Recent posts
24 October 2023, 13:38
NGO’S zatakiwa kufanya tathmini za mazingira
Kikao hicho kimefanyika hapo jana ofini kwake ambapo katibu tawala alizungumza na wadau hao. Na Mariam Kasawa.Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Ally Gugu ameyataka Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) yanayojihusisha na masuala ya Mazingira kukutana na kufanya tathmini ya…
24 October 2023, 11:58
Wakazi wa Chisamila na Manzase kuondokana na kero ya barabara
Bajeti ya ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara vijijini na mijini imekuwa ikiongezeka kutoka Shilingi bilioni 272.56 mwaka 2020/21 hadi Shilingi bilioni 722 katika mwaka wa fedha 2021/22 sawa na ongezeko la asilimia 185. Na Mindi Joseph. Zaidi ya millioni…
18 October 2023, 13:47
TBS yasisitiza wadau kushiriki uandaaji wa viwango
Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Tanzania, TBS, Shirika la Viwango Zanzibar, ZBS pamoja na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), imeandaa tuzo za ubora za kitaifa awamu ya nne kwa 2023 kwa wajasiriamali, wazalishaji wa…
18 October 2023, 09:48
Wakazi wa Nholi waaswa kuepuka migogoro ya ardhi
Kupitia zoezi la urasimishaji wa ardhi nchini itasaidia kutoa hati ya umiliki wa vipande vya ardhi na kupunguza changamoto za kugombania na mashamba. Na Victor Chigwada. Wito umetolewa kwa wananchi wa kijiji cha Nholi kuepukana na migogoro ya ardhi…
18 October 2023, 09:29
FAO yaahidi kuunga mkono juhudi za Tanzania
Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka nchi wanachama, viongozi wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa. Na Mindi Joseph. Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeahidi kuunga mkono jitihada za…
18 October 2023, 09:14
Wasichana wapaswa kutambua hedhi ni fahari
Elimu ya hedhi salama shuleni hapo imeambatana na zoezi la kugawa taulo za kike kwa wasichana hao wa shule ya msingi Nkuhungu. Na Mariam Kasawa. Wasichana balehe wametakiwa kutambua kuwa hedhi ni fahari ya kila mwanamke hivyo wanapaswa kuifurahia na…
16 October 2023, 19:03
Michese waishukuru serikali kwa kutoa fedha za ujenzi wa shule
Kwa mujibu wa viongozi wa mitaa hiyo wanasema kuwa fedha kiasi cha shilingi milioni mia tano zimetolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi huo. Na Khadija Ayoub. Baadhi ya wananchi katika eneo la michese jijini Dodoma wameishukuru serikali kwa kuwapatia…
16 October 2023, 18:44
Wakazi wa Handali walalamika kukosa maji safi na salama
Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA wapo kwenye mpango wa bajeti katika kuhakikisha miundombinu ya maji katika kijiji cha Handali inafufuliwa. Na Mindi Joseph. Kusimama kwa Mradi wa Maji unaogharimu zaidi ya Milioni 600 katika kijiji cha…
16 October 2023, 18:24
Viongozi wa mitaa watakiwa kushirikiana na viongozi wa dini
Pamoja na hayo, kanisa hilo linategemea kupitia ushirikiano waliongia na Foundation for Hope utaongeza hali ya upatikanaji huduma za kiroho kwa ujenzi wa makanisa, sambamba na huduma za kijamii ikiwemo zahanati, uchimbaji wa visima vya maji na mahitaji mengine .…
16 October 2023, 16:40
Wananchi Dodoma waomba elimu uzalishaji umeme wa jua
Na Alfred Bulahya. Wananchi Mkoani Dodoma wameiomba serikali na wadau wa masuala ya kilimo nchini kuanza kutoa elimu ya namna ya kutumia teknolojia zinazozalisha umeme wa jua ili kuongeza tija zaidi katika kilimo cha umwagiliaji. Wananchi hao wametoa maombi hayo…