Recent posts
10 June 2024, 19:04
Nafasi ya jamii kwa wenye ulemavu kupata elimu bila vikwazo
Mwandishi wetu Selemani Kodima amezungumza na Mzazi huyo. Na Seleman Kodima.Pamoja na jitihada zinazofanywa kuhakikisha watoto wenye ulemavu wanapata elimu kama watoto wengine, bado jitihada hizo hazijazaa matunda. Kutokana uwepo vikwazo kwenye baadhi ya jamii ,leo tunakukutanisha na BABA ambaye…
10 June 2024, 18:53
DUWASA yapiga marufuku matumizi ya maji taka
Serikali ya Awamu ya Sita imetenga shilingi Bilion 160 kwa ajili ya kutekeleza ujenzi wa mabwawa 16 ya kutibu maji taka katika kata ya Nzuguni na mradi huu utaanza kutekelezwa mwazi July 2024. Na Mindi Joseph.Mamlaka ya maji safi na…
6 June 2024, 18:42
Njia salama za uzazi wa mpango-Makala
Tafiti zinaonesha kuwa wanawake wengi hawataki kupata ujauzito tena ndani ya mwaka mmoja baada ya kujifungua. Na Mwandishi wetu.Wakati kila mtu ana haki ya kufanya uamuzi wake kuhusu kutumia njia za uzazi wa mpango, si kila mtu anaweza kutumia haki…
4 June 2024, 17:55
Wakazi wa Membe wapongeza ujenzi wa bwawa
Ujenzi wa bwawa hilo limefikia asilimia 82 ambapo hatua inayoendelea ni ujenzi wa mifereji ya maji Na Victor Chigwada.Wakazi wa Kata ya Membe Wilaya ya Chamwino wameipongeza serikali kwa juhudi zinazoendelea katika ujenzi wa bwawa la kilimo cha Umwagiliaji. Wakizungumza…
4 June 2024, 17:34
Wizara ya Elimu kutumia matokeo ya utafiti wa HakiElimu
Utafiti huu utasadia katika kufanya maamuzi kuhusu upatikanaji wa elimu mijini katika eneo la Afika Mashariki. Na Mindi Joseph.Wizara ya Elimu imesema itahakikisha inatumia matokeo ya utafiti wa HakiElimu katika kuhakikisha kuwa upatikanaji wa elimu unakuwa sawa kwa makundi yote.…
3 June 2024, 19:23
Maonesho ya siku ya mazingira yazinduliwa Jijini Dodoma
Urejeshaji wa ardhi iliyo haribiwa na ustahimilivu wa hali ya jangwa na ukame. Na Mariam Kasawa.Wananchi wametakiwa kutumia Bunifu na Teknolojia mbalimbali za utunzaji wa mazingira ili kunusuru mazingira. Maonesho ya siku ya mazingira ambayo kitaifa yanafanyika hapa Jijini Dodoma…
3 June 2024, 17:09
Vijana waonywa wizi wa misalaba makaburi ya Chang’ombe
Makuburi ni mahala pa mapumziko ya milele kwa wafu na ni vyema jamii ikaacha tabia ya kuiba misalaba na mikanda ya vigae vya sakafu. Na Mindi Joseph.Wizi wa misalaba ya chuma katika Makuburi yaliyopo kata ya chang’ombe Jijini Dodoma umekithiri…
3 June 2024, 08:42
Mchakato wa uchaguzi wa NaCoNGO ngazi ya Mkoa kuanzia Leo June 3.
Uchaguzi huo unakuja kufuatia Baraza lililopo madarakani kumaliza muda wake wa miaka mitatu kikatiba ifikapo Juni 30, 2024. Na Mindi Joseph Kamati ya Mpito ya Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) imetangaza mchakato wa uchaguzi wa wa…
28 May 2024, 18:26
Serikali yaanza kuwachimbia visima wakulima wadogo Manchali
Pamoja na hayo Wizara ya kilimo itahakikisha inawasaidia Wakulima wadogo waliopo katika mradi huo kupima mashamba yao ili wapate hati. Na Mindi Joseph.Serikali imeanza utekelezaji wa mradi wa kuwachimbia visima wakulima wadogo katika kijiji cha manchali jijini Dodoma ili waweze…
28 May 2024, 17:45
Nayu watakiwa kuwa tayari zoezi la urasimishaji ardhi
Kila mwananchi ambaye anamiliki ardhi atafikiwa na zoezi hilo hivyo ni muhimu kila mmoja kushiriki. Na Victor Chigwada.Wakazi wa kijiji cha Nayu wilayani Chamwino mkoani Dodoma wametakiwa kuwa tayari kwa ajili ya zoezi la urasimishaji ardhi na makazi ambalo linatarajia…