Recent posts
15 July 2024, 17:13
Root&Shoot na wanafunzi waadhimisha maadhimisho ya Sokwe mtu
Maahimisho ya Sokwe mtu huadhimishwa kila july 14 Tanzania ikiwa ni moja ya nchi wanachama wa Umoja huo unao adhimisha maadhimisho hayo. Na Mariam Kasawa.Imeelezwa kuwa sokwe mtu ni mnyama muhimu kwa Taifa letu kwani wamekuwa kivutio tosha kwa watalii…
10 July 2024, 17:08
Kamati ya kitaifa ya ushauri kuhusu kizazi chenye usawa yawatembelea wajasiriama…
Kamati ya kitaifa ya ushauri kuhusu utekelezaji wa programu ya kizazi chenye usawa ipo karika ziara ya siku nne ya kutembelea vikundi mbalimbali kwa Jiji la Dodoma, Dar-es-salaam na Unguja. Na Mariam Kasawa.Imeelezwa kuwa Tanzania ndio Nchi inayofanya vizuri Barani…
8 July 2024, 17:32
Wanao safirisha watoto mijini kufanya kazi waonywa kuacha mara moja
Kwa mujibu wa sheria ya Ajira na Mahusiano ya Kazi ya mwaka 2004 inasema ni kosa kuajiri watoto kinyume na sheria ya kazi inavyosema na adhabu inatolewa chini ya kifungu cha 102 (2) ambacho kinampaHakimu wa Wilaya na Mkazi kutoa…
8 July 2024, 17:03
Namna gani tunaweza kumlinda msichana mwenye ulemavu kuepuka mimba za utotoni
Leo tunaangazia kwa namna gani tunaweza kuwalinda wasichana wenye ulemavu kuepukana na Mimba za utotoni,Mwenzetu Selemani Kodima ametuandali taarifa ifuatayo. Na Seleman Kodima.Tatizo la mimba za utotoni limekuwa kubwa duniani na linaongezeka siku hadi siku hasa katika jamii ya uchumi…
8 July 2024, 16:37
Rushwa ya ngono yapungua vyuo vikuu Dodoma
Mara nyingi rushwa ya ngono hufanyika baina ya watu wawili na endapo aliyetendewa atatoa taarifa TAKUKURU huchukua hatua. Na Mindi Joseph.Vitendo vya rushwa ya ngono katika vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma vimetajwa kupungua.Hayo yamebainisha na Mkuu wa Taasisi ya kuzuia…
8 July 2024, 16:23
Wazazi watakiwa kuwapatia watoto haki ya kupata elimu
Sera ya elimu jumuishi imekuwa mkombozi kwa watoto wote kufurahia elimu pamoja. Na Mariam Kasawa.Wazazi wametakiwa kutambua kuwa haki ya kupata elimu ni yakila mtoto hivyo wanapaswa kuwaacha watoto wasome na kuwapatia mahitaji yote muhimu. Sera ya elimu jumuishi imekuwa…
2 July 2024, 17:52
Umuhimu wa lishe kwa mtoto
Kwa mujibu wa utafiti wa afya ya uzazi na mtoto viashiria ya malaria Tazania mwaka 2025/16 hali ya lishe kwa watoto inaboreka tangu mwaka 1991/92 Nusu ya watoto walikuwa wamedumaa ukilinganisha na mwaka 2015/19 asilimia 34. Na Mindi Joseph.Kuboresha lishe…
2 July 2024, 17:34
Wazazi watakiwa kuwapa elimu watoto wenye ulemavu
Mratibu wa Elimu Jumuishi Bi. Jane Mgidange kutoka shirika la FPCT amewataka wazazi na walezi kutambua kuwa watoto wenye ulemavu si mzigo bali ni zawadi kutoka kwa Mungu hivyo wanapaswa kuthaminiwa kama watoto wengine. Na Mariam Kasawa.Wazazi na walezi wametakiwa…
26 June 2024, 18:20
EWURA yawaonya wauzaji holela wa mafuta
Aidha amesema kuwa , moja kati ya changamoto iliyopo ni ukosefu wa elimu kwa jamii kuhusu huduma zinazotolewa na Mamlaka hiyo. Na Mariam Kasawa.Mamalaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Kati imeonya watu ambao wamekuwa…
26 June 2024, 17:50
NaCoNGO watakiwa kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia sheria
Sekta Binafsi nchini zimekuwa na mchango katika kuchangia ukuuaji wa uchumi wa Taifa. Na Mindi Joseph.Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali NaCoNGO limetakiwa kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia sheria ili kukidhi matarajio ya Jamii na Taifa. Waziri…