Recent posts
13 September 2023, 16:59
Nini kinapelekea baadhi ya wazazi kutelekeza familia
Leo mchanyato upo Bahi kuzungumza na Jane Mgidange ambaye ni mratibu wa Elimu jumuishi Wilaya Ya Bahi Kufahamu zaidi nini sababu za kutelekeza familia. Na Leonard Mwacha. leo tunaangazia sababu za kutelekeza familia ambapo jamii inahusika moja kwa moja kabla…
13 September 2023, 15:27
Ugumu wa maisha watajwa kuwa sababu ya watu kujiua
Septemba 10 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya kuzuia kujiua ambapo Kitaifa maadhimisho hayo yalifanyika katika Hospitlai ya Taifa ya akili Mirembe jijini Dodoma. Na Katende Kandolo. Imeelezwa kuwa ugumu wa maisha pamoja na msongo wa mawazo ni miongoni mwa…
13 September 2023, 14:47
Jamii yatakiwa kutambua umuhimu wa kupima afya
Wataalamu wa Afya wanashauri jamii kufanya uchunguzi wa afya mara kwa mara ili kubaini hali zao na namna ya kukabiliana na magonjwa yanayoweza kujitokeza kwa haraka zaidi . Na Richald Ezekiel. Jamii imetakiwa kutambua umuhimu wa kupima afya mara kwa…
13 September 2023, 13:23
Wananchi waomba serikali iendelee kuwapatia elimu ya katiba
Wanasheria wanayo nafasi kubwa ya kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya katiba ya nchi ili kuwaongezea uelewa wananchi waweze kutambua haki na wajibu wao. Na Khadija Ayoub. Wananchi Jijini Dodoma wameiomba Serikali kuendelea kutoa elimu juu ya katiba ya…
12 September 2023, 15:51
Vilindoni yahitaji uzio kuepuka migogoro na wananchi wa jirani
Hali ya usalama imekuwa Ndogo kwa wanafunzi kutokana na shule hiyo kukosa Uzio hali inayosababisha baadhi ya wananchi kufanya shughuli za kibinadamu ndani ya eneo la shule hiyo. Na Mindi Joseph. Ukosefu wa uzio katika shule ya Msingi vilindoni imeelezwa…
12 September 2023, 15:02
Vijana watakiwa kuacha tabia ya kutazama picha za utupu
Kwa mujibu wa mwanasaikolojia huyo anasema kuwa zipo athari mbalimbali ambazo zinaweza kusababishwa na suala hilo ambapo wanashauri jamii hususani vijana kuachana na tabia hiyo. Na Thadei Tesha. Wito umetolewa kwa Wananchi hususani vijana kuepukana na tabia ya kuangalia picha…
12 September 2023, 13:09
Viongozi ushirika watakiwa kutekeleza kwa vitendo vipaumbele saba
Kikao kazi kati ya Mrajis na Vyama vya Ushirika vya Upili na Benki ya Ushirika kimefanyika Dodoma kwa siku mbili Septemba 11 na 12 mwaka huu wa 2023 ambapo wadau wamepata fursa ya kutathmini na kujadiliana namna bora ya kuimarisha…
12 September 2023, 12:26
Serikali yaendelea kuchukua tahadhari kudhibiti Polio Nchini
Aidha wakuu wa Mikoa, Wilaya pamoja na Viongozi mbalimbali wametakiwa kusimamia Kampeni ya Kitaifa ya chanjo ya matone pamoja na Waganga wa Mikoa kutoa chanjo hiyo kwa wakati sambamba na kutoa elimu kwa jamii. Na Yussuph Hassan. Serikali imeendelea kuchukuwa…
12 September 2023, 11:42
Serikali yaombwa kuwawezesha wakulima elimu na pembejeo za kilimo
Wakulima katika maeneo mbalimbali wamekuwa wakisistiza kwa jamii kuwapatia mikopo ya kilimo ili waweze kunufaika na kilimo chenye tija. Na Khadija. Imeelezwa kuwa ili kusaidia wakulima waweze kulima kilimo chenye tija serikali inao wajibu wa kuwawezesha wakulima hao katika suala…
7 September 2023, 14:51
Wananchi watakiwa kutoa ushirikiano mradi wa uboreshaji milki za ardhi
Chalinze ni miongoni mwa halmshauri 41 zinakazopitiwa na mradi wa Uboreshaji usalama wa milki za ardhi, ambapo Zaidi ya viwanja 7,600 vimepimwa, huku viwanja 50,000 vikitarajiwa kupimwa mpaka mwisho wa mradi huo. Na Seleman Kodima. Wakazi wa Chalinze wametakiwa kutoa…