Recent posts
7 April 2025, 17:42
Wananchi kata ya Chamwino washiriki zoezi la usafi usafi
Zoezi hilo ni enedelevu katika kata hiyo ambapo kila Jumamosi wananchi hujitokeza kwa ajili ya kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya kata hiyo. Na Lilian Leopord.Wananchi wa kata ya Chamwino jijini Dodoma wameshiriki katika zoezi la usafi wa mazingira katika…
7 April 2025, 17:18
Miradi ya zaidi ya bilioni 7 yajengwa katika kata ya Miyuji Dodoma
Miradi hiyo ni mradi wa barabara ya lami inayounganisha kata hiyo na Ipagala, zahanati ya Mpamaa, Shule ya Sekondari miyuji, na sule ya msingi mlimwa C. Na Alfred Bulahya.Kamati ya siasa kata ya Miyuji ikiongozwa na Diwani wa kata hiyo…
2 April 2025, 18:00
Jamii yatakiwa kutowaita watu wenye ulemavu majina yasiyofaa
Kulingana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, asilimia 11.2 ya watu wote nchini wana ulemavu, idadi hiyo imeongezeka kutoka asilimia 9.3 ilivyokuwa katika sensa ya mwaka 2012. Na Lilian Leopord.Katika jamii, lugha ina nguvu kubwa katika kuunda…
2 April 2025, 17:43
Wakazi wa Mondela waiomba serikali kuboresha upatikanaji wa dawa
Itakumbukwa kuwa Machi 25 mwaka huu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akiwa mkoani Kilimanjaro amepiga marufuku tabia ya waganga katika hospitali za serikali kuwaandikia wagonjwa dawa na kuwaelekeza kununua dawa hizo katika maduka ya…
2 April 2025, 17:26
Wananchi Muungano watumia muda mrefu kutafuta maji
Aidha Taswira ya Habari inaendelea na juhudi ya kuutafuta uongozi wa RUWASA wilaya kujua hatua wanazochukua kutatua changamoto hiyo. Na Victor Chigwada.Uharibifu wa Miundombinu ya Maji katika kijiji cha Muungano kata ya Muungano umesababisha wananchi kukosa maji hali inayochangia wananchi…
1 April 2025, 18:25
‘Wananchi wapatiwe elimu ya fursa za taka’
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), linawataka Watanzania kuanza kubadili mtazamo na kuziona taka kama fursa ya kuzirejeleza na kupata bidhaa mbalimbali na kujikomboa kiuchumi. Na Mariam Kasawa.Mamlaka za serikali za mitaa na halmashauri za wilaya…
1 April 2025, 18:09
Chemba, Kondoa vinara matukio ya ulawiti na ubakaji
Ripoti ya takwimu za uhalifu na usalama barabarani ya mwaka 2023 inaonesha matukio ya ubakaji na ulawiti kuongoza ambapo jumla ya matukio 8,185 ya ubakaji yaliripotiwa kwa mwaka 2023 huku ulawiti yakiwa matukio 2,382. Na Mariam Matundu.Wakati serikali na wadau…
20 March 2025, 17:50
Vituo vya afya, zahati 51 Dodoma vyapata mgao wa nishati safi
Kampuni ya Puma Energy imetoa mitungi 500 kwa Mheshimiwa mbunge ikielezwa kuwanufaisha mama na baba lishe kutoka vitongoji mbalimbali na vituo vya afya zahanati 51 Dodoma mjini. Na annwary shaban.Waziri wa madini na mbunge wa Dodoma mjini Mh.Antony Mavunde ameendelea…
19 March 2025, 17:51
Mpwapwa wapata mwarobaini malisho ya mifugo
Serikali itaendelea kuwekeza katika sekta ya mifugo ili kuhakikisha wafugaji wanapata mbegu bora za malisho na uhakika wa chakula cha mifugo. Na Mariam Kasawa.Wakati kilio kikubwa cha wafugaji nchini kikiwa ni ukosefu wa malisho unaosababishwa na athari za mabadiliko ya…
19 March 2025, 17:41
Maafisa elimu kata watakiwa kujipambanua
Naye Katibu Tawala Msaidizi Seksheni ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mwalimu Vicent B. Kayombo amewaasa Maafisa hao kufanya kazi zao kwa bidii , akisisitiza kuwa baada ya mafunzo hayo, wote waliokuwa hawafanyi kazi vizuri wakajirekebishe. Na Mariam Kasawa.Maafisa elimu kata…