Recent posts
15 February 2024, 16:27
Wajawazito Handali walazimika kwenda leba na maji
Pamoja na hatua hizo za kwenda na maji kituo cha afya lakini bado wanakutana na shuruba nyingine namna ya kupata maji hayo bombani. Na Victor Chigwada.Pamoja na umuhimu wa matumizi ya maji katika sehemu za kutolea huduma za afya imekuwa…
15 February 2024, 16:01
Wananchi Majeleko walalamika kucheleweshewa fedha za fidia
Mradi BBT umebeba program ya ajira kwa vijana kupitia sekta ya kilimo ambapo ilizinduliwa mnano Agosti 3-2022 na kuanza majaribio katika mikoa ya miwili ya Dodoma na Mbeya . Na Victor Chigwada.Wakazi wa kata ya Majeleko wilayani Chamwino wamelalamika kucheleweshewa…
12 February 2024, 15:24
BRELA, FCC zatajwa kuchochea maendeleo sekta ya viwanda na biashara
Wakala wa usajili wa biashara na leseni Tanzania (BRELA) na Tume ya ushindani Tanzania (FCC)zimekutana na kamati ya kudumu ya Bunge ya viwanda ,Biashara ,kilimo na Mifugo kutoa semina ya nana taasisi hizo zinatekeleza majukumu yao na kuleta mchango katika…
9 February 2024, 18:01
Vitambulisho vya kidijitali ni muhimu kwa wafanyabiashara wadogowadogo
Maafisa tehama, biashara na maendeleo ya jamii kutoka mikoa yote nchini wamekutana jijini Dodoma katika mafunzo ya ya mfumo wa usajili wa machinga . Na Mariam Matundu.Imeelezwa kuwa vitambulisho vya kidigitali kwa wafanyabiashara wadogowadogo vitawezesha kuwaunganisha wafanyabiashara hao na mifumo…
9 February 2024, 17:18
Yafahamu madhara ya utupaji taka za plastiki katika vyanzo vya maji
Hata hivyo Umoja wa mataifa mara kadhaa umekuwa ukionya kuwa iwapo mataifa hayatochukua hatua za mapema kudhibiti taka zitokanazo na plastiki, huenda ulimwengu ukashuhudia idadi kubwa ya plastiki katika maziwa na bahari ukilinganisha na Samaki ifikapo mwaka 2050. Na Mariam…
7 February 2024, 17:54
Yafahamu madhara yatokanayo na saratani ya mlango wa kizazi
Na Yussuph Hassan. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, saratani inayoongoza nchini ni ya mlango wa kizazi kwa asilimia 25, matiti asilimia 10, tezi dume asilimia 9, mfumo wa chakula asilimia 6.5 na saratani nyinginezo. Wanawake wenye umri kuanzia miaka…
7 February 2024, 17:29
Shule ya msingi Iboni yawezeshwa ujenzi wa mabweni
Shule ya msingi Iboni ni shule pekee mkoani dodoma inayotoa elimu ya kawaida na elimu ya vitengo maalumu wakiwemo wanafunzi wasiiona, viziwi, usonji na ulemavu wa akili na viungo huku baadhi yao wakitembea umbali mrefu kufika shuleni. Na Nizar Mafita.Shule…
5 February 2024, 18:47
Jamii yatakiwa kujitokeza kusaidia malezi
Kuna watoto wengi kwenye wanapitia changamoto ya kupata malezi inayotokana na ugumu wa maisha pamoja na wengine kukosa wazazi. Na Fred Cheti.Wito umetolewa kwa jamii kujitokeza kusaidia katika malezi kwa watoto wenye uhitaji wa huduma hiyo kwa kuwachukua na kuwapatia…
5 February 2024, 18:27
Saratani ya mlango wa kizazi tishio kwa wanawake
Kila Februari 4 huwa ni maadhimisho ya Siku ya Saratani Duniani ambapo serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa saratani, ambapo saratani ya mlango wa kizazi ni moja kati saratani zinazowapata akina mama. Na Yussuph…
5 February 2024, 18:02
Taka, chupa za plastiki ni mali katika mazingira
Kwa mujibu wa redio Vatican inasena chupa za plastiki ambazo zilipaswa kutumika tena, lakini sehemu kubwa ya shehena za chupa inaishia kuwa ni taka zinazoendelea kutupwa na hivyo kuhatarisha maisha ya watu wengi duniani chupa hizi kamwe hazitaoza na zitaendelea…