Recent posts
20 October 2022, 12:20
Wakazi wa Chenene walia na uhaba wa maji
Na; Benard Filbert. Kusuasua kwa upatikanaji wa huduma ya maji katika kijiji Cha Chenene wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma imetajwa kuwa kero kwa wakazi wa eneo . Taswira ya habari imefika katika kijiji cha Chenene nakujionea hali halisi ya upatikanaji…
20 October 2022, 12:11
Ukosefu wa elimu ya udereva kwa bodaboda yachangia kuto kujua sheria za barabara…
Na; Mariam Matundu. Kutokupata mafunzo ya udereva katika chuoni kwa waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda walio wengi ni sababu inayotajwa kuchangia wengi wao kutokuwa na matumizi sahihi na salama ya barabara . Baadhi ya madereva wa pikipiki hapa Dodoma wamesema…
20 October 2022, 11:59
Bilioni 27 zatarajiwa kutumika ujenzi wa bwawa Chunyu
Na;Mindi Joseph. Bilioni 27 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa bwawa la umwagiliaji katika kijiji cha chunyu wilayani mpwawa ili kutatua changamoto ya uzalishaji hafifu wa Chakula. Hivi karibuni wanachi wa kijiji hicho wameelezea kuwa ukosefu wa Bwawa na Skimu za…
19 October 2022, 09:29
Wakazi wa Njoge waishukuru serikali kwa kuboresha sekta ya elimu
Na ;Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Lenjulu Wilaya ya Kongwa wametoa shukrani zao kwa Serikali ya awamu ya sita kwa jitihada za kuendelea kuboresha sekta ya elimu nchini Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamepongeza jitihada…
19 October 2022, 09:15
Wakazi wa Njoge wahofia kuharibika zaidi kwa miundombinu ya barabara msimu wa mv…
Na; Victor Chigwada. Kuchelewa kwa ukarabati wa barabara za kata ya Njoge umewapa wasiwasi wakazi wa kata hiyo wakati wakijiandaa na msimu majira ya mvua Wakizungumza na Taswira ya Habari baadhi ya wananchi wa kata hiyo wamedai kuwa barabara hizo…
19 October 2022, 08:57
Serikali yaahidi kutatua changamoto ya maji Chunyu
Na;Mindi Josph . Serikali imeahidi kuchimba visima vya maji ili kutatua changamoto ya maji inayowakabili wananchi wa kijiji cha chunyu wilayani Mpwapwa. Wakizungumza na Taswira ya habari baadhi ya wananchi wa Kijiji hicho wamesema hadi sasa wanatumia maji chumvi ambayo…
18 October 2022, 06:55
Uhaba wa skimu za umwagiliaji watajwa kuchangia maisha duni
Na;Mindi Joseph . Ukosefu wa Skimu za umwagiliaji katika baadhi ya maeneo Mkoani Dodoma umetajwa kuchangia Maisha Duni kwa wananchi kutokana na uzalishaji hafifu wa Chakula. Taswira ya Habari imezungumza na Baadhi ya wanachi wa Kijiji cha Chunyu Wilayani mpwapwa…
18 October 2022, 06:44
Wakazi jijini Dodoma waomba kupunguziwa gharama za usafirishaji
Na; Mariam Matundu. Wananchi jijini Dodoma wameomba kuboreshewa usafirishaji ili kupunguza gharama za usafiri zinachochangia kupanda kwa gharama za maisha siku hadi siku. Denis mandia ni mkazi wa dodoma yeye amesema kuwa suala la kupanda kwa gharama za usafirishaji zinachochea…
18 October 2022, 06:10
Wakazi wa Miganga waiomba serikali kuendelea kusambaza umeme
Na; Benard Filbert. Wakazi wa kijiji cha Miganga Kata ya Idifu wilaya ya Chamwino wameiomba serikal kuendelea kusambaza nishati ya umeme katika kijiji hicho hali itakayosaidia kukua kwa uchumi. Ombi hilo wamelitoa wakati wakizungumza na Taswira ya habari kuhusu uwepo…
12 October 2022, 12:43
Uhaba wa madarasa Miganga wawanyima uhuru wanafunzi
Na; Benard Filbert. Uhaba wa madarasa katika shule ya msingi Miganga kata ya Idifu wilaya ya Chamwino imetajwa kuwa kikwazo cha wanafunzi kujifunza kwa uhuru. Hayo yameelezwa na wazazi wa wanafunzi katika kijiji cha Miganga wakati wakizungumza na Taswira ya…