Dodoma FM

Recent posts

4 July 2022, 1:30 pm

Wanaume wakwepa kushiriki suala la uzazi wa mpango

Na;Mindi Joseph.     Imeelezwa kuwa wanaume wengi si washiriki wazuri katika suala la uzazi wa mpango hatua inayosababisha wanawake wanaoamini uzazi wa mpango kuamua kutumia njia za usiri na hivyo kukosekana maridhiano baina ya pande hizo. Akizungumza leo na Taswira…

4 July 2022, 1:15 pm

Wauguzi na wakunga waaswa kuepuka kupokea rushwa

Na; Benard Filbert. Wauguzi na wakunga wameaswa kuepuka kupokea rushwa katika maeneo yao ya kazi na kuwahudumia wagonjwa kwa uaminifu ili kulinda na kutunza heshima ya taaluma hiyo. Hayo yameelezwa na Jane Mazigo mkuu wa idara ya usajili na maadili…

29 June 2022, 2:34 pm

Hali ngumu ya maisha yachangia uharibifu wa mazingira

Na; Victor Chigwada. Hali ngumu ya maisha imetajwa kuwa  sababu ya watu kuendelea kuharibu mazingira ikiwa Ni pamoja na ukataji wa misitu ovyo hususani maeneo ya milimani na vijijini Diwani wa Kata ya Chipanga Bw.Masumbuko Aloyce amekiri kuwa changamoto kubwa…

28 June 2022, 9:17 am

Kisima cha maji chaleta Neema kwa wakazi wa Farkwa.

Na ;Victor Chigwada. Kupatikana kwa mita ya kisima Cha maji katika Kijiji cha Farkwa imesaidia kupunguza changamoto ya maji katika eneo hilo. Akizungumza na taswira ya habari Diwani wa Kata hiyo Bw.Stephano Patrick amekiri hali ya upatikanaji wa maji Kijiji…

28 June 2022, 8:43 am

Chigongwe walalamikia ukosefu wa nyumba za walimu

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Chigongwe jijini Dodoma wamelalamikia ukosefu wa nyumba za walimu pamoja idadi ndogo ya walimu katika shule ya msingi Ngh’ambala. Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema kuwa changamoto ni idadi…

28 June 2022, 8:09 am

Ukosefu wa Elimu ya mikopo wakwamisha marejesho Bahi.

Na;Mindi Joseph. Vikundi vya wanawake na watu wenye ulemavu katika halmashauri ya Bahi Mkoani Dodoma vimeshindwa kurejesha mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 58.28. Chanzo cha kushindwa kurejesha mikopo hiyo kinatajwa kuwa ni kutokuwa na elimu ya ujasiriamali na namna…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger