Recent posts
5 June 2025, 16:02
Wananchi Makang’wa waendelea kupatiwa elimu ya urasimishaji
Zoezi la urasimishaji imekuwa ni mikakati ya Serikali kuhakikisha Kila mwananchi anamiliki ardhi yake kihalali Kwa kupewa hati ya umiliki wa ardhi za mashamba Yao. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa elimu ya urasimishaji wa ardhi imeendelea kutolewa Kwa wananchi wa…
5 June 2025, 15:36
Wananchi Gendabi mbioni kunufaika na mradi wa maji wa bilion 1.2
Takribani wananchi 5,000 wa vijiji vitano katika kata hiyo wanatarajia kunufaika na mradi huo wa maji. Na Kitana Hamis.Takribani wananchi 5,000 kutoka vijiji vitano vya Kata ya Gendabi, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, wanatarajiwa kunufaika na mradi wamaji unaotekelezwa kwa…
4 June 2025, 17:34
Mikopo ya asilimia 10 yawanufaisha wananchi Kizota
Ikumbukwe kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan mikopo ya halmashauri ya asilimia 10 imeendelea kuwa mkombozi kwa wananchi. Na Lilian Leopold. Wananchi wa kata ya Kizota halmashauri ya Jiji la Dodoma wameeleza…
3 June 2025, 14:46
‘Mita tano usafi wangu, usafi wangu mita tano’ kuzingatiwa
Kilele cha wiki ya Mazingira Duniani hufanyika Juni 05 kila mwaka ambapo mwaka huu kaulimbiu ya siku ya mazingira ni mazingira yetu na Tanzania ijayo tuwajibike sasa dhibiti matumizi ya plastiki. Na Mariam Kasawa. Wakazi wa jiji la Dodoma wamehimizwa…
3 June 2025, 14:20
Wakazi Chinyika wapongeza uboreshaji wa miundombinu
Wakazi hao wamesema zamani miundombinu ya barabara, huduma za muhimu za kijamii ikiwemo kituo cha afya, maji safi na salama, umeme ilikuwa changamoto. Na Husna Abdallah. Wakazi wa mtaa wa chinyika kata ya mkonze jijini dodoma wametoa pongezi zao kwa…
3 June 2025, 13:48
Mavunde akabidhi jenereta shule ya msingi Bunge
Umeme unapokatika shuleni hapo wanakosa maji lakini kupatikana kwa genereta hilo watakuwa wanapata huduma ya maji kwa muda wote. Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Antony Mavunde amekabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya…
27 May 2025, 16:14
Elimu ya mikopo inamsaidia vipi kijana kujikwamua kiuchumi
Je vijana wanazungumziaje elimu ya mikopo ambayo imekuwa ikitolewa je inawanufaisha kwa kiasi gani. Na Seleman Kodima.Awali nimefanikiwa kufika hadi chuo cha kilimo,mifugo na maendeleo ya jamii TRACDI Nzuguni na kuzungumza na wadau mbalimbali kuhusu Je Elimu ya Mikopo inamsaidiaje…
26 May 2025, 13:01
Wauguzi Manyara walia na ucheleweshwaji wa stahiki zao
RC Queen amesisitiza kuwa malipo hayo ni haki yamsingi kwa watumishi hao na ni muhimu kwao kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi. Na Kitana Hamis. Wauguzi mkoani Manyara wameiomba Serikali kuwalipa stahiki zao kwa wakati ili waweze kujikimu kimaisha ili…
21 May 2025, 16:31
Ekari 20 za mazao zafyekwa na wafugaji Kiteto
Wakazi wa kijiji hicho wameiomba serikali kutafuta njia mbadala ili wafugaji hao wapate sehemu za malisho. Na Kitana Hamis.Zaidi ya Ekari 20 za shamba lenye mazao ya mahindi na alizeti za kulima Twalib Shaban zimefyekwa na wafugaji wa jamii ya…
20 May 2025, 15:53
Ukosefu wa vivuko reli ya SGR kilio kwa wakazi wa Mnase
Wananchi wanadai kuwa changamoto hii imeshindwa kupatiwa ufumbuzi. Na Victor Chigwada. Wananchi wa vitongoji vya malechela ,Lusinde na sokoine Kijiji Cha Mnase wameendelea kulia na changamoto ya kukosekana kivuko baina ya wananchi na reli ya mwendokasi(SGR) Wakieleza namna changamoto hiyo…