Recent posts
7 September 2023, 14:27
Familia zatakiwa kutatua changamoto ili kujenga ustawi wa watoto
Migogoro katika familia isiposuluhishwa matokeo yake ni ndoa kuvunjika, kitendo ambacho hakipendwi na jamii, na hakina faida kwa watoto wao, madhehebu ya dini, wazazi, jamaa na wategemezi wao. Na Yussuph Hassan. Utatuzi wa changamoto za kifamilia umetajwa kuwa ni njia…
7 September 2023, 13:56
Madereva watakiwa kujaza mafuta gari ikiwa haina abiria
Je sheria hii imatambulika na imekuwa ikifuatwa na madereva wa vyombo vya moto hususani Magari ya abiria. Na Thadei Tesha. Madereva wa vyombo vya moto wametakiwa kutambua kuwa ni kosa kisheria kujaza Gari mafuta na abiria wakiwa ndani ya gari.…
7 September 2023, 13:00
Maafisa ustawi jamii watakiwa kutoa elimu ya afya ya akili
Mkutano wa Maafisa ustawi wa jamii umefunguliwa jana jijini Dodoma ambao utadumu kwa muda wa siku mbili na kuwakutanisha maafisa ustawi wa jamii Nchi nzima ili kujadili namna ya kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi. Na Yussuph Hassan. Maafisa ustawi wa…
7 September 2023, 12:22
Madereva jijini Dodoma walia na bei ya mafuta
Serikali imetangaza bei mpya ya mafuta ambapo kwa sasa wastani wa bei kikomo kwa mkoa wa Dodoma ni shilingi 3271 kwa mafuta ya petrol, shilingi 3318 kwa mafuta ya diseli na mafuta ya taa shilingi 3002. Na Katende. Wamiliki wa…
6 September 2023, 15:06
Vilindoni shule kongwe yenye changamoto
Licha ya shule hii kuwa Kongwe lakinibado inakabiliwa na upungufu wa madawati, upungufu wa walimu na Uchakavu wa madarasa. Na Yussuph Hassan. Leo kamera ya fahari ya Fahari imegonga hodi katika kata ya Mbabala shule ya msingi Vilindoni ,shule hii…
6 September 2023, 14:27
Upungufu wa madarasa Vilindoni wasababisha mrundikano wa wanafunzi
Jumla ya madarasa 19 yanahitajika kujengwa katika shule hiyo ili kupunguza mrundikano wa wananfunzi darasani. Na Mindi Joseph. Upungufu wa madarasa katika shule ya msingi Vilindoni umesababisha mrudukano wa wananfunzi darasani. Darasa moja wanafunzi wanakadiriwa kukaa 90 hadi 100. Hapa…
6 September 2023, 13:47
Wajawazito wahimizwa kutumia dawa kinga
Kwa mujibu wa wataalam wa afya, wanasisitiza suala la akina mama kupata dawa kinga kwani zimekuwa na umuhimu kwa afya ya mama na mtoto. Na Naima Chokela. Imeelezwa kuwa upo umuhimu kwa mama mjamzito kupatiwa dawa kinga katika kipindi cha…
6 September 2023, 12:52
Watumiaji wa vyombo vya usafiri walalamika kusimamishwa muda mrefu
Kwa mujibu wa wakazi wa Jiji la Dodoma wanasema kuwa mara nyingi changamoto ya foleni Jijini hapa husababashwa na misafara ya viongozi na kuchangia kukaa muda mrefu kandokando ya barabara wakingoja misafara kupita. Na Khadija Ayoub. Watumiaji wa vyombo vya…
6 September 2023, 12:09
Wajawazito watakiwa kuzingatia chanjo ya pepopunda
Kwa mujibu wa wataalamu wa Afya wanasema kuwa iwapo mama mjamzito atazikosa chanjo hizo itachangia kupata madhara makubwa na kumuathiri mtoto aliyepo tumboni huku wakishauri kufika mapema katika vituo vya Afya pale tu Mtu atakapohisi dalili za ujauzito. Na Richald…
5 September 2023, 16:01
Wakazi wa Karume waomba kuwekewa alama za vivuko barabarani
Wananchi wanadai kukosekana kwa alama za barabarani katika eneo hilo kunapelekea baadhi ya watu kuendesha vyombo vya moto kwa kasi na kupelekea ajali za mara kwa mara. Na Asted Bambora. Imeelezwa kuwa ukosefu wa AIama za Barabarani hususani mchoro wa…