Recent posts
12 October 2022, 12:43
Uhaba wa madarasa Miganga wawanyima uhuru wanafunzi
Na; Benard Filbert. Uhaba wa madarasa katika shule ya msingi Miganga kata ya Idifu wilaya ya Chamwino imetajwa kuwa kikwazo cha wanafunzi kujifunza kwa uhuru. Hayo yameelezwa na wazazi wa wanafunzi katika kijiji cha Miganga wakati wakizungumza na Taswira ya…
12 October 2022, 12:17
Wakazi wa Makutupa wakabiliwa na uhaba wa maji safi na salama
Na; Na ;Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Makutupa wilayani kongwa wameendelea kutumia maji yasiyo safi na salama licha ya uwepo wa juhudi za uongozi wa kata ya ngomai kukabiliana na changamoto hiyo. Hali hiyo imesababisha uwepo matumizi ya maji…
12 October 2022, 11:59
Wasichana wataka usawa katika ugawaji wa majukumu
Na; Mariam Matundu. Usawa katika ugawaji wa majukumu ya nyumbani kwa wasichana ni mzigo ambao umekuwa ukiwalemewa . Siku ya mtoto wakike Duniani yenye kaulimbiu isemayo Haki zetu ni hatma yetu ,wakati ni sasa ,Baadhi ya wasichana wamesema suala la…
12 October 2022, 11:30
CVT kutoa vipimo bure siku ya uono Duniani
Na; Alfred Bulahya Kuelekea siku ya Uono Duniani octoba 13, Clinic ya Macho ya CVT iliyopo Jijini Dodoma imepanga kutoa huduma za upimaji wa macho bure katika siku hiyo na kutoa huduma ya upasuaji na miwani kwa gharama nafuu ili…
12 October 2022, 11:04
Miganga walalamikia ubovu wa Barabara
Na; Benard Filbert. Wakazi wa kijiji cha Miganga wilayani Chamwino wamelalamikia Ubovu wa miundombinu ya Barabara kuwa kero inayosababisha baadhi ya huduma za msingi kupatikana kwa tabu. Hayo yameelezwa na wakazi wa kijiji hicho wakati wakizungumza na Taswira ya habari…
5 October 2022, 14:23
Wilaya ya Kongwa yatarajia kuanza ujenzi wa vyumba 70 vya madarasa
Na; Alfred Bulahya. Halmashauri ya wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma, imepokea kiasi cha fedha shilingi bilion moja na milioni mia nne kwa lengo la ujenzi wa vyumba vipya 70 vya madarasa kwa ajili ya wanafunzi watakaofaulu mtihani wa darasa la…
5 October 2022, 14:06
Wenyeviti Njoge walia na posho
Na ;Victor Chigwada. Licha ya kufunguliwa akaunti za Benki kwa ajili ya kulipwa Posho ,bado hakuna hatua iliyochukuliwa kwa ajili ya utekelezaji wa malipo hayo kwa Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji. Wenyeviti wa mitaa,vijiji na vitongoji ni miongoni mwa viongozi…
5 October 2022, 13:50
Pombe yapelekea wanaume kupata vipigo toka kwa wake zao
Na; Benard Filbert. Unywaji wa Pombe kupitia kiasi umetajwa kuchangia wanaume katika kijiji cha Kwa mtoro wilayani Chemba kupigwa na wanawake zao. Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taswira ya Habari baada kufika kijiji hapo umebaini kuwa baadhi ya wanaume…
4 October 2022, 12:41
Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya Ebola
Na;Mariam Matundu. Wakazi wa Dodoma wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa ebola kwa kuepuka kula nyama pori ambazo hazija kaguliwa na wataalamu , kuepuka mikusanyiko pamoja na kuzingatia suala la unawaji mikono mara kwa mara. Tahadhari hiyo imetolewa Dkt…