Recent posts
14 August 2023, 18:25
Wananchi watakiwa kufahamu umuhimu wa Parachichi
Kwa mujibu wa Jarida la Jumuiya ya Moyo la Amerika linaelezea kuwa kula Parachichi kunaweza kupunguza hatari ya Ugonjwa wa Moyo na Mishipa kulingana na utafiti mpya uliochapishwa hivi karibuni. Na Abraham Mtagwa. Wananchi Jijini Dodoma wameshauriwa kuwa watumiaji wazuri…
14 August 2023, 16:24
Usugu wa dawa watajwa kugharimu maisha ya binadamu
Inakadiriwa kuwa kama hatua madhubuti hazitachukuliwa janga hili litaua watu milioni 10 kwa mwaka ifikapo 2050 kwani tathmini iliyofanywa mwaka 2019 ilionesha uwepo na vifo vya watu takribani milioni 1.27, ambavyo vilisababishwa moja kwa moja na vimelea sugu kwa dawa.…
14 August 2023, 12:41
Rushwa ya ngono inavyowaathiri vijana katika utafutaji
Nini kifanyike ili kuwanusuru vijana pindi wanapokutana na changamoto ya kuombwa rushwa ya ngono. Na Leonard Mwacha. Vijana wamekuwa wakipitia changamoto nyingi pindi wanapotafuta maisha ikiwemo kuombwa rushwa ya ngono ili waweze kufanikiwa kimaisha. Hali hii imekuwa ikiwakatisha tamaa vijana…
10 August 2023, 14:28
Baba, mama lishe watakiwa kuzingatia usafi
Watoaji wa huduma ya vyakula katika maeneo mbalimbali ikiwamo migahawa na hotel wanashauriwa kuwa katika hali ya usafi ikiwemo uvaaji wa mavazi nadhifu ili kulinda afya ya walaji. Na Mariam Msagati. Usafi binafsi kwa wafanyabishara wanaojihusisha na biashara ya kuuza…
10 August 2023, 14:01
Nini kifanyike kesi za ukatili wa kingono zisimalizwe kifamilia?
Serikali itaendelea kuimarisha mifumo yote ya ulinzi na usalama wa mtoto kama ilivyoelekezwa katika mikataba ya kikanda na kimataifa kuhusu haki na ustawi wa mtoto ili kuhakikisha hakuna mtoto anayefanyiwa vitendo vya ukatili. Na Mariam Matundu. Na leo tumepita Mtaani…
10 August 2023, 13:37
TMDA yaanzisha mfumo wa ufuatiliaji wa usalama wa dawa
Pamoja na hayo TMDA imesisitiza Wagonjwa na jamii kutoa taarifa mapema kwenye hospitali ,kituo cha afya,zahanati au duka la dawa ambapo matibabu yalitolewa ambapo utoaji wa taarifa za madhara ya dawa ni jukumu la kila mmoja ili kusaidia kuboresha sekta…
10 August 2023, 13:20
Wazazi watakiwa kuwapatia haki ya elimu watoto wenye ulemavu
Ingawa malengo ya maendeleo endelevu yanahimiza kuwa hakuna mtoto anayepaswa kuachwa nyuma lakini utafiti uliofanywa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumiwa Watoto UNICEF 2022 unaonesha kuwa kati ya watoto milioni 240 wenye ulemavu duniani nusu hawajawahi kuhudhuria shuleni.…
10 August 2023, 12:45
Jamii yatakiwa kuondokana na matumizi holela ya dawa
Kwa Mujibu wa Mtaalamu Teobad Abdon ameeleza kuwa matumizi holela ya dawa husababisha madhara katika mwili wa binadamu ikiwemo matumizi ya dawa ambazo sio za ugonjwa husika. Na Diana Massae. Jamii imetakiwa kuondokana na matumizi holela ya dawa bila…
10 August 2023, 12:10
Jimbo kuu katoliki Dodoma lapokea sanamu ya Bikira Maria
Kwa mujibu wa imani ya kanisa katoliki, Mama bikira maria ndiye mama wa Yesu kristo Mkombozi wa ulimwengu, ambaye ni muombezi wa kanisa ambapo baada ya kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika mwaka 1961, Muasisi wa Taifa hili hayati Julius Kambarage…
9 August 2023, 18:28
EWURA yatoa leseni kwa zaidi ya mafundi umeme 5000
EWURA imeendelea kuwakumbusha Mafundi Umeme kufanya kazi kwa mujibu wa kanuni za Umeme hususani kanuni namba 15, 16 na 17. Na Mindi Joseph. Zaidi ya mafundi umeme 5000 wamepatiwa leseni na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji…