Dodoma FM

Recent posts

16 September 2022, 13:57

Kata ya mnadani yaipongeza Dodoma fm Radio .

Na; Benard Filbert. Mwenyekiti wa mtaa wa Karume kata ya Mnadani Jijini Dodoma Bw Matwiga Kiatya ameipongeza Dodoma Fm kwa kuripoti habari kuhusu changamoto ya barabara katika mtaa huo ambayo kwa sasa ipo kwenye mchakato wa Ujenzi Akizungumza na taswira…

16 September 2022, 13:01

Serikali yasisitiza umuhimu wa lishe bora shuleni

Na; Alfred Bulahya. Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imesema kuwa ili kupata matokeo mazuri ya elimu ni lazima kuhakikisha upatikanaji wa lishe bora shuleni ili kuwajengea wanafunzi afya bora na kupata utulivu wa akili wawapo madarasani. Akizungumza  Jijini…

5 September 2022, 13:30

Kamati ya bunge yaridhishwa na mradi wa Timiza malengo

Na; Benard Filbert. Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Masuala ya  UKIMWI, Kifua Kikuu , Dawa za Kulevya na Magonjwa yasiyoambukiza imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa Timiza Malengo unaotekelezwa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) unaolenga kuwawezesha vijana…

1 September 2022, 14:19

Wananchi watakiwa kushiriki awamu ya tatu ya chanjo

Na; Benard Filbert. Licha ya awamu ya pili ya utoaji wa chanjo ya Polio kufanikiwa kwa asilimia 100 ,Jamii imeombwa kutoa ushirikiano katika zoezi hilo ambalo limeanza leo kwa awamu ya tatu. Rai hiyo imetolewa na mkuu wa Mkoa wa…

1 September 2022, 09:30

Umbali wa shule wapelekea baadhi ya wanafunzi Pandambili kuacha shule

Na; Victor Chigwada. Umbali mrefu wanaotembea wanafunzi wa sekondari  lenjulu  mpaka pandambili umetajwa kuwa kikwazo cha kuwakatisha tamaa na kushindwa kumaliza masomo. Hilo limefahamika baada ya Taswira ya Habari kuzungumza na baadhi ya Wananchi ambapo Wamesema kuwa adha hiyo ya…

1 September 2022, 08:39

Wizara ya Afya yaja na mkakati wa kuzuia magonjwa yasiyopewa kipaumbele

Na ;Benard Filbert . Wizara ya afya imesema kuwa imekuja na mpango wa taifa wakudhibiti magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele lengo likiwa  kumezesha dawa za kinga tiba katika ngazi ya jamii. Hayo yanajiri kutokana na  baadhi ya magonjwa kutokupewa kipaumbele licha…

10 August 2022, 14:18

Hifadhi ya swagaswaga kuendelea kuboresha miundombinu kwaajili ya watalii

Na; Benard Filbert. Uongozi wa hifadhi ya pori la akiba Swagaswaga wilayani Chemba mkoani Dodoma amesema unaendelea kuboresha miundombinu ya hifadhi hiyo lengo kuandaa mazingira rafiki kwa watalii. Hayo yameelezwa na Donard Shija Mkuu wa Kitengo cha Ujirani mwema kutoka…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger