Recent posts
24 July 2024, 16:19
Vijana watakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zitokanazo na uchaguzi
Ni fursa zipi za kiuchumi ambazo vijana wanaziona katika chaguzi zijazo na zinazoweza kuwanufaisha. Na Fred Cheti.Vijana wameshauriwa kuzichangamkia fursa za kiuchumi kwa njia halali ambazo zitatokana na ujio wa chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu…
24 July 2024, 15:57
Wanawake wanashindaje vikwazo na kuwania uongozi kisiasa?
Japo hivi sasa tunajikongoja licha bado juhudi zinahitajika ili usawa na sauti ya pamoja zisikike kwenye mabaraza ya Maamuzi kuanzia ngazi ya mtaa/kijiji hadi kitaifa. Na Seleman Kodima.Ifahamike kuwa ulimwenguni Katika nchi 193 wanachama wa Umoja wa MAtaifa, ni nchi…
23 July 2024, 16:16
Tunaendelea kuangazia unawajibikaje kuhakikisha msichana aliyejifungua anarudi s…
Swali letu kuu Je unawajibikaje kuhakikisha msichana aliyejifungua anarudi shule,huyu hapa Mwemezi Makumba meneja wa utafiti na uchambuzi wa Sera kutoka Haki Elimu anaelezea zaidi. Na Seleman Kodima.Bado tupo na taasisi ya Haki Elimu katika kuchimba zaidi jambo hili ambapo…
23 July 2024, 16:04
Serikali yaombwa kuendelea kutoa elimu matumizi ya nishati safi
Umuhimu wa agenda ya nishati safi unasukumwa na ongezeko la uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi pamoja na athari za kiafya zinazotokana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia. Na Mariam Kasawa. Wananchi wameiomba serikali iendelee kutoa elimu…
23 July 2024, 15:49
Wazazi watakiwa kuwahimiza watoto kusoma
Hatua mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa na viongozi wa kata ya Mkonze kuhakikisha watoto wanapofauli wanazingatia masomo. Na Mindi Joseph. Wazazi wametakiwa kujali misingi ya watoto kwa kuwahimiza kusoma na kuwalea katika mazingira ya kufanya vizuri katika taaluma. Hayo yamebainishwa na Diwani…
23 July 2024, 15:30
Barabara ya Pembamoto na Mlali kupandishwa hadhi
Ameahidi kuunganisha wilaya ya jirani ya Gairo kupanda hadhi kutoka kwa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) kwenda kwa wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) ili kuunganisha mikoa. Na Bernadetha Mwakilabi, KongwaMbunge wa Jimbo la Kongwa Mh. Joab…
23 July 2024, 15:09
Kongwa yapongezwa utekelezaji wa miradi
Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa chumba 1 cha maabara katika shule ya sekondari Laikala ujenzi wa vyumba 6 vya madarasa na matundu 8 katika shule ya sekondari Ibwaga ujenzi wa barabara ya lami nyepesi ya kilomita 0.4 ununuzi…
22 July 2024, 19:05
Unawajibikaje kuhakikisha msichana aliyejifungua anarudi shule?
Mimba za utotoni ni pale mtoto wa kike wa kuanzia umri wa miaka 10 hadi 19 anapopata ujauzito na kujifungua. Na Mwandishi wetu. Katika kuchimba suala hili, leo tumefanya mahojiano na Meneja Utafiti na Uchambuzi wa Sera kutoka taasisi ya …
22 July 2024, 18:54
Wananchi waaswa kuwakacha viongozi watoa rushwa kwenye uchaguzi
Rushwa ni chanzo cha kupatikana kwa viongozi wasio na maadili. Na Fred Cheti. Ikiwa Tanzania inatazamiwa kufanya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani rushwa imekuwa ikitajwa kama moja ya kikwazo kinachangia kupatika kwa Viongozi wasio…
22 July 2024, 18:39
Ufahamu mtaa wa Bihawana jijini Dodoma
Yussuph Hassan ametembelea mtaa wa Bihawana na kuja na ripoti kamili. Na Yussuph Hassan.Bihawa ni kata ambayo inapatikana katika Jiji la Dodoma, licha ya umaarufu wa eneo hili kwa kilimo cha zabibu, pia ipo shule ya sekondari kongwe Bihawana ambayo…