Dodoma FM

Recent posts

24 April 2025, 17:56

Kibano watumishi wasiowajibika kazini

Watumishi watakaoshindwa kufikia kiwango hicho hawatapandishwa vyeo wala kuongezewa mishahara. Na Mariam Kasawa Serikali imetangaza mkakati wa kuwachukulia hatua kali watumishi wa umma wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo, ikiwemo kutowapandisha madaraja wala kuongeza mishahara yao. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi,…

24 April 2025, 17:31

Wanafunzi Kidoka waepukana na adha ya kufuata shule umbali mrefu

Ujenzi wa shule hiyo umegharimu zaidi ya shilingi milioni 500. Wanafunzi 320 wa kata ya kidoka wilayani chemba mkoani dodoma, wameondokana na  adha ya kutembea umbali mrefu zaidi ya km 14 kwa sikukufuata shule kata ya jirani . Hapo awali…

23 April 2025, 18:28

Shinikizo la marafiki latajwa kuharibu vijana wengi

Sanjari na hayo wazazi wamewataka vijana kuzingatia malezi na maadili yanayofundishwa na wazazi wao, na kuongeza kuwa hakuna mzazi anayefurahia kuona mtoto wake anaharibikiwa. Imeelezwa kuwa katika jamii, vijana wanakabiliwa na shinikizo kubwa kutoka kwa marafiki, jambo ambalo linaweza kuathiri…

23 April 2025, 18:13

Afariki Dunia baada ya kukanyagwa na Tembo

Ikumbukwe kuwa hili ni tukio la Nne la Mwananchi kuuliwa na tembo katika kata ya Chifutuka ambapo Tembo wamekuwa wakitoroka katika hifadhi za kuingia katika makazi ya wananchi licha ya Askari wa TAWA kufanya jitihada za kuwafukuza katika maeneo ya…

23 April 2025, 13:31

Tadio yawanoa wanahabari utangazaji kidijitali

Tadio huendesha mafunzo mara kwa mara kwa waandishi wa habari kutoka redio wanachama ili kuwajengea uwezo hasa utangazaji wa kidijitali. Na Saumu Bakari Taasisi ya Maendeleo ya Vyombo vya Habari vya Kijamii TADIO imeendesha mafunzo kwa waandishi wa habari kutoka…

21 April 2025, 13:52

Wazazi watakiwa kuwaongoza vijana kuepuka vurugu

Ibada hiyo iliyohudhuriwa pia na Mwenza wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango iliongozwa na Padre Dionis Paskal Safari. Na Mariam Kasawa.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa wazazi hususani wakinamama…

17 April 2025, 17:59

Watumishi wa maji watakiwa kushirikisha wananchi tafiti za maji

Miradi hiyo itasaidia kuongeza hali ya uzalishaji maji huku akisema zaidi ya Bilioni 3 zimetumika kutekeleza mradi wa maji Nala. Na Mariam Kasawa.Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso amewataka watumishi wa Wizara hiyo kuhakikisha wanaishirikisha jamii wanapofanya tafiti za kina…

16 April 2025, 18:05

Marufuku kuchapisha picha za watoto mitandaoni

Taswira ya habari imepita mtaani kufahamu watachukua tahadhari gani juu ya sheria hiyo. Na Lilian Leopord.Katika zama za sasa ambapo mitandao ya kijamii inachukua nafasi kubwa katika maisha ya kila siku, wazazi wanakabiliwa na changamoto nyingi kuhusu jinsi ya kushughulikia…

16 April 2025, 17:42

Bunge lashauriwa kujadili ripoti za ukaguzi pindi zinapotoka

CAG Kichere amesema kuwa ripoti ya ukaguzi za mwaka 2023/2024 tayari zimewasilishwa bungeni kwa ajili ya kujadiliwa na zinapatikana katika tovuti ya ofisi ya ukaguzi kuruhusu wananchi na wadau kupitiaripoti hiyo. Na Yussuph Hassan.Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa hesabu za…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger