Recent posts
25 June 2024, 18:50
Uhuru wa kujieleza ni haki ya kila mtu
Kila mtu ana uhuru wa kujieleza bila kuvunja sheria za nchi kwa kufuata taratibu na kanuni za Nchi. Mindi Joseph.Uhuru wa kujieleza unatajwa kuwa ni haki ya kila mtu lakini watu wanapaswa kujielewa kwanza kabla ya kutumia uhuru huu bila…
25 June 2024, 18:33
Watu wenye ulemavu watakiwa kuungana na serikali kupinga vitendo vya ukatili
Tayari serikali imejenga mifumo thabiti ya udhibiti wa vitendo hivyo na kilichobaki ni ushiriki wa makundi yote ya jamii katika kuhakikisha vitendo hivyo viovu vinakomeshwa hapa nchini. Na Mindi Joseph.Watu wenye ulemavu wametakiwa kuungana na serikali katika mapambano dhidi ya…
21 June 2024, 17:58
Wafanyabiashara watakiwa kusajili majina na alama za biashara zao
Sheria inamuhitaji kila mfanya biashara ajirasimishe kwasababu ukirasimisha biashara yako unapata faida nyingi ikiwa pamoja na kupata tenda mbali mbali za serikali na sekta binafsi. Mindi Joseph.wajasiriamali na wafanyabiashara nchini wametakiwa kusajili na kurasimisha majina na alama za biashara ili…
20 June 2024, 13:01
Watumishi wa Umma wahimizwa matumizi ya TEHAMA
Maonesho haya yanalenga kutoa huduma kwa wananchi moja kwa moja na kwa urahisi zaidi na kupitia maonesho haya serikali inapata maoni kutoka kwa wadau na wananchi kwa urahisi zaidi. Na Mariam Kasawa.Watumishi wa umma wametakiwa kuwa wafuatiliaji wa teknolojia mbalimbali…
18 June 2024, 17:35
Serikali kuendelea kutambua mila na tamaduni za Kitanzania
Sherehe za utamaduni wa kabila la wagogo maarufu kama Tambiko hufanyika kila mwaka kwa lengo la kuomba Baraka kwa Mwenyezi Mungu. Na Anselima Komba.Serikali imesema inatambua mila na tamaduni za kitanzania na itaendelea kuzienzi kwa kutambua mchango mkubwa unaotolewa kwa…
14 June 2024, 12:45
Wananchi Mapinduzi waiomba serikali kuingilia kati mgogoro uchimbaji wa mchanga
Dodoma Tv itaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi sakata hilo ili kujua hatima yake kutoka na kuleta Sintofahamu katika eneo hilo. Na Fred Cheti. Wakazi wa mtaa wa Mapinduzi kata ya Mbabala wameiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa uchimbaji wa mchanga…
13 June 2024, 12:41
Jamii yatakiwa kuwasilisha migogoro ya bima TIO
Ofisi ya Msuluhishi wa migogoro ya bima ni taasisisi inayojitegemea iliyoanzishwwa chini ya sheria ya bima Namba 10 YA MWAKA 2009 sura 394 na ilianza kufanya kazi mwaka 2015 baada ya msuluhishi kuteuliwa. Na Fred Cheti. Jamii imetakiwa kuwasilisha Migogoro…
13 June 2024, 11:41
Wanafunzi vyuo vikuu wachuana uandishi wa insha za usalama barabarani
Kwa mujibu wa taarifa za Shirika la Afya Duniani (WHO), ajali za barabarani ni miongoni mwa sababu namba moja ya vifo kwa watoto wa umri kati ya miaka 5 hadi 14 pamoja vijana wa umri kati ya miaka 15 hadi…
13 June 2024, 10:48
Vijana wa miaka 13 hadi 17 kufanyiwa upimaji Mpwapwa
Shirika la ACTON FOR COMMUNITY CARE linatoa mafunzo kwa wakufunzi 32 kutoka kata 20 na vitongoji 25 za wilaya ya Mpwapwa. Na Mariam KasawaUpimaji wa stadi za maisha kwa vijana wenye umri wa miaka 13 hadi 17 unatajwa kusaidia vijana…
10 June 2024, 19:16
Wabunge wapigwa msasa mfumo mpya wa ununuzi wa umma wa kielektroniki NEST
Ikumbukwe kuwa MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) umeanzisha mfumo mpya wa manunuzi wa kielekroniki National e-Procurement System of Tanzania (NeST) utakaosaidia kudhibiti rushwa, mchakato wa zabuni kuchelewa na kuongeza uwazi wa zabuni . Na Seleman Kodima.Wito umetolewa…