Recent posts
18 September 2023, 17:43
Taasisi za umma zaombwa kuitumia mamlaka ya serikali mtandao
Mamlaka ya serikali mtandao inatekereza program ya kukuza bunifu katika tehama kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kuanzia kwa miaka 5 sasa tangu mwaka 2019 hadi mwaka 2023. Na Mariam Matundu. Taasisi za Umma zimeombwa kuitumia Taasisi ya mamlaka ya…
18 September 2023, 16:52
Jamii yatakiwa kuwajali yatima na wajane
Katika tukio hilo Jumuiya ya wanawake wakiislamu Tanzania JUWAKITA wilaya ya Dodoma ililenga kuwa pamoja na Wajane 50 na Yatima 100 ikiwa ni muendelezo wa Kutenda Matendo Mema kwa Jamii . Na Seleman Kodima. Jamii imekumbushwa kuwajali,Kuwasaidia na kuwatazama zaidi…
18 September 2023, 15:34
Viongozi wa dini watakiwa kutoa huduma nzuri kwa wananchi
Kanisa la Pentecostal Christian International lililopo Mji Mwema Dodoma limesimika viongozi 20 katika nafasi za huduma mbalimbali. Na Yussuph Hassan. Viongozi waliosimikwa katika nafasi mbalimbali ndani ya Kanisa la Pentecostal Cristian International lililopo Mji Mwema Dodoma, wametakiwa kutoa huduma nzuri…
18 September 2023, 14:29
Jamii yatakiwa kuzingatia lishe bora
Mara kadhaa Wizara ya Afya pamoja na taasisi mbalimbali za afya nchini zimekuwa zikitoa ushauri kwa jamii kuzingatia ulaji wa lishe bora lengo ikiwa ni kuimarisha afya na kinga ya mwili. Na Diana Massae. Jamii imetakiwa kuzingatia ulaji wa vyakula…
18 September 2023, 11:03
Manchali watakiwa kuwa walinzi wa vifaa vya ujenzi wa shule
Huu ni mwendelezo wa ziara zake za kikazi Mhe. Senyamule ambapo amekagua pia Ujenzi wa Mradi wa Shule Mpya ya kata ya Manchali, Mradi wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Dodoma na Chuo cha Veta. Na Mindi…
15 September 2023, 08:25
Maeneo ya ukusanyaji taka jijini Dodoma yatakiwa kuboreshwa
Ukaguzi wa maeneo ya kuhifadhia taka ndani ya jiji la dodoma umefanywa na mkuu wa wilaya hiyo bw. Jabir shekimweri ikiwemo maeneo ya nguhungu, changombe, miyuji pamoja na eneo la chidaji sehemu ya mwisho ya kuzika taka ngumu. Na David…
15 September 2023, 08:02
Taasisi, viongozi wa dini washirikishwe kutoa elimu anuani za makazi
Ufunguzi wa mafunzo ya kujenga uwezo kuhusu mfumo wa anuani za makazi kwa maafisa tarafa watendaji wa kata,na wenyeviti wa mitaa umefunguliwa leo katika ukumbi wa chuo cha mipango jijini Dodoma ambapo unatarajia kufanyika kwa muda wa siku mbili. Na…
15 September 2023, 07:12
Zaidi ya wananchi 1500 wafikiwa na elimu ya malezi
Program jumuishi ya malezi, makunzi na maendeleo ya awali ya mtoto ilizinduliwa mwaka 2021 na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ambapo wadau mbalimbali wanatekeleza program hiyo. Na Mariam Matundu. Zaidi ya wananchi elfu moja na…
15 September 2023, 06:39
Jamii yatakiwa kuwa na desturi ya kufanya mazoezi
Ikumbukwe kuwa Idara ya Kinga, Wizara ya Afya imeanzisha Mpango kwa watumishi kufanya mazoezi mara mbili kwa wiki siku ya Jumatano na Ijumaa jioni mara baada ya saa za kazi kuanzia saa 9:30 hadi saa 11:00 jioni. Na Mindi joseph.…
13 September 2023, 17:46
Wananchi Membe waomba semina zaidi mradi wa bwawa
Mradi huo wa kilimo cha umwagiliaji unatarajia kuchukua takribani hekari 8000 ambapo ndani yake ndipo yanapatikana mashamba ya wananchi wanao hitaji kufahamu hatima ya mashamba hayo. Na Victor Chigwada. Uelewa wa wananchi wa Kijiji cha Membe wilayani chamwini kuhusu Mradi…