Recent posts
17 May 2023, 16:51
TMO yawasilisha rasimu ya ujenzi wa kituo cha michezo Mbande
Kwa mujibu wa viongozi wa Taasisi hiyo ujenzi wa Kituo hicho utaleta tija kwa wananchi kwani utahusisha maeneo ya vitega uchumi mbalimbali yakiwemo maduka na huduma nyinginezo. Na Alfred Bulahya. Taasisi ya Tembea Kwa Matumaini Organization (TMO) imewasilisha rasimu ya…
17 May 2023, 16:19
Kushuka kwa bei ya mafuta ya kupikia kwaleta neema kwa wananchi
Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao wanasema kuwa kushuka kwa bei ya bidhaa hiyo kumechangiwa pia na msimu wa mavuno hususani zao la alizeti. Na Thadei Tesha. Kushuka kwa bei ya mafuta ya kupikia kumetajwa kuleta unafuu kwa wananchi pamoja na…
17 May 2023, 15:54
Taasisi za vijana zakutana kujadili jinsi ya kufanya kazi pamoja
Mkutano huo umeandaliwa na umoja wa vijana hao kwa kushirikiana na shirika la Foundation for Civil Society FCS. Na Alfred Bulahya. Umoja wa vijana kutoka taasisi zinazofanya kazi kwenye afua za vijana, zimekutaka jijini Dodoma kujadili namna zinavyoweza kufanya kazi…
17 May 2023, 15:03
NIDA yatoa vitambulisho 62,258 Kongwa
Changamoto wanazopitia wananchi katika vitambulisho vya Taifa ni pamoja na kushindwa kutimiza vigezo na masharti ya kujaza fomu za kuomba vitambulisho hivyo hali inayopelekea ofisi kushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi. Na Bernadetha Mwakilabi. Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA)…
17 May 2023, 12:54
Wenyeviti wa vijiji Bahi watakiwa kuweka wazi mapato na matumizi kwa wananchi
Viongozi wa eneo hilo pia walilalamika wananchi wao kukosa huduma ya maji safi na salama kwa muda mrefu. Na Bernad Magawa. Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Bahi Stuwart Masima amewaagiza wenyeviti wa serikali vijiji wilayani humo kuhakikisha wanasoma mapato na…
16 May 2023, 20:16
Program ya AFDP yategemewa kuwafikia wakulima zaidi ya laki mbili nchini
Watazania wamehimizwa kuendelea kujikita katika katika shughuli za kilimo kwa uwekezaji wa uhakika . Na Mindi Joseph. Imeelezwa kuwa, Programu ya kuendeleza Kilimo na Uvuvi AFDP unataegemea kufikia kaya zaidi ya Laki mbili Nchini. Hayo yamebainishwa na mtaalam wa masuala…
16 May 2023, 18:00
TMDA yakabidhi dawa na vifaa tiba kwa mkuu wa Gereza la Msalato
Vifaa tiba na Dawa zilizokabidhiwa leo na TMDA vimetokana na kaguzi zilizofanywa na Mamlaka hiyo na kuondosha katika soko la dawa ambayo vinafaa kwa matumizi lakini kwa mujibu wa sheria ya dawa na vifaa tiba ,dawa havikupaswa kuuzwa ama kutumika…
16 May 2023, 10:56
Serikali yazindua kampeni ya kulinda maadili
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma amepongeza juhudi za Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wanawake na Makundi Maalum kwa juhudi za kutoa za Elimuu juu ya umuhimu wa Familia na Upendo katika Jamii zetu. Na Mariam Matundu. Katika kuadhimisha…
15 May 2023, 20:10
Wananchi wahimizwa kuendelea kuchangia damu
Uchangiaji wa Damu bado unatajwa kuwa muhimu katika kuokoa maisha ya watu wenye uhitaji. Na Mindi Joseph. Mwitikio wa Wanafunzi,Taasisi na wadau mbalimbali kuchangia Damu umetajwa kuondoa uhaba wa damu na kuvuka malengo ya uchangiaji katika kitengo cha Damu salama…
15 May 2023, 19:49
Wananchi waendelea kuhimizwa kutumia nishati mbadala
Miongoni mwa madhara hayo ni pamoja na ukame, mafuriko, vimbunga, mioto ya misitu vimeharibu maisha ya mamilioni ya watu na kuwaweka katika hatari zaidi ya kukabiliwa na njaa. Na Alfred Bulahya. Wakati mataifa yote ulimwenguni yakipambana kuzuia ongozeko la joto…