Recent posts
18 April 2024, 17:45
Je unashiriki vipi kutunza miundombinu ya barabara katika eneo lako
Serikali kupitia wakala wa barabara Nchini TANROADS wamekuwa wakitoa elimu kwa jamii kupitia majukwaa mbalimbali juu ya ushiriki wa wananchi katika utunzaji wa miundombinu ya barabara Nchini jambo ambalo linapaswa kutekelezwa na kila mwananchi. Na Thadei Tesha.Seriali imeendelea na juhudui…
16 April 2024, 10:21
Ushiriki wa mwanamke katika kulinda, kutunza mazingira
Wakati mkutano wa 23 wa mabadiliko ya tabianchi wa Umoja wa Mataifa, COP 23, ukiingia wiki ya mwisho ya majadiliano mjini Bonn, Ujerumani, Rais wa mkutano huo alitangaza mpango wa utekelezaji wa kijinsia kwa kutambua nafasi ya wanawake katika suala…
16 April 2024, 09:45
Ushirikishwaji wa wenza katika kumiliki mali
Tumemtembelea katika sehemu yake ya biashara katika mtaa wa mkonze Jijini Dodoma na hapa anatueleza namna kipindi cha Sanuka kilivyo changia kubadirisha mfumo wake wa maisha yake. Na Mwandishi wetu. Leo tunaangazia ushirikishwaji wa wenza katika kumiliki mali ambapo leo…
15 April 2024, 21:34
Msukumo mkubwa wa maji wachangia kupasuka kwa mabomba
Duwasa imeendelea kuhakikisha inakabiliana na changamoto ya upotevu wa maji ambao husababishwa na kupasuka kwa miundombinu ya Mabomba ya maji kutokana na presha kubwa ya maji. Na Mindi Joseph. Msukumo mkubwa wa maji umetajwa kuchangia Kupasuka kwa miundombinu ya mabomba…
11 April 2024, 17:41
BMH yatoa mkono wa Eid kwa watoto yatima
Kituo Rahman kinachopatikana Chang’ombe kilianzishwa mwaka 1998 kwa ajili ya kutatua changamoto za akina mama ambapo mwaka 2006 kilianza kutoa malezi kwa watoto 15 wanaopitia changamoto mbalimbali. Na Mindi Joseph.Hospital ya Benjamin Mkapa imetoa vyakula kwa kituo cha Yatima cha…
11 April 2024, 17:18
Idifu waomba kusambaziwa huduma ya umeme
Tangu REA kusimika nguzo za umeme kwa kufuata muelekeo wa barabara imesababisha baadhi ya maeneo mengi kushindwa kufikiwa na huduma hiyo. Na Victor Chigwada.Uongozi wa serikali ya kata ya Idifu wilayani Chamwino umeiomba serikali kuwasambazia huduma ya umeme katika maeneo…
11 April 2024, 16:59
Watu watatu wanashikiliwa na polisi kwa kuhujumu miundombinu ya reli
Vitendo vya uhujumu wa miundombinu ya umeme vinakwamisha jitihada za Serikali za kutoa huduma ya uhakika ya umeme kwa wananchi. Na Fred Cheti.Watu watatu wanashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoani Dodoma kwa tuhuma za kuhujumu miundombinu ya shirika la umeme…
11 April 2024, 16:41
Umiliki wa mali kwa usawa
Usikose kesho kwenye sehemu ya pili ambapo utafahamu ni jitihada gani zinafanyika kuwasaidia wanawake wanaoshindwa kumiliki mali kwa Usawa. Na Seleman Kodima.Leo tunaangazia Umiliki wa mali kwa Usawa ambapo Imeelezwa kuwa mwanamke anahaki ya msingi ya kumiliki mali kama ilivyo…
8 April 2024, 18:03
Keisha agawa mitungi 200 ya gesi kwa watu wenye ulemavu Dodoma
Mbunge Keisha amemshukuru Rais Samia kwa kuwajali watanzania hususani watu wenye ulemavu nchini. Miongoni mwa mkakati jumuishi wa serikali ni kuhakikisha mpaka kufikia mwaka 2033 zaidi ya 80% ya wananchi nchini wawe wanatumia nishati safi ya kupikia ikiwemo gesi na…
8 April 2024, 17:48
Wafungwa, mahabusu watakiwa kuutumia mwezi mtukufu kufanya toba ya kweli
Shughuli hiyo iliratibiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA wilaya ya Dodoma kwa kushirikiana na misikiti ya wilaya ya Dodoma. Na Seleman Kodima.Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Alhaj Mustafa Rajab Shaban amewataka wafungwa na mahabusu waliopo magerezani kutumia vyema…