Dodoma FM

Recent posts

25 October 2024, 18:36

Viongozi wa dini watahadharisha jamii uamuzi wa kujiua

Na Nazael Mkude. Viongozi wa dini  jijini Dodoma wametoa wito kwa jamii kuacha tabia ya kujitoa uhai kutokana na changamoto za maisha. Wakizunguzma kwa nyakati tofauti, viongozi  hao wa dini wamesema ni dhambi mbele za Mungu kuchukua maamuzi ya kujiua.…

25 October 2024, 18:36

Young World Feeders yazindua kituo cha mafunzo kilimo biashara Dodoma

Na Yusuph Hassan. Kituo cha mafunzo kwa vijana kwa ajili ujasiriamali na kilimo kimezunduliwa jijini Dodoma. Akizungumza  katika uzinduzi huo Bwn. Peter  Marc kutoka Young World Feeders amesema kuwa kituo hicho kitatoa fursa kwa wajasiriamali kuongeza thamani zao na kufanya…

25 October 2024, 18:35

Desturi za kigeni miongoni mwa sababu ndoa kuvunjika

Na Anwari Shabani Destruri za zimetajwa kuwa ni miongoni mwa sababu ya kuvunjika kwa ndoa Padri Novatus Bideberi Kanisa Kuu katoliki Parokia ya Mtakatifu Paulo Jijini Dodoma amesema kuwa kuwa kuiga mila na desturi za nje ni miongoni mwa sababu…

25 October 2024, 18:35

‘Kuzaliwa kichwa kikubwa siyo laana’

Na Mindi Joseph. Jamii imetakiwa kuondokana na dhana potofu kuwa watoto wanaozaliwa wakiwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi ni laana au mkosi. Daktari wa upasuaji wa magonjwa ya ubongo na mishipa ya fahamu kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa…

24 October 2024, 19:49

Fahamu njia za kujikinga dhidi ya ugonjwa wa kiharusi

Na Mariam Matundu. Ugonjwa wa kiharusi unaendelea kushika kasi ambapo watu kadhaa huripotiwa kuwa na ugonjwa huo hapa nchini. Hospitali ya Mkoa wa Dodoma na hospitali ya Benjamini Mkapa zimetajwa kupokea wagonjwa 15 hadi 20 wa ugonjwa wa kiharusi kila…

24 October 2024, 19:49

Jipime mwenyewe VVU kwa mate yako

Na Mindi Joseph. Huduma ya kipimo cha virusi vya ukimwi cha kujipima mwenyewe kwa kutumia mate imeanza kutolewa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.   Dkt Adam Adam Mhudumu wa afya ngazi ya jamii anaelezea namna ya kutumia…

24 October 2024, 19:48

Wajumbe wachekecha wagombea wenye sifa serikali za mitaa

Na Mariam Matundu Vyama mbalimbali vya siasa vinaendelea na mchakato wa upigaji wa kura za maoni kuwapata wagombea watakaowakilisha vyama vyao katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Mchakato huu unategemea na kanuni zilizopo kwenye chama husika ambapo wanachama wenye sifa…

24 October 2024, 19:48

Je nini husababisha mimba na  ndoa za utotoni ?

Na Anwary  Shabani                                            Hali ya umaskini imeendelea kutajwa kuwa moja ya chanzo cha mimba na ndoa za utotoni katika maeneo mbalimbali nchini. Bwn. Michael Laurent Mavunde kutoka Shirika la Afya Community Care lilipo jijini Dodoma anaeleza sababu mbalimbali zinazotajwa kama…

23 October 2024, 19:00

Senyamule aagiza mkandarasi kukamilisha miradi

Na Mindi Joseph. Wasimamizi wa miradi ya maendeleo hususan Shule, wametakiwa kusimamia na kukamilisha miradi kwa wakati kwa kutumia mfumo wa manunuzi Serikalini (NeST). Wito huo umetolewa na Mhe. Rosemary Senyamule Mkuu wa Mkoa wa Dodoma katika ziara ya ukaguzi…

23 October 2024, 18:59

Afya ya akili ni changamoto kwa vijana  

Na Steven Noel. Vijana ambao  ni nguvu kazi ya taifa wanakabiliwa na changamoto ya afya ya akili kutkana na sababu mbalimbali likiwemo suala la mahusiano.   Julieth Mageje muuguzi kitengo cha afya ya akili wilayani mpwawa anabainisha chanzo la tatizo…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger