Recent posts
11 October 2023, 11:14
Asilimia 80 ya wagonjwa wa akili wamerithi ugonjwa huo
Inasadikiwa kuwa mtoto mmoja kati ya sita walio na umri wa chini ya miaka 18, ana uwezekano wa kuwa na tatizo la afya ya akili hata hivyo asilimia 75 ya watu hao hawapati huduma ya afya wanayohitaji. Na Selemani Kodima.…
11 October 2023, 10:46
Jamii yaeleza inavyojihusisha kumkomboa mtoto wa kike
Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa tarehe 19 Desemba 2011 ulipitisha Azimio na kutangaza kwamba, kila tarehe 11 Mwezi Oktoba itakuwa ni Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike Duniani kote, dhamira ikiwa ni kutambua haki za mtoto wa kike…
11 October 2023, 09:43
Serikali kuendelea kushirikiana na wadau binafsi kuboresha elimu
Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na Taasisi binafsi katika kuboresha Mfumo wa Elimu nchini. Na Thadei Tesha. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na Taasisi binafsi katika kuboresha Mfumo wa…
11 October 2023, 09:04
BMH kuanzisha upasuaji wa moyo kwa watu wazima
Katika kuadhimisha Miaka 8 ya Mafanikio Hospitali ya Benjamin Mkapa zaidi ya wananchi 100 wamepatiwa huduma ya Nyonga na kupunguza gharama na usumbufu. Na Mindi Joseph. Katika kuadhimisha miaka 8 Hospitali ya Benjamin Mkapa inatarajia kuanzisha huduma za upasuaji wa…
9 October 2023, 20:36
Viongozi watakiwa kuacha kutumia nguvu za giza
Wito huo umetolewa na Askofu wa Kanisa la Pentecoste Christian International Thomas Kiula wakati wa tukio la Uzinduzi wa kanisa jipya na kumsimika Uchungaji wa kanisa hilo linalopatikana mtaa Ndachi kata ya Mnadani Dodoma Mjini. Na Seleman Kodima. Viongozi wametakiwa…
9 October 2023, 20:16
Vilindoni yakabiliwa na upungufu wa matundu ya vyoo
Shule zinapaswa pamoja na mambo mengine kuwa na vyoo bora na vya kutosha kwa walimu na wanafunzi. Na Mindi Joseph. Shule ya Msingi Vilindoni inakabiliwa na uhaba wa matundu ya vyoo 15. Shule hiyo inajumla ya matundu 9 ya vyoo…
9 October 2023, 09:27
Vijana watakiwa kutambua umuhimu wa sekta ya kilimo
Taasisi ya kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Tanzania AMDT Leo imewakutanisha Wadau mbalimbali kutoka sekta ya Umma, wawakilishi kutoka mashirika mbalimbali na vijana katika Mdahalo wa kuibua changamoto zinazowakabili vijana ili kupata majibu sahihi. Na Mariam Kasawa. Vijana wametakiwa…
28 September 2023, 22:40
Madarasa mapya kupunguza msongamano wa wanafunzi Makulu
Ujenzi wa Madarasa Matano katika shule ya Dodoma Makulu tayari umekamilika huku ushiriki wa wananchi katika ujenzi huo ukitajwa kuwa mkubwa. Na Mindi Joseph. Shilingi milion 100 zimetumika katika ujenzi wa madarasa 5 katika shule ya msingi Dodoma Makulu na…
28 September 2023, 21:44
Mlebe waiomba serikali kukarabati barabara
Ubovu wa miundombinu ya barabara umekuwa ukikwamisha shughuli za uchumi kwa wananchi kwani wanashindwa kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Na Mindi Joseph. Wananchi wa Kijiji cha Mlebe Wilayani Chamwino wameiomba serikali kuwakarabatia barabara inyaounganisha kijiji hicho na Mjini ili…
28 September 2023, 16:42
MCT yakiri kukinzana kwa sheria ya matumizi sahihi ya mitandao
Hali hiyo imekuwa ikikinzana na Sheria ya haki ya kupata Taarifa ambayo inatoa wigo kwa wananchi kuwa huru kupata taarifa ambazo hazijazuiliwa kisheria. Na Seleman Kodima. Pamoja na Serikali kuhimiza Matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii, Baraza la Habari Tanzania…