Recent posts
26 July 2023, 17:26
Ujenzi wa bweni la wasichana Mpendoo lita wanusuru na vitendo hatarishi
Ujenzi wa bweni hilo unatarajia kupunguza adha kwa wanafunzi hao katika shule hiyo kutokana wengi kutembea umbali mrefu hadi shuleni hapo hali inayohatarisha usalama wao. Na Fred Cheti. Kukamilika wa kwa ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika shule…
25 July 2023, 17:01
Nini siri ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi?
Wakulima wa eneo hilo wanadai kuwa hawapendelei kutumia mbolea katika kilimo cha mpunga. Na Yussuph Hassan. Licha ya watu wengi kuamini kuwa mkoa wa Dodoma ni eneo kame lakini eneo hili linafaa pia kwa kilimo. Wakazi wa wialaya ya Bahi…
25 July 2023, 16:30
Wamiliki wa mafuta waahidi kutoa ushirikiano wa kusambaza mafuta
Wamiliki hao wameiomba serikali iimarishe upatikanaji wa dola ili zisaidie katika biashara hiyo. Na Fred Cheti. Wamiliki wa maghala ya mafuta nchini wameihakikishia Serikali kuhusu upatikanaji wa mafuta wakisema wana petroli na dizeli za kutosha na wapo tayari kutoa ushirikiano…
25 July 2023, 15:46
Wananchi watakiwa kuunga mkono juhudi za kupinga vitendo visivyo na maadili
Mara kadhaa jamii imeendelea kuhamasishwa na serikali pamoja na taasisi mbalimbali juu ya umuhimu wa kufundisha maadili mema ndani ya jamii ili kujenga kizazi chenye misingi bora ya malezi. Na Aisha Shaban. Wananchi jijini Dodoma wametakiwa kuunga mkono juhudi za…
25 July 2023, 13:26
Wawekezaji wazidi kuongezeka Dodoma
Watu mbalimbali wanakaribishwa kuwekeza katika jiji la Dodoma kwani kuna fursa mbalimbali za uwekezaji. Na Thadei Tesha. Kufuatia kukua kwa jiji la Dodoma pamoja na ongezeko la watu kumepelekea wawekezaji mbalimbali kupata fursa ya kuwekeza katika maeneo mbalimbali ya mkoa…
24 July 2023, 18:37
Mikoa yote nchini yaagizwa kuadhimisha siku ya mashujaa
Maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yamekamilika katika eneo la Mtumba jijini Dodoma huku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kesho kuweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa eneo hilo. Na…
24 July 2023, 17:27
Historia kuanzishwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi
Je, kipi kilichangia msukumo wa kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi? Na Yussuph Hassan Tunaendelea kuitazama historia ya wilaya ya Bahi iliyopo mkoani Dodoma na leo tunaangalia historia ya kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani humo.
24 July 2023, 14:32
Walimu watakiwa kuboresha mazingira ya shule kwa kupanda miti
Na Bernad Magawa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Bahi Mheshimiwa Donald Mejitii amewaagiza walimu wa shule za msingi wilayani Bahi kuhakikisha wanaboresha mazingira ya shule mpya zilizojengwa kupitia fedha za BOOST pamoja na zile za zamani kwa kupanda miti…
24 July 2023, 14:04
Mwarobaini vifo vya wajawazito Bahi wapatikana
Hatua hii ni muhimu ambapo takwimu zinazokusanywa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini zinaonesha vifo vitokanavyo na uzazi vimeendelea kupungua kutoka vifo 1,640 mwaka 2020 hadi vifo 1,580 mwaka 2021. Na Seleman Kodima. Vifo vya akina mama wajawazito…
24 July 2023, 13:10
Mpango matumizi ya ardhi kupitia LTIP kiboko ya migogoro ya ardhi
Mradi wa Uboreshaji wa milki salama za ardhi utawezesha haki kupatikana na kufanikisha uwepo wa ushirikiano wa familia kati ya mume na mke na upatikanaji wa hati za kimila . Na Seleman Kodima. Viongozi wa serikali za Mitaa wametakiwa kutoa ushauri…