Recent posts
8 November 2023, 17:21
Mifugo ya mwenyekiti mstaafu yapewa sumu asema anaumuachia Mungu
Ikumbukwe mtaa huo una mwenyekiti wa mtaa ambapo majukumu yake ni kusimamia na kuhamasisha ulinzi na usalama wa watu na mali zao na wananchi wana haki na wajibu wa kulinda mali, rasilimali za umma na kupambana na kila aina ya…
8 November 2023, 15:35
MEMKWA mkombozi kwa watoto Nagulo Bahi
Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Watoto Walioikosa MEMKWA ni moja ya jitihada za kufikia malengo ya maendeleo endelevu hasa Elimu bora. Na Mariam Kasawa. Wakazi wa mtaa wa Nagulo Bahi Kata ya Bahi wametakiwa kujitokeza kuwaandikisha watoto kwaajili ya…
7 November 2023, 17:13
Wananchi Ihumwa A waomba kutengewa eneo la kuhifadhi taka
Hali hii inashangaza kuona mtaa huo ambao haupo mbali na ulipo mji wa serikali ukikosa mzabuni wa kukusanya takataka na wananchi wakichoma takataka katika maeneo yao wakati sheria zipo na miongozo ya udhibiti na utunzaji wa mazingira . Na Victor…
7 November 2023, 16:36
Wananchi watakiwa kuacha matumizi ya maziwa mabichi
Baadhi ya watu wanaokunywa maziwa mabichi huenda wasielewe kikamilifu hatari na huenda wasijue uwezekano wa kupata ugonjwa kutokana na bakteria katika maziwa . Na Aisha Alim. Bodi ya maziwa nchini imetoa tahadhari kwa wananchi juu ya kuepuka matumizi ya maziwa…
7 November 2023, 15:42
Chama cha mafundi kuboresha mazingira ya kazi zao Dodoma
Ufundi ni moja kati ya tasnia yenye mchango mkubwa katika kuanzisha ukuaji wa miji. Na Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa uwepo wa chama cha mafundi rangi na ujenzi Mkoani Dodoma itasaidia kwa kiasi kuboresha mazingira ya kazi kwa mafundi hao. Kutokana…
7 November 2023, 15:05
Mtoto wa miaka minne afariki baada ya kutumbukia kisimani Mpwapwa
Na Fred Cheti Mtoto mwenye umri wa miaka 4 aliyefahamika kwa jina la Denis Emanuel amefariki dunia baada ya kuteleza na kudumbukia katika kisima cha maji alipokuwa akicheza kando ya kisima hicho katika kijiji cha Ilolo wilaya ya Mpwapwa mkoani…
7 November 2023, 12:34
Mimba za utotoni zapungua nchini kwa 5%
Dodoma ni miongoni mwa mikoa iliyofanikiwa kupunguza mimba za utotoni kwa kiwango kikubwa . Na Mariam Matundu. Ripoti ya utafiti wa afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya malaria ya mwaka 2022 imeonesha Tanzania imefanikiwa kupunguza mimba za utotoni…
2 November 2023, 12:46
Mpango maalum ‘Tumewasikia Tumewafikia’ wazinduliwa Dodoma
Mpango huo ulizinduliwa katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dodoma ambapo ni programu ya nchi nzima yenye lengo la kuhakikisha wananchi wanapata taarifa juu ya yale yanayotekelezwa na seikali ya awamu ya sita ukiwa na jina TUMEWASIKIA TUMEWAFIKIA. Na…
2 November 2023, 11:51
Mkuu wa wilaya Kongwa awabana watendaji wa maji Mtanana
Hivi karibuni kikao hicho kilifanyika katika kata ya mtanana hii ni baada ya kubaini uwepo wa harufu ya Ubadhilifu wa Mapato yanayokusanywa kupitia Miradi ya Maji katika Kata hiyo hali iliyopelekea kushamiri kwa matumizi ya fedha mbichi. Na Mariam Kasawa.…
2 November 2023, 11:12
Wizi wa mifugo washamiri Chinangali 2
Na Mindi Joseph. Wimbi la wizi wa mifugo limeendelea kushika kasi katika Kijiji cha Chinangali 2 wilayani chamwino mkoani Dodoma ambapo Mifugo hiyo huibiwa na kuchinjwa nyakati za usiku. Katika kipindi cha Miezi 10 ndani ya Mwaka huu 2023 ng’ombe…