametoa taarifa hiyo…
30 April 2021, 13:22
RAIS SAMIA SULUHU ASHINDA KWA KISHINDO UENYEKITI CCM
Na; Alfred Bulaya. Mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao umefanyika jijini Dodoma hii leo, umemchagua Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa. Rais Samia Suluhu Hassan ameteuliwa na…
30 April 2021, 12:59
Kushuka kwa bei ya mchele neema kwa walaji
Na; Salim Kimbesi. Imeelezwa kuwa kwa sasa bei ya mchele imeshuka sana sokoni kutokana na zao hilo kupatikana kwa wingi. Hayo yamesemwa na wafanyabiashara wa mchele walipo kuwa wakizungumza na Dodoma fm ambapo wamesema mchele kwa sasa unapatikana kwa wingi…
30 April 2021, 12:01
TACAIDS yawajengea uwezo wasichana kutambua haki zao
Na; Mariam Matundu. Tume ya kudhibiti Ukimwi nchini TACAIDS chini ya uratibu wa masuala ya ukimwi kwa mtazamo wa kijinsia imetoa mafunzo kwa wasichana na wanawake wanaoishi na virusi vya ukimwi ili kuwapatia utambuzi wa haki zao za msingi katika maeneo yao. Akizungumza…
30 April 2021, 09:36
WWF yaishukuru Serikali kwa kushiriki juhudi utanzaji wa Mazingira
Na; Benard Filbert. Shirika la uhifadhi wa mazingira Duniani (WWF) limeishukuru serikali ya Tanzania kwa kutoa ushirikiano katika kutekeleza majukumu ya utunzaji wa mazingira nchini hali ambayo imesaidia kuboresha mazingira kwa kiasi kikubwa. Hayo yamesemwa na Afisa mawasiliano kutoka shirika…