Recent posts
17 May 2024, 12:06
Teknolojia, utandawazi chanzo cha kukua kwa matatizo ya afya ya akili
Watu wengi wana tatizo la afya ya akili lakini hawatambui. Na Mindi Joseph.Matatizo ya afya ya akili kwenye familia na jamii yametajwa kukua nchini kufuatia kukua kwa teknolojia na utandawazi.Dodoma Tv imefanya mahojiano na Shabani Waziri kutoka chama cha wanasaikoljia…
17 May 2024, 11:48
Nishati ya jua mkombozi wa mkulima
15 May 2024, 12:36
UCSAF wapongezwa kwa kusimamia vema dhamana waliyopewa
Mnara huu ulio kaguliwa na Waziri Nape umegharimu kati ya milioni 300 mpaka milioni 350 na ni moja kati ya Minara 758, ambayo Ujenzi wake unatekelezwa katika maeneo mbalimbali hapa Nchini. Na Mariam Kasawa. Mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF)…
7 May 2024, 19:27
Sumukuvu hatari kwa usalama wa chakula
Kulingana na shirika la Afya Duniani (WHO), sumu kuvu huharibu karibu asilimia 25 au zaidi ya chakula kinachozalishwa duniani kila mwaka. Na Mindi Joseph.Tatizo la Sumukuvu limetajwa kuhatarisha usalama wa chakula hivyo kuiweka idadi kubwa ya walaji kuwa katika hatari.…
7 May 2024, 18:59
Usawa wa kijinsia katika nafasi za uongozi-Makala
Serikali kwa kushirikiana na wadau inatambua umuhimu wa kuwa na wanawake viongozi mahili na kuwekeza rasilimali katika usawa wa kijinsia kama chachu ya kutokomeza ukatili wa kijinsia. Na Yussuph Hassan.Leo tunaangazia suala la namna gani usawa wa kijinsia unazingatiwa katika…
7 May 2024, 18:41
Wanafunzi Kongwa wajifelisha mitihani kwa ajili ya kazi za ndani
Wanafunzi wa shule za msingi wilayani Kongwa Mkoani Dodoma wamekuwa wakishindwa kuhitimu masomo yao. Na Alfred Bulahya.Imeelezwa kuwa baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi wilayani Kongwa mkoani Dodoma wamekuwa wakishindwa kuhitimu masomo yao huku wengine wakijaza majibu ya uongo…
6 May 2024, 18:14
Mkakati wa kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto
Nini kinapaswa kufanyika ili kukomesha ukatili dhidi ya watoto? Na Mwandishi wetu.Leo tunaangazia suala la maadili katika jamii Mikakati ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kukabiliana na Mmomonyoko wa Maadili na Ukatili Dhidi ya Watoto.
2 May 2024, 18:03
Marufuku uvutaji wa sigara hadharani
Matumizi ya sigara yana athari nyingi za kiafya kwa matumizi ya binadamu kwani ina Kemikali zaidi ya 4000 na 40 zikiwa ni hatari zaidi kwa kusababisha Magonjwa ya Saratani kwa Wanaume na Wanawake. Na Mindi Joseph.Wananchi Mkoani Dodoma wamepongeza serikali…
2 May 2024, 17:47
Kero ya barabara Hombolo kutatuliwa baada ya miezi 3
Changamoto ya barabara ya Hombolo imedumu kwa muda mrefu huku wakazi wa eneo hilo wakipaza sauti zao mara kwa mara kuiomba serikali itatue kero hiyo. Na Mariam Kasawa.Hatimaye changamoto ya barabara ya kutoka Hombolo kwenda Dodoma mjini yapata ufumbuzi wa…
30 April 2024, 19:29
Vyombo vya habari vyatakiwa kushiriki kutatua changamoto za uchaguzi
Kongamano hilo limefanyika chini ya kaulimbiu isemayo Uandishi wa Habari za Uchaguzi kwa weledi hujenga USAWA, HAKI na UWAJIBIKAJI. Na Pius Jayunga.Waziri mkuu mstaafu na makamu wa rais Jaji Joseph Sinde Warioba amevitaka Vyombo vya Habari nchini kushiriki katika kusaidia…