Recent posts
26 September 2023, 15:57
Rasimu mkakati wa kilimo ikolojia yatakiwa kuwa katika lugha rahisi
Kongamano hilo limejumuisha wadau wa kilimo na wakulima kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania mkakati wa kilimo hai unatarajia kuja na majibu juu ya kilimo hai . Na David Kavindi. Imeelezwa kuwa rasimu ya mkakati wa kilimo ikolojia hai inatakiwa kufanyiwa marekebisho…
21 September 2023, 16:58
Ni kawaida tembo kurudi katika usharoba waliozoea?
Kwa asili hiyo ya Tembo pale wanapokuja katika makazi ya watu kuna mbinu mbalimbali hutumika kuwakabili, mbinu ambazo huzaa matunda mara moja. Yussuph Hassan. Fahari ya Dodoma inaendelea kukuelezea tukio la baadhi ya maeneo yaliyovamiwa na kundi la tembo Dodoma.…
21 September 2023, 16:38
Wajawazito watakiwa kufanya maandalizi mapema
Wataalamu wa Afya wanashauri kuwa mama mjamzito anatakiwa kuwa na maandalizi kabla ya kujifungua kwani kuna umuhimu wa kufanya hivyo ili kuepukana na madhara mbalimbali yanayoweza kutokea. Na Naima Chokela. Ushauri Umetolewa kwa Wajawazito kuhakikisha wanafanya maandalizi kabla ya kujifungua…
21 September 2023, 16:08
Viongozi wa vijiji kuhamasisha wananchi kutatua changamoto za elimu
Mradi huo unatekelezwa wilaya ya chamwino katika Kata nne. Na Seleman Kodima. Viongozi wa Serikali za vijiji wametakiwa kutumia njia mbadala ya kuhamasisha wananchi ili waweze kutatua changamoto zilizopo katika sekta ya elimu ikiwemo miundombinu ya elimu. Wito huo umetolewa…
21 September 2023, 15:15
Katazo la unyago laungwa mkono na baadhi ya wananchi
Inaelezwa kuwa baadhi ya tamaduni zimekuwa zikiwafundisha mabinti katika unyago mambo ambayo hayastahili. Na Khadija Ayoub. Wananchi jijini Dodoma wameonesha kuunga mkono katazo la mh. Rais Samia Suluhu Hassan kuwapelekea watoto wa kike katika unyago kwani ni kuwaonea na kuwanyima…
21 September 2023, 14:37
WAVIU watakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya ARV
Kwa mujibu wa wataalam wa afya wanashauri kwamba ni vema wananchi kuhakikisha wanapima afya hususani maambukizi ya virusi vya ukimwi ili waweze kujitambua na kutumia dawa kwa usahihi. Na Katende Kandolo. Watu walioathirika na maambukizi ya virusi vya UKIMWI wametakiwa…
20 September 2023, 17:19
Shilingi bilion 4 kujenga shule 26 za wasichana kila mkoa
Hadi sasa Serikali imefanikiwa kujenga shule 449 kati ya shule 1000 ambazo zilipaswa kujengwa nchini na shule hizo zina uwezo wa kuchukua wanafunzi 400 kwa kila shule . Na Mindi Joseph. Shule 26 za wasichana wa masomo ya sayansi na…
20 September 2023, 16:45
Hombolo Makulu walia na uchakavu wa shule
Mazingira magumu au uchakavu wa miundombinu ya shule pamoja ongezeko la wanafunzi ni moja ya changamoto zinazo ikabili sekta ya elimu. Na Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa Hombolo Makulu wamelalamikia uchakavu wa miundombinu ya shule yao ya msingi hali…
20 September 2023, 15:29
Fahamu maajabu na uvamizi wa Tembo katika vijiji
Je ni mbinu gani nzuri zinazo tumika kuwarudisha Tembo hifadhini pindi wanapo ingia katika makazi ya watu ? Na Yussuph Hassan. Fahari ya Dodoma leo imezungumza na Afisa wanyamapori jiji la Dodoma hapa anaeleza jinsi Tembo wanavyoingia katika vijiji na…
20 September 2023, 14:55
Wajawazito waonywa kuepuka matumizi ya Pombe
Ili kupunguza vitendo vya matumizi ya pombe na dawa za kulevya katika jamii hususani kwa wajawazito wataalamu wa afya wanaendelea kuhamasisha jamii kuachana na suala hilo kwani lina athari kubwa kiafya. Na Katende Kandolo. Akina mama wajawazito wametakwa kuachana na…