Dodoma FM

Recent posts

31 July 2024, 19:30

Wakazi Dodoma wajawa shauku maonesho ya nanenane

Maonesho hayo huanza tarehe 01 hadi 08 ya mwezi Agosti. Maonesho hayo huambatana na uhamasishaji wa matumizi ya teknolojia bora za kilimo, ufugaji na uvuvi. Na Fred Cheti.Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo na Ufugaji (Nanenane) yanatarajia kuanza rasmi siku ya…

31 July 2024, 19:17

Wananchi wahitaji elimu zaidi ugonjwa wa homa ya ini

Kwa mujibu wa wataalam wa afya wanabainisha njia za maambukizi ya homa ya Ini zinashabihiana sana na zile za maambikizi ya Virusi Vya Ukimwi. Na Witness. Ikiwa kila ifikapo Julai 28 dunia huadhimisha Siku ya Homa ya Ini Duniani, takwimu…

31 July 2024, 18:52

Vumbi lahatarisha afya za wakazi Miganga

Eneo hili la Miganga lipo mita 600 tu kutoka stesheni ya SGR, je, serikali haioni changamoto hii na  kuwasaidia wananchi hawa ambao wanaona wametelekezwa?. Na Mindi Joseph. Wakazi mtaa wa Miganga wamelalamika kuathirika kiafya kutokana na adha ya vumbi inayosabishwa…

31 July 2024, 18:22

Kampeni za usafi zawahamasisha wananchi kusafisha mazingira Dodoma

Wananchi wametakiwa kutii sheria bila shuruti kwa sababu sheria ndogo ya usafi katika Jiji la Dodoma inasema mtu asipojitokeza kwenye usafi, asipofanya usafi kwenye eneo lake la makazi, taasisi na biashara, faini yake ni kati ya shilingi 50,000-200,000 au kifungo…

31 July 2024, 17:48

Mpangilio wa maendeleo katika mtaa wa Swaswa

Wataalamu wamekwisha kuwasili kwaajili ya kuanza maboresho mara moja. Na Yussuph Hassan.Na leo moja kwa moja katika kipindi chetu cha FAHARI YA DODOMA tumeangazia moja ya mtaa maarufu unaopatikana jijini Dodoma unaojulikana kwa jina la Swaswa ambao tumekwisha kuona asili…

30 July 2024, 19:46

Rais Samia kuzindua rasmi SGR Dodoma

Ikumbukwe kuwa tangu Treni ianze safari zake Kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma zaidi ya wananchi 900 hadi 1000 wananufaika na usafiri huo.  Na Fred Cheti. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani anatarajia kuzindua Rasmi…

30 July 2024, 18:46

RC Senyamule: Maonesho ya nanenane Dodoma yatakuwa ya kipekee

Mkuu wa Mkoa ametumia nafasi hiyo kuwaalika watu kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi kushuhudia upekee wa maonesho hayo. Na Seleman Kodima. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewahakikisha wakazi wa Dodoma kuwa maonesho ya Nanenane kitaifa…

30 July 2024, 18:26

NIRC yatarajia kuchimba visima 60,000 nchini

Mpango huu unalenga kuwa na visima vyenye uwezo wa kuhudumia wakulima na umelenga kuinua sekta ya Kilimo cha Umwagiliaji na kuchochea ukuaji wa uchumi nchini. Na Mindi Joseph. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kupitia Wizara ya Kilimo inatarajia  kuchimba…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger