Recent posts
2 October 2024, 20:57
Tehama yarahisisha utoaji huduma sekta ya afya
Na Mindi Joseph Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko amepogeza jinsi tehama ilivyorahisisha utoaji wa huduma za afya kwa jamii. Ameyasema hayo leo jijini Dodoma katika Kongamano la 37 la kisayansi la wataalamu wa Maabara wa…
1 October 2024, 19:54
Miundombinu wezeshi inahitajika Viziwi kushiriki chaguzi zijazo
Na Mariam Matundu Kuelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa kundi la viziwi bado linatajwa kuachwa nyuma katika kushiriki mchakato huo kutokana na changamoto ya mawasiliano. Hii ni kutokana na uhaba wa wakalimani wa lugha ya alama katika mchakato huo…
1 October 2024, 19:53
Mtindo wa maisha chanzo magonjwa ya moyo kwa vijana
Vijana kwa sasa wamekuwa waathirika wakubwa wa magonjwa ya moyo Nchini Tanzania ukilinganisha na maeneo mengine Duniani. Mkurugenzi Mtendaji wa Hospital wa Benjamin Mkapa Prof Abel Makubi amebainisha hilo wakati akizungumza na waandishi wa Habari kuelekea kambi maalumu ya magonjwa…
1 October 2024, 19:53
Mradi wa bwawa kuipaisha Swaswa kiuchumi
Na Mindi Joseph. Ujenzi wa eneo la mapumziko katika Bwawa la Swaswa Jijini Dodoma unatarajiwa kuwanufaisha wananchi kiuchumi. Bwn. Isaack Daniel ambaye ni mjumbe na pia msimamizi wa ulinzi na usalama katika mtaa wa Swaswa amezitaja fursa za kiuchumi zinazotokana…
1 October 2024, 19:52
Jamii ya wenye ualbino wapaza sauti kuelekea chaguzi zijazo
Na Nazael Mkude. Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Nchini wito umetolewa kwa jamii kuacha tabia ya kuhusisha imani za kishirikiana katika mafanikio ya kisiasa. Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Mkoa wa Dodoma Bwn. Lodovick…
30 September 2024, 19:11
Wanne mbaroni tuhuma za mauaji Dodoma
Na Nazael Mkude. Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za matukio ya mauaji yaliyofanyika kwa nyakati na muda tofauti ndani ya Jiji la Dodoma. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dodoma, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma George Katabaz…
30 September 2024, 19:10
Zuzu yaiomba JICA huduma ya maji zaidi
Wananchi wa mtaa wa Mazengo Kata ya Zuzu wameliomba Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) kuwaongeza upatikanaji zaidi ya huduma ya maji kufuatia ukarabati wa kisima cha maji uliofanywa na shiirika hilo. Na Mindi Joseph. Licha cha ya…
30 September 2024, 19:10
Elimu zaidi ya VVU yahitajika kwa Vijana
Na Yussuph Hassan. Vijana Jijini Dodoma wameomba elimu iendelee kutolewa ili kukumbusha jamii juu ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Wakizungumza nyakati tofauti na Dodoma TV wakazi hao wamesema kuwa kwa kufanya hivyo itasaidia kupunguza maambukizi mapya ya…
30 September 2024, 19:09
Chidachi walilia urasimishaji wa makazi
Na Nazael Mkude . Wakazi wa Chidachi Kusini Mkoani Dodoma wameomba kupata huduma ya upimaji wa viwanja pamoja na kurasimishiwa makazi yao ambayo wamekuwa wakiyatumia kwa muda mrefu. Wakieleza malalamiko yao kupitia kituo cha habari cha Dodoma TV, wamesema kuwa…
27 September 2024, 20:42
Vijana tumieni vipaji kutatua changamoto ya ajira
Na Steven Noel. Changamoto kubwa inayowakabili vijana kwa sasa ni suala la upatikanaji wa ajira. Kutokana na changamoto hiyo, baadhi ya vijana wamefikiria njia mbadala ya kutumia vipaji walivyonavyo ili kujipatia kipato ili kuweza kujikimu kimaisha. Hapa tumsikie moja ya…