Recent posts
6 December 2023, 12:41
Mvua yaleta athari katika baadhi ya maeneo jijini Dodoma
Tukio hilo limetokea Usiku wa Kumkia Disemba 5 baada ya Mvua kubwa kunyesha jijini Dodoma na kusababisha eneo hilo kujaa maji na kusababisha baadhi ya nyumba kubomoka. Na Seleman Kodima. Mtu mmoja amejeruhiwa huku Zaidi ya Nyuma Tano za Mtaa…
6 December 2023, 12:20
Dodoma watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya mvua zinazoendelea
Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zinatajwa kusababisha madhara mbalimbali ikiwemo vifo vya watu 63 vilivyotokea katika wilaya ya hanag mkoani manyara usiku wa kuamkia jumapili ya nov. 03 mwaka huu. Na Thadei Tesha. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha mafuriko…
6 December 2023, 11:44
Bahi Road walalamika kuziba kwa makaravati ya kupitisha maji ya mvua
Baadhi ya wafanyabiashara wa eneo hilo wamelalamika kushindwa kuendelea na biashara zao kutokana na maji kuzingira eneo hilo. Na Khadija Ibrahim. Wafanyabiashara katika mtaa wa Bahi road Jijini Dodoma wamelalamikia ujenzi wa kituo cha mafuta katika eneo hilo kilichosababisha kuziba…
4 December 2023, 16:57
Makala: Ushirikiano wa wazazi na walimu katika maendeleo ya mtoto shuleni
Na Mariam Matundu. Mwandishi wetu Mariam Matundu amezungumza na Kamishna wa Elimu Tanzania, Dk. Lyambwene Mutahabwa na hapa anaelezea umuhimu wa ushiriki wa wazazi na walimu katika Maendeleo ya Mtoto.
4 December 2023, 16:45
Ujenzi daraja la Munguri kuanza Januari mwakani
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema daraja hilo ni lazima lijengwe kwa kuwa ni daraja la kitaifa. Na Nizar Mafita. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amethibitisha ujenzi wa daraja la Munguri kuanzia mwezi Januari mwakani. Akitoa maelezo mafupi kwa Waziri…
4 December 2023, 15:57
Watu wenye ulemavu watakiwa kuripoti vitendo vya ubaguzi ili haki itendeke
Maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu huadhimishwa kila ifikapo Desemba 3 ambapo kaulimbiu ya mwaka huu ni “Tuungane kuchukua hatua katika kutoa huduma ili kuyafikia malengo ya maendeleo endelevu kwa watu wenye ulemavu” Na Victor Chigwada. Watu wenye ulemavu…
30 November 2023, 14:57
TAMWA yahimizwa kuweka mkazo ajenda ya uhuru wa kujieleza
(TAMWA) tunaahidi kumuunga mkono kivitendo kwa sababu ni jukumu ambalo tumealianza tangu miaka 36 iliyopita. Na Alfred Bulahya. Chama cha wahandishi wa habari wanawake Tanzania (TAMWA) kimetakiwa kuweka mkazo mkubwa katika uhuru wa kujieleza unaojumuisha sauti za wanawake ndani ya…
30 November 2023, 14:00
Polisi wanawake watakiwa kutafuta fursa kufikia malengo
Jeshi la polisi mkoani Dodoma linashiriki katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia duniani zilizoanza novemba 25 na zinatarajiwa kufikia tamati Disemba 10. Na Arafa Waziri. Maofisa wa Jeshi la Polisi wanawake Mkoani Dodoma wametakiwa kufanya kazi…
29 November 2023, 16:42
Wanawake watakiwa kujikita katika nyanja za siasa
Maadhimisho hayo yamehitimishwa leo Nov 29 Jijini Dar es salaam . Naibu Waziri wa Habari Kundo Mathew amesema matamanio yake ni kuona wanawake wapo katika nyanja za kisiasa kama ilivyo kwa rais Dkt Samia Suluhu Hassan Ameyasema hayo Nov 28,…
29 November 2023, 15:43
Uhuru wa matumizi ya kipato kwa wafanyakazi wa majumbani
Na Mariam Matundu Leo tunazungumzia wafanyakazi wa majumbani, wanawezaje kuwa huru na matumizi ya kipato chao Mariam amefanya mazunguzo na katibu wa chama cha wafanyakazi za nyumbani Chodau mkoa wa Dodoma na Ameanza kumuuliza kwanini baadhi ya wafanyakazi hao wanakosa…