Recent posts
20 November 2023, 19:15
Wananchi Chamwino waiomba serikali kudhibiti tembo wanaovamia makazi yao
Wananchi hao wanasema uvamizi wa wanyama hao unahatarisha maisha yao pamoja na mali zao. Na Seleman kodima. Wananchi wa kata za Manda, Fufu na Mlowa Bwawani wilayani Chamwino mkoani Dodoma wameiomba serikali kudhibiti tembo ambao wamekuwa wakivamia makazi ya watu…
19 November 2023, 12:22
Ushirikiano wa wenza katika kumiliki mali
Na Leonard Mwacha. Hii leo tunaangazia umuhimu wa wenza kushirikiana katika umiliki wa mali. Mwenzetu Leonard Mwacha amefanya mazungumzo na mwanasheria na ameanza kumuuliza hali ikoje kwa wanawake kushirikishwa katika umiliki wa mali wa pamoja na wenza wao.
19 November 2023, 11:45
Mlowa barabara wadai wizi wa mifugo unarudisha nyuma maendeleo yao
Wimbi la wizi wa mifugo limerejea kwa kasi mkoani hapa baada ya kuwepo utulivu wa zaidi ya miaka 17.Picha na Muungwana blog. Hata hivyo Serikali imeendelea kutoa mafunzo kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya jeshi la akibaa…
19 November 2023, 11:18
CCM yakerwa kusuasua miradi ya Maji Dodoma
Ikumbukwe kwamba mwezi June mwaka huu, Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi Comredi Daniel Chongolo alifanya ziara Mkoani Dodoma na kuagiza kukamilishwa haraka kwa mradi wa maji wa kata ya chali na Ibihwa lakini mpaka sasa miradi yote imesimama kutokana…
19 November 2023, 10:53
Asilimia 11 ya akina mama nchini hujifungua kabla ya wakati kila mwaka
Siku ya watoto waliozaliwa kabla ya wakati ilianzishwa kwa nia ya kuelimisha kuhusu kujifungua watoto ambao bado hawajakomaa. Na Mindi Joseph. Maadhimisho ya siku ya watoto wanozaliwa kabla ya wakati yalifanyika Nov 17 katika hospital ya benjamini mkapa yakiwa yamebeba…
15 November 2023, 17:31
Ifahamu Miswada mitatu iliyo wasilishwa bungeni wiki iliyopita
Yapo mambo mazuri waliyobaini baada ya Miswada hiyo kuwasilishwa Bungeni ikiwa ni pamoja na vyama vya Siasa kuwa na Sera ya mambo ya Ujumuishwaji ya Kijinsia na Makundi Maalum,Vyama vya Siasa kuwa na Mipango ya kuimarisha ushiriki wa wanawake,Vijana na…
15 November 2023, 17:07
RUWASA na CBWSO Kondoa kupunguza vyombo vya maji kutoka 44 hadi 10
Mkutano huo utasaidia kuboresha upatikana wa huduma ya maji wilayani humo. Na Nizar Mafita. Wakala Wa Maji Safi Na Usafi Wa Mazingigra Vijijini Wilaya Ya Kondoa Kwa Kushirikiana Na Ruwasa Mkoa Wa Doddoma Pamaoja Na Vyombo Vya Watoa Huduma Ya…
15 November 2023, 16:37
Ugumu wa maisha wapelekea wagonjwa kushindwa kufuata ushauri wa kitaalam
Takwimu zinaonesha kuwa duniani kote chini ya asilimia 50 ya nchi zina será za kitaifa za kufanya mazoezi ya mwili na kati ya hizo ni asilimia 40 ndio zinazofanya kazi ni muda sasa Jamii kuwa na utamaduni wa Kufanya mazoezi…
15 November 2023, 15:34
Shule ya msingi Chilanjilizi yalia na uhaba wa walimu wakike
Shule zenye wanafunzi mchanganyiko ni vyema kuwa na walimu wa jinsia zote kwani Watoto wa kike shuleni wanahitaji uangalizi ili kuwapa ujasiri na uwezo wa kueleza matatizo yanayowakuta wasichana wawapo shuleni. Na Victor Chigwada Wananchi wa Kata ya Ngomai wilayani…
14 November 2023, 18:40
Yafahamu makundi na mgawanyiko wa majukumu ya nyuki kwenye mzinga
Je Maisha ya Nyuki yapoje katika Mzinga. Na Yussuph Hassan. Nyuki wamegawanyika katika aina kuu mbili pamoja na mgawanyo wa majukumu katika kila koloni.Leo Afisa nyuki anatueleza makundi na aina ya majukumu ya nyuki kwenye makoloni yao.