Recent posts
14 November 2023, 17:58
Athari za mabadiliko ya tabia nchi zinavyosababisha kushuka kwa elimu ya wasicha…
Leo tunaangazia jinsi Athari za mabadiliko ya tabia nchi zinavyosababisha kushuka kwa elimu ya wasichana. Na Mariam Matundu. Mariam matundu awali alizungumza na mwanaharakati wa maswala ya mabadiliko ya tabia nchi na haki za wasichana fower malle na ameanza kumuuliza…
14 November 2023, 16:21
Ujenzi wa kituo cha Afya Mlowa barabarani kupunguza adha ya akina mama kujifungu…
Pamoja na uwepo wa Hospitali hiyo ya wilaya lakini bado wana mikakati ya kuboresha zahanati katika kijiji cha Mlodaa. Na Victor Chigwada. Wakazi wa Kata ya Mlowa Barabarani Wilayani Chamwino wamesema ujenzi wa kituo cha afya ndani ya Kata yao…
14 November 2023, 15:29
Kuondolewa kwa sheria ya kushusha mizigo Job Ndugai kwaleta neema kwa wafanyabia…
Wafanyabiashara katika soko kuu la majengo jijini Dodoma pamoja na soko la sabasaba walikuwa wakishusha mizigo yao katika soko la Job Ndugai na katika siku za hivi karibuni Jiji la dodoma liliruhusu wafanyabiashara kushusha mizigo katika masoko yao. Na Khadija…
13 November 2023, 19:03
Wananchi pigeni vita usafirishaji haramu wa binadamu
Biashara hiyo imekuwa ikisababisha athari ikiwemo kutumikishwa kwa ujira mdogo na wengine kutolewa baadhi ya viungo bila ridhaa huku utumikishwaji wa majumbani ukitajwa kuwa moja ya mambo yanayowaathiri wasichana wengi. Na Bernad Magawa. Jamii imetakiwa kupiga vita suala la usafirishaji…
13 November 2023, 17:11
DC Mpwapwa abaini upigaji pesa za watumia maji
Sera ya Maji ina inasisitiza miradi ijengwe, iendeshwe na kusimamiwa na wananchi ili ijiendeshe kwa kufanyaa matengenezo kila inapohitajika bila kutegemea ruzuku kutoka serikalini. Na seleman Kodima. Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa imeamua kuziunganisha jumuiya za watumia maji (CBWSO) badala…
13 November 2023, 16:31
Ubakaji, ulawiti kwa watoto wakithiri Dodoma
Ripoti hiyo ni kwa mujibu wa Kituo cha One stop center kwa mwezi Septemba 2023 ambapo takwimu zimebainisha kuwa mkoa wa Dodoma matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto 130 kwa matukio ya ubakaji huku watoto 69 wakilawitiwa. Na Seleman…
13 November 2023, 16:07
Wanafunzi watakiwa kutofumbia macho vitendo vya rushwa
Na Seleman Kodima. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Alhaji Jabiri Shekimweri amewataka wanafunzi wa Shule za Sekondari Dodoma kupinga, kuchukia na kutofumbia matendo ya rushwa. Rai hiyo ameitoa wakati akizungumza na shule 12 ambazo ziliingia fainali katika shindano la Mdahalo…
13 November 2023, 15:13
Sukari, shinikizo la damu isipotibiwa mapema husababisha matatizo zaidi
Na Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa endapo Magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu ya damu yasipopatiwa matibabu mapema yanaweza kusababisha magonjwa mengine makubwa. Magonjwa hayo ni pamoja na ugonjwa wa figo ambapo Dkt. Amina Omary kutoka Hospitali ya rufaa ya…
13 November 2023, 14:47
NEC kuanza uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura
Na Aisha Alim. Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC inatarajia kuanza uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ili kuondoa changamoto zinazoweza kujitokeza wakati wa uchaguzi. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi kutoka NEC Bw. Ramadhani Kailima wakati akizungumza…
8 November 2023, 18:05
Wizi waibuka soko la Machinga Complex Dodoma
Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu kuzinduliwa kufanya biashara kwa wamachinga ambapo awali walikuwa wakifanyia biashara katika maeneo ya katikati ya jiji la Dodoma. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara katika soko la Machinga Complex jijini Dodoma wamelalamikia tabia ya…