Recent posts
20 May 2025, 15:38
Rushwa katika uchaguzi na wanawake kuwania nafasi za uongozi
Rushwa katika siasa ni moja ya vikwazo vikubwa vinavyowakwamisha wanawake kuwania nafasi za uongozi. Karibu katika makala ya Amua, makala ambayo inakujia kupitia Dodoma FM, na wiki hii tunajadili kwa pamoja kuhusu Rushwa katika uchaguzi inavyokwamisha wanawake kuwania nafasi za…
20 May 2025, 15:24
Wakazi Chinugulu watembea umbali mrefu kutafuta maji
Aidha umbali uliopo kutoka Kijiji cha Chinugulu mpaka mto Kizito ambako ndipo maji yanapatikana ni hatari kwa wananchi kwani mto huo unatumiwa pia na wanyama waliopo katika hifadhi ya wanyama ya Ruaha. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa umbali wa zaidi…
20 May 2025, 13:36
Wazazi watakiwa kuacha kushawishi wanafunzi kujifelisha
Zaidi ya Watoto 450 wilayani kongwa wanapita changamoto ya ukosefu wa mahitaji muhimu Na Seleman Kodima. Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Saimon amewataka wazazi na walezi wilayani humo kuacha tabia ya kuwaambia watoto wao wafeli mitihani ili kuwakatisha masomo …
14 May 2025, 16:18
Wadau waomba taasisi binafsi kufanya punguzo sekta ya utalii
Ili kuwepo na tija katika sekta ya utaalii nanchi iweze kuongeza pato la taifa ni vema serikali ikaweka mazingira rafiki. Na Farashuu Abdallah.Baadhi ya wadau wa masuala ya utalii wameshaur kuwepo na punguzo la tozo katika taasisi binafsi zinazo shughulikia…
14 May 2025, 13:55
Kiteto wakumbwa na hofu eneo la makaburi kujaa
Hofu imetanda miongoni mwa wakazi wa eneo hilo kwani wananchi wanadai kuwa hakuna eneo mbadala. Na Kitana Hamis.Wakazi wilayani Kiteto mkoani Manyara wahofia kukosa maeneo ya kuzika kutokana na eneo la makaburi kujaa. Hofu imetanda miongoni mwa wakazi wa eneo…
13 May 2025, 17:03
Babati kuja na mkakati kumaliza matukio ya ukatili
Hii ni kufuatia tukio la hivi karibuni la binti mwenye Umri wa miaka 13 Kubakwa na kuuawa. Na Kitana Hamis.Mkuu wa Wilayani ya Babati Emmanuela Kaganda Ametangaza Oparesheni ya kumaliza Matukio ya ukatili ikiwemo Ubakaji. Hii ni kufuatia tukio la…
13 May 2025, 16:47
Tembo wageuka tishio wilayani Kiteto
Matukio hayo yamepelekea baadhi ya wananchi kuwa walemavu. Na Kitana Hamis.Kwa kipindi Cha Miezi 4 zaidi ya Watu 4 Wameuawa Wengine kujeruhiwa kwa kushambuliwa na Tembo. Matukio hayo yamepelekea baadhi ya wananchi kuwa walemavu huku Tembo hao wakiharibu mali pamoja…
13 May 2025, 16:09
Bahi kuja na marufuku kwa wajawazito kunywa pombe
Ikumbukwe kuwa Mradi wa Elimu Jumuishi unaotekelezwa na Kanisa FPCT katika mkoa wa Dodoma unatekelezwa kwenye wilaya mbili ambazo ni Dodoma na Bahi. Na Seleman Kodima. Halmashauri ya Wilaya ya Bahi imesema ipo tayari kuwa na sheria ndogo ndogo za…
12 May 2025, 14:10
Mipango yazindua mitaala mipya ya kufundishia
Sanjari na hayo Professa Canute ambaye ni makamu mkuu wa chuo mpango fedha na utawala ameweza kumshukuru mkuu wa chuo hicho kwa kuweza kufanikisha uzinduzi wa mitaala 10 Na Annuary Shaban. Mkuu wa chuo cha mipango na maendeleo vijijini cha…
7 May 2025, 13:38
Serikali yaandaa zoezi la kuchanja, kutambua mifugo nchini
Hali ya Uzalishaji wa mazao ya Uvuvi ,Waziri Kijaji amesema umeongezeka kutoka tani ,laki nne na elfu sabini na nne na elfu themanini na moja kwa mwaka 2021 hadi kufikia tani laki tano ,ishirini na mbili na mia saba themanini…