Dodoma FM

Recent posts

5 September 2023, 15:35

Watoto wasaidiwe kuvuka barabara ili kuepusha ajali

Kundi la watoto ni miongoni mwa makundi yanayohitaji misaada hususani pale wanapokuwa katika maeneo ya barabara ili kuepukana na ajali zinazoweza kutokea. Na Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kushiriki katika suala la kuwasadia watoto pale wanapoelekea shuleni na maeneo mengine ya…

5 September 2023, 15:10

Jamii yatakiwa kufuata kanuni na taratibu ili kuepuka usugu wa dawa

Matumizi holela ya dawa husababisha ugumu wa kutibu magojwa kutokana na mwili kuwa na usugu wa dawa. Na David kavindi. Jamii imeaswa kufuata kanuni na taaratibu za matumizi sahihi ya dawa ili kupeuka changamoto ya usugu wa dawa hizo mwilini. …

5 September 2023, 14:40

Maji yakwamisha muitikio wa upandaji miti

Serikali pamoja na wadau mbalimbali wameendelea kuhamasisha jamii juu ya suala la upandaji wa miti ambapo kwa mujibu wa wataalam wanaeleza kuwa miti imekuwa na faida nyingi katika kutunza mazingira. Na Diana Masai. Pamoja najitihada mbalimbali za wadau wa mazingira…

5 September 2023, 13:57

Wanaume wahimizwa kuhudhuria kliniki na wake zao

Miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha mwitikio mdogo kwa wanaume kuwasindikiza wenza wao kliniki ni pamoja na kukabiliwa na majukumu ya kila siku jambo ambalo linaweza kutatulika iwapo kila mmoja atatambua umuhimu wa kuhudhuria kliniki na mwenza wake. Na Richard Ezekiel.…

4 September 2023, 17:19

Fahamu asili ya jina Dodoma

Je ni kweli jina la Dodoma lilitokana  na tembo kudidimia katika eneo la Kikuyu kilipo chuo cha mtakatifu Yohana leo hii?

4 September 2023, 16:09

Kigoma Ujiji kupima, kusajili makazi 10,000 katika mitaa 25

Mradi huu umelenga kuboresha usalama wa milki za ardhi kwa kupanga, kupima na kusajili milki za ardhi zipatazo milioni 2.5 zinazojumuisha hatimilki 1,000,000 na Leseni za Makazi 1,000,000 katika maeneo ya mijini na Hati za Hakimilki za Kimila 500,000 vijijini.…

4 September 2023, 15:27

Wananchi watakiwa kuacha kutupa taka ovyo katika mazingira yao

Na Diana Masai. Ili kuondokana na uchafuzi wa mazingira jamii imeaswa kuacha kutupa  taka ovyo zikiwemo taka za plastiki ambazo haziozi. Wito huo umetolewa na  Mwenyekiti wa mtaa wa kitenge kata ya Majengo Jijini Dodoma  Helswida Mhagama wakati akizungumza na…

4 September 2023, 13:56

Wananchi walalamika kutolipwa fidia mradi wa bwawa Nagulo na Uhelela

Kwa kujibu wa viongozi hao wanasema kuwa mradi huu ulianza tangu mwaka 2021 ambapo lengo ni kuwasaidia wananchi wa eneo hilo kufanya shughuli ndogondogo za kilimo ikiwemo mbogamboga. Na Thadei Tesha. Wananchi katika kijiji cha Uhelela na Nagulo kata ya…

4 September 2023, 12:32

Wananchi watakiwa kutatua changamoto zinazo sababisha msongo wa mawazo

Takwimu kutoka shirika la afya Duniani WHO zinaonyesha kuwa kila mwaka watu 800,000 hupoteza maisha kwa kujiua kutokana na msongo wa mawazo huku kila baada ya sekunde 40. Na Naima Wananchi wametakiwa kujenga utamaduni wa kushirikishana katika kutatua changamoto mbalimbali…

30 August 2023, 17:25

DUWASA yaeleza mikakati yake ya kuboresha mfumo wa maji taka

DUWASA inasema tayari bajeti imekwisha tengwa kwaajili ya kuanza ikaranbati huo. Na Yussuph Hassan. Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dodoma DUWASA, imeweka wazi mikakati yao katika kuhakikisha inaboresha mtandao wa maji taka ambapo tayari fedha imeshategwa kwa ajili…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger