Recent posts
16 November 2022, 12:28
Zaidi ya billioni 474 zinatumika kuagiza mafuta nje ya Nchi
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa iwapo mkakati wa kukuza na kuongeza uzalishaji katika zao la alizeti ukifanikiwa,serikali itafanikiwa kuokoa fedha nyingi ambazo zinatumika kuagiza mafuta ya kula nje ya Nchi . Akizungumza katika mahojiano maalumu na Dodoma fm naibu waziri…
16 November 2022, 12:19
Ukubwa wa riba kikwazo kwa wakopaji mikopo
Na; Eva Enock. Imeelezwa kuwa ukubwa wa riba pamoja na elimu juu ya matumizi sahihi ya fedha za mikopo ni miongoni mwa sababu zinazopelekea baadhi ya watu kushindwa kurejesha mikopo. Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi jijini Dodoma wakati wakizungumza…
27 October 2022, 10:35
Wakazi wa Gulwe wakosa mawasiliano ya simu
Na; Victor Chigwada. Changamoto ya mawasiliano katika Kijiji Cha Gulwe imeendelea kuwaathiri wananchi kutokana na uhaba wa minara ya mitandao ya simu. Wananchi hao wa Gurwe wamesema kuwa wamekuwa wakipata wakati mgumu wanapo hitaji kufanya mawasiliano kwa njia ya simu…
27 October 2022, 10:21
Wakulima Kongwa watakiwa kulima kilimo chenye tija
Na; Benard Filbert. Wakulima wilaya ya Kongwa wamehimizwa kutumia teknolojia ya kisasa yakuvuna maji na kutunza udongo ili kufanya kilimo chenye tija. Hayo yameelezwa na mkuu wa idara ya kilimo na mifugo wilaya ya Kongwa Bw. wakati akizungumza na taswira…
27 October 2022, 10:08
Rais Samia kutangaza matokeo ya awali ya sensa 0ct 31 Jijini Dodoma
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa maandalizi ya uzinduzi wa matokeo ya mwanzo ya sensa ya watu na makazi yamefikia hatua nzuri hivyo wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushuhudia matokeo hayo yakitangazwa. Hayo yameelezwa na mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary…
24 October 2022, 17:29
Play Woospin Casino’s Woospin for a Chance to Win Big!
Content Woospin Casino is a shining example of adventure and possibility in a world where gambling is more than a hobby. Woospin Casino provides an exciting experience that might alter your destiny, regardless of whether you’re an experienced player or…
24 October 2022, 17:27
Find Out How Australians Can Win Big at Ozwin Casino
Content No doubt you’re familiar with Ozwin Casino if you’re an Aussie in search of exciting online casino activity. Players from Australia who are looking to win big often choose Ozwin Casino because of its thrilling games and tempting jackpots.…
24 October 2022, 17:20
Discover Huge Wins with Woo Casino’s Freebies!
Content Do you feel like you’re ready to level up your gaming? At Woo Casino, you can win every game with free spins and bonuses, so be ready for an amazing adventure full of possibilities and thrills. Woo Casino offers…
21 October 2022, 10:42
Ukosefu wa wahudumu wa Afya katika Zahanati ya Chunyu wapelekea huduma hafifu
Na;Mindi Joseph. Ukosefu wa Wahudumu wa afya katika zahanati ya Chunyu wilayani Mpwapwa imetajwa kuwa changamoto inayowakabilia wananchi pindi waendapo kupata huduma nyakati za Usiku Akizungumza na Taswira ya habari Mwenyekiti wa Kijiji hicho Bw Abineli Masila amesema zahanati hiyo…
21 October 2022, 10:18
Wakazi jijini Dododma wafurahishwa na msamaha wa riba ya kodi ya Pango
Na; Mariam Matundu. Kufuatia Rais Samia Suluhu Hassan kutoa msamaha wa riba ya kodi ya pango la ardhi uliotolewa kuanzia mwezi julai hadi Desemba mwaka huu ,wananchi jijini Dodoma wameoneshwa kufurahishwa na hatua hiyo. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi…