Recent posts
29 April 2021, 14:50
Upungufu wa vituo vya huduma ya Afya ya uzazi kwa vijana warudisha nyuma mapamba…
Na; Mariam Matundu. Upungufu wa vituo vinavyotoa huduma rafiki za afya ya uzazi kwa vijana umetajwa kuwa moja ya changamoto inayorudisha nyuma mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi . hayo yamesemwa na Rosemary Shani balozi wa wasichana balehe…
29 April 2021, 14:05
Usalama wanafanya kila mbinu kushinda mechi mbili zilizobaki baada ya kuchapwa…
Na; Matereka Junior.
29 April 2021, 13:36
Wafanyakazi waeleza matarajio yao kuelekea siku ya wafanyakazi (Mei mosi)
Na; Benard Filbert. Kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Mei mosi matarajio ya wafanyakazi wengi nchini ni kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja ili kuboresha utendaji kazi kwa maslahi yao na nchi. Hayo yamesemwa na Bw.Yusuph Mhindi ambaye ni mmoja wa…
29 April 2021, 13:15
Serikali yajipanga kuondoa mgao wa maji Nchini
Na;Yussuph Hans Serikali imesema inaendelea kujipanga kuhakikisha inaondoa adha ya mgao wa Maji kwa Wananchi katika maeneo mbalimbali hapa Nchini. Hayo yamebainishwa leo Bungeni na Naibu Waziri wa Maji Mh MarryPrisca Mahundi wakati akijibu swali la Mbunge wa Ndanda Mh…
29 April 2021, 06:52
Wakulima watakiwa kuwa na desturi ya kutoa taarifa kwa maafisa ugani, maendeleo…
Na; shani Nicolaus Wito umetolewa kwa wakulima kuwa na desturi ya kutoa taarifa kwa maafisa ugani kuhusiana na maendeleo ya mazao pamoja na aina ya viuatilifu vya kutumia kuhifadhia mazao yao. Akizungumza na Dodoma fm Afisa kilimo mkoa wa Dodoma…
29 April 2021, 06:35
Serikali kutunga sheria uvunaji wa viungo
Na;Yussuph Hans. Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel, amesema kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya upandikizaji wa viungo Nchini, Serikali imeandaa Muswada wa kutunga Sheria itakayoongoza taratibu za uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo Ameeleza hayo bungeni jijini Dodoma wakati akimjibu Mbunge…
29 April 2021, 06:17
Zahanati ya Chanhumba yakabiliwa na ukosefu wa dawa
Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji Cha Chanhumba Kata ya Handali Wilayani Chamwino wamelalamikia ukosefu wa dawa katika Zahanati ya Kijiji hicho hali inayowalazimu kununua dawa katika maduka ya dawa. Hayo yameelezwa na wakazi wa Kijiji hicho wakati wakizungumza na…
29 April 2021, 06:00
Diwani Nkonko aahidi kuwasaidia vijana kupatiwa mkopo na halmashauri
Na; Seleman Kodima. Diwani wa kata ya Nkonko wilayani Manyoni Ezekiel Samwel amesema ataendelea kupambana na kuhakikisha Vijana katika kata yake wanachangamka na Kupata mkopo unaotolewa Halmashauri kwa kundi la wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili kujikwamua kiuchumi, kujiongezea…
29 April 2021, 05:42
Miundombinu hafifu sera ya Elimu 2014
Na; Mariam Matundu. Wakati taasisi ya haki elimu ikitarajia kuzindua ripoti ya uchambuzi wa kina wa sera ya elimu leo April 29 ,miundombinu hafifu imetajwa kuwa kikwazo katika utekelezaji wa sera ya elimu ya mwaka 2014. Mwandishi wetu Mariam Matundu…
27 April 2021, 11:39
Mpalanga wakabiliwa na changamoto ya wahudumu wa Afya
Na; Victor Chigwada Kituo cha afya kilichopo katika Kijiji cha Mpalanga Wilayani Bahi kinakabiliwa na upungufu wa wahudumu wa afya pamoja na mganga mkuu hali inayodhohofisha utoaji huduma. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wananchi wa Kata hiyo wakati wakizungumza na…