Dodoma FM

Recent posts

30 October 2024, 18:29

Elimu zaidi yahitajika kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia

Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa ni muhimu Jamii inatakiwa kufahamu na kuelewa utaratibu wa kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia ili kuwezesha kuripotiwa kwa kesi hizo na kufanyika ufuatiliaji. Akizungumza katika mdahalo wa kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana…

30 October 2024, 18:29

Shule ya sekondari Chikole yapata elimu ya lishe

Na Fred Cheti                                        Katika kuadhimisha Siku ya Lishe Duniani Halmashauri ya Jiji la Dodoma kupitia Idara ya Afya na Lishe Imetoa Elimu ya Upimaji wa Hali ya Lishe na Makundi ya Vyakula kwa wanafunzi na walimu wa shule ya Sekondari…

29 October 2024, 20:05

Je, sheria inasemaje umiliki wa mali binafsi katika ndoa?

Na Leonard Mwacha. Suala la umiliki wa mali binafsi katika ndoa limekuwa na sintofahamu kutokana na kukosekana kwa elimu ya umiliki wa mali kwa wanandoa. Hali hiyo huweza kuleta changamoto za mahusiano baina ya wanandoa haswa pindi ambapo mali hizo…

29 October 2024, 20:05

Lishe bora ni muhimu kwa vijana balehe

Na Mariam Matundu. Lishe bora kwa vijana balehe ni muhimu ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya mwili wa kijana. Imeelezwa kuwa kuna umuhimu mkubwa wa kuzingatia lishe bora kwa kundi la vijana balehe wa miaka 10 hadi 19 ili…

29 October 2024, 20:04

Soko la Machinga Dodoma kufanyiwa maboresho

Na Anwary Shabani.                                                                         Soko la Machinga Jijini Dodoma litafanyiwa maboresho ya uwekaji wa vigae vya chini ili kuondoa vumbi ambalo limekuwa kero kwa wafanyabiashara sokoni hapo. Maboresho hayo yanafuatia baada ya malalamiko toka kwa wafanyabiashara wadogo wadogo katika risala iliyosomwa  na…

29 October 2024, 16:00

DUWASA yaondoa adha ya maji Kisasa  

Na Selemani Kodima.                          Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Dodoma DUWASA imekamilisha uchimbaji wa kisima cha maji kitakachowahudumia wananchi wapatao Elfu 28 jijini Dodoma katika maeneo ya Kisasa, Mwagaza na Nyumba Mia Tatu na utatekelezwa kwa kipindi cha…

29 October 2024, 15:59

Hospitali ya Benjamini Mkapa kupambana na ukatili wa kijinsia 

Na Mariam Matundu. Hospitali ya Benjamini Mkapa imeanzisha mtandao wa kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyotokea mara nyingi kwa watoto . Hii ni kufuatia kupokea wagonjwa ambao hutibiwa hosptalini hapo na kubainika wamefanyiwa vitendo vya ukatili ama wanapitia…

29 October 2024, 15:59

Wanawake KLPT watakiwa kujitokeza siku ya uchaguzi Nov. 27

Na Noel Steven Wanawake wa Kanisa la Pentekoste Tanzania KLPT wilayani Mpwapwa, wamehimizwa kujitokeza siku ya uchaguzi Novemba 27 Ili kuweza kuchagua viongozi bora wa Serikali za mitaa. Akiongea katika siku ya kuhitimisha wiki ya wanawake KLPT Parishi ya Ng’ambo,…

29 October 2024, 15:59

Watatu wanusurika ajali ya moto bajaj ikiteketea

 Na Anwary Shabani     Watu watatu jijini Dodoma wamenusurika kifo baada ya bajaji waliyokuwa wakiitumia kwa safari za mjini kuwaka moto na kuteketea katika mtaa wa Kitenge Kata ya majengo. Bwn Isaack Gideon ambaye ni dereva wa bajaj hiyo anaeleza jitihada…

27 October 2024, 18:13

Marie Stopes yazindua kampeni ya ‘kwa kila hatua ya mwanamke’

Kwa kutambua changamoto katika hatua ya ukuaji wa mwanamke na uhitaji wa huduma za afya, shirika la Marie Stopes Tanzania limezindua kampeni itakayomwezesha mwanamke kuanzia umri wa miaka 16 hadi 50 kupata huduma stahili za afya. Na Hilali A. Ruhundwa,…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger