Recent posts
20 September 2023, 15:29
Fahamu maajabu na uvamizi wa Tembo katika vijiji
Je ni mbinu gani nzuri zinazo tumika kuwarudisha Tembo hifadhini pindi wanapo ingia katika makazi ya watu ? Na Yussuph Hassan. Fahari ya Dodoma leo imezungumza na Afisa wanyamapori jiji la Dodoma hapa anaeleza jinsi Tembo wanavyoingia katika vijiji na…
20 September 2023, 14:55
Wajawazito waonywa kuepuka matumizi ya Pombe
Ili kupunguza vitendo vya matumizi ya pombe na dawa za kulevya katika jamii hususani kwa wajawazito wataalamu wa afya wanaendelea kuhamasisha jamii kuachana na suala hilo kwani lina athari kubwa kiafya. Na Katende Kandolo. Akina mama wajawazito wametakwa kuachana na…
20 September 2023, 14:04
Wazazi watakiwa kufahamu umuhimu wa maktaba kwa mtoto
Maktaba ni moja ya Taasisi inayosaidia katika kuchochea maendeleo ya mtoto pindi awapo shuleni na nyumbani. Na Khadija Ayoub. Ili kuchochea maendeleo ya mtoto shuleni wazazi wametakiwa kuwa na utaratibu wa kuwajengea watoto wao desturi pamoja na namna bora ya…
19 September 2023, 17:18
Wafanyabiashara Majengo wapongeza kuimarika kwa usafi
Usafi katika Soko hilo umesaidia kuendelea kuepukana na Magonjwa mbalimbali ya Mlipuko yatokanayo na uchafu. Na Mindi Joseph.Wafanyabiashara katika soko kuu la Majengo wamesema hali ya usafi imeimarika katika soko hilo kufuatia kuwepo kwa eneo maalum la kuweka takataka. Baadhi…
19 September 2023, 17:01
Mapinduzi A waomba nyumba ya daktari wa zahati yao
Hata hivyo Serikali inawataka wawekezaji wote nchini kushiriki kikamilifu katika kutatua changamoto zinazo wakabili wananchi walio karibu na mradi wa mwekezaji huyo. Na Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa mpinduzi A wameiomba Serikali na wadau wa afya kuwasaidia kupatikana wa…
19 September 2023, 16:31
Mradi wa maji wa Nzugumi wafikia asilimia 87
Mkoa wa Dodoma unazalisha nusu ya mahitaji ya maji ambapo mahitaji ya maji ni lita Milion 133 kwa siku na yanayozalishwa ni lita milion 67.8 hivyo kuwa na upungufu wa lita Milioni 66.7 kwa siku. Na Mindi Joseph. Mradi wa…
19 September 2023, 15:43
Shekimweri ataka ofisi ya mtaa wa kwa Mathias Miyuji kuwa ya mfano
Ujenzi wa jengo la ofisi ya mtaa wa mathias jijini dodoma unaosimamiwa na kampuni ya urasimishaji ardhi ya wise plan unatarajiwa kukamilika mwezi wa kumi mwaka huu ikiwa ni sehemu ya kurudisha fadhila kwa jamii. Na David Kavindi. Mkuu wa…
19 September 2023, 14:46
Serikali yaombwa kutunga sheria kali dhidi ya wanaotelekeza familia
Hayo yamaebainishwa na wananchi wilayani Bahi wakati wakizungumza katika mdahalo wa wazi ulioandaliwa na kipindi cha Sakuka na kufanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Na Alfred Bulahya. Wananchi wilayani Bahi mkoani Dodoma wameiomba serikali na bunge kutunga sheria kali kuhusu watu…
18 September 2023, 17:43
Taasisi za umma zaombwa kuitumia mamlaka ya serikali mtandao
Mamlaka ya serikali mtandao inatekereza program ya kukuza bunifu katika tehama kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kuanzia kwa miaka 5 sasa tangu mwaka 2019 hadi mwaka 2023. Na Mariam Matundu. Taasisi za Umma zimeombwa kuitumia Taasisi ya mamlaka ya…
18 September 2023, 16:52
Jamii yatakiwa kuwajali yatima na wajane
Katika tukio hilo Jumuiya ya wanawake wakiislamu Tanzania JUWAKITA wilaya ya Dodoma ililenga kuwa pamoja na Wajane 50 na Yatima 100 ikiwa ni muendelezo wa Kutenda Matendo Mema kwa Jamii . Na Seleman Kodima. Jamii imekumbushwa kuwajali,Kuwasaidia na kuwatazama zaidi…