Recent posts
1 November 2023, 12:37
Mabadiliko ya tabianchi yanavyoathiri shughuli za kilimo-Makala
Mabadiliko ya Tabianchi ni mabadiliko ya hali ya hewa ya muda mrefu katika eneo fulani (Mkoa, Nchi au Bara) tofauti na iliyozoeleka. Mabadiliko hayo huleta athari katika nyanja za kiuchumi, kimazingira na kijamii. Na Alfred Bulahya. Tunapata kusikia kisa cha…
1 November 2023, 12:08
Jiji la Dodoma latakiwa kuangalia vyanzo vipya vya mapato
Katika Mwaka wa fedha 2023/24 Halmashauri ya Jiji la Dodoma imekisia kukusanya na kutumia jumla ya shillingi 132,401,769,120 ambapo robo ya kwanza ya mwaka 2023 kuanza julai- septemba mapato yaliokusanywa ni 30,879,168,799. Na Yussuph Hassan. Halmshauri ya Jiji la Dodoma…
1 November 2023, 11:21
Jamii yatakiwa kushiriki kutokomeza rushwa ya ngono
Rushwa ya ngono inaweza kusababisha athari kubwa kwa mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla. Na Aisha Alim. Jamii imetakiwa kushirikaiana katika kuhakikisha vitendo vya rushwa ya ngono makazini vinatokomezwa kwani ni miongoni mwa vitendo vya ukatili vinavyomnyima mtu haki…
1 November 2023, 10:54
Uhaba wa maji wahatarisha familia na ndoa za wakazi wa Zepisa
Changamoto ya maji kwa Wakazi wa Zepisa B kata ya Hombolo Makulu imekuwepo tangu mwaka 1984 Hadi sasa 2023. Na Mindi Joseph. Wakazi wa Mtaa wa Zepisa B kata ya Hombolo Makulu Mkoani Dodoma wameomba kutatuliwa changamoto ya maji inayowakabili…
31 October 2023, 11:49
Wakulima Wagomea mbolea ya Ruzuku
Na Mindi Joseph. Baadhi ya wakulima wa kijiji cha Chinangali 2 Mkoani Dodoma wamegoma Kujisajili kuchukua mbolea za ruzuku zinazotolewa na Serikali kutokana na kile wanachodai zinaua Mashamba yao. Hayo yamebainika baada ya Dodoma Tv kufika eneo hilo na kuzungumza…
31 October 2023, 11:21
Wakulima wa mpunga Bahi wailalamikia tume ya umwagiliaji
Wakulima hao wanasema pamoja na kufuatilia kwa muda mrefu, bado tume ya umwagiliaji haijaonyesha ushirikiano katika kutatua kero hiyo. Na. Bernad Magawa Wakulima wa mpunga wilayani Bahi Wameilalamikia tume ya umwagiliaji kwa kushindwa kuwarekebishia miundombinu ya kilimo kwa miaka miwili…
31 October 2023, 10:49
Wakandarasi watakiwa kuzingatia matakwa ya jiji la Dodoma
Huu ni mpango wa Uboreshaji wa Miundombinu katika miji ya Tanzania ujulikanao kama TACTIC unaofanywa na wakandarasi watatu. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule amewataka wakandarasi waliopewa miradi ya kujenga miundombinu ya barabara katika jiji…
30 October 2023, 14:09
Bahi Sokoni waanza utaratibu wa kusoma mapato na matumizi
kupitia mkutano huo elimu mbalimbali zilitolewa ikiwemo suala la ukatili wa kijinsia. Na. Bernad Magawa. Kijiji cha Bahi Sokoni wilayani Bahi kimeanza kutekeleza kwa vitendo agizo la Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Bahi Zaina Mlawa alilolitoa hivi karibuni…
30 October 2023, 14:08
Benvenuti a Teknogame Casino!
Indice dei Contenuti Siete pronti a scoprire un mondo di emozioni e vincite incredibili? TeknoGame Casino è il posto giusto per voi! In questo articolo, vi guideremo attraverso tutto ciò che c’è da sapere su come giocare al nostro casinò…
30 October 2023, 12:20
Umbali mrefu chanzo wanafunzi kukatisha masomo Mbandee
Kupitia mradi wa BOOST umeendelea kuimarisha elimu msingi kwani takribani shilingi trilioni moja zimejenga madarasa ya shule za msingi 9,705 na kukarabati shule za msingi kongwe kwa mwaka wa fedha 2022/23. Na Mindi Joseph. Umbali mrefu wanaotembea wanafunzi wa kitongoji…