Recent posts
7 December 2022, 11:41
Kiti mwenzo chamuwezesha Agness kurudisha tabasamu.
Na; Mariam Matundu. Familia ya mtoto Agnesi inayoishi kata ya makang’wa wilayani chamwino imerejesha matumaini baada ya diwani wa viti maalumu kumsaidia binti yao kiti mwenzo kinachomuwezesha kufika shule . .
7 December 2022, 11:29
Wananchi washiriki maendeleo ya kata Mparanga
Na ;Victor Chigwada. Kuongezeka kwa elimu ya ushiriki wa maendeleo katika jamii imesaidia kuongeza nguvu kwa Serikali juu ya utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazo wazunguka wananchi Hayo yanajiri baada ya wananchi wa Kata ya Mpalanga kushiriki pamoja kukusanya fedha na…
2 December 2022, 06:52
Kata ya majeleko yakamilisha ujenzi wa madarasa
Na ;Victor Chigwada . Ujenzi wa vyumba vya madarasa unaendelea kuwa kipaumbele katika maeneo mengi nchini ili kuendana na sera ya elimu bila malipo ambayo imechangia kuongeza idadi ya udahili wa wanafunzi. Mwenyekiti wa kijiji cha Chinangali one Kata ya…
1 December 2022, 08:22
Vijana jijini Dodoma kufikiwa na elimu ya maambukizi ya vvu
Na; Benard Filbert. Ofisi ya mganga mkuu wa Mkoa wa Dodoma imejipanga kuwafikia vijana ambao wanahisiwa kuwa na virusi vya Ukimwi kwa ajili ya kuwapa elimu katika vituo vya kutolea huduma rafiki ili kupunguza maambukizi hayo. Taarifa hiyo imetolewa na…
1 December 2022, 08:11
Wakazi wa Silwa walalamika kukosa huduma ya Umeme
Na; Victor Chigwada . Pamoja na jitihada za kusambaza umeme zinazo endelea nchini katika maeneo yaliyopo nje ya miji lakini bado baadhi ya maeneo yameendelea kuwa na kilio cha huduma hiyo. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi wa…
1 December 2022, 07:49
Mila na desturi kandamizi bado ni hatari kwa jamii
Na; Lucy Lister. Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine Duniani kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia wananchi jijini Dodoma wameeleza kuwa,bado kuna mila na desturi zinazokandamiza ustawi wa mtoto wa kike na mwanamke ikiwemo ukeketaji,kurithi wajane na kutopewa…
1 December 2022, 07:29
Serikali yasaini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato
Na; Mariam Kasawa. Baada ya miaka 12 Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato (PSA) kitalu cha RUVUMA – MTWARA. Mkataba huu unaweka utaratibu wa serikali kupata zaidi. Kwa mara ya kwanza Serikali inapata kwenye Mapato ghafi…
1 December 2022, 07:16
Bahi sokoni waiomba serikali kuongeza madara
Na; Benard Filbert. Wananchi wa wilaya ya Bahi Kata ya Bahi Sokoni wameiomba serikali kuongeza madarasa shule ya Msingi Bahi Sokoni ili kukidhi idadi ya wanafunzi waliopo katika shule hiyo. Wakizungumza na taswira yahabari wamesema ni vyema serikali ika ongeza…
23 November 2022, 13:45
Wananchi watakiwa kujitokeza kupata elimu ya utalii.
Na; Benard Filbert. Wakazi wa Mkoa wa Dodoma wameombwa kujitokeza kwenye tamasha la utalii katika eneo la Nyerere square tarehe 26 mwezi huu kwa lengo la kupata elimu ya utalii. Hayo yameelezwa na Dorothea Masawe kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa…
16 November 2022, 12:36
Wanafunzi watakiwa kuepuka hofu
Na; Lucy Lister. Hofu inayowakumba baadhi wanafunzi kipindi cha mitihani imetajwa kuwa ni moja ya sababu inayofanya wanafunzi wengi kufeli na wengine kukatisha masomo yao. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya walimu mkoani Dodoma wamesema kuwa hofu inaweza kumsababishia…