Recent posts
1 August 2024, 16:03
Mifuko ya plastiki tishio kwa Afya za walaji
Dkt. Harrison anaeleza kuwa kwa Afrika, plastiki zinazozalishwa au kuingizwa barani, zikipata joto zinatoa vipande vidogo vya plastiki vyenye sumu. Na Mariam Kasawa.Mifuko ya plastiki inathibitika kisayansi ni hatari kwa mazingira na afya ya binadamu na viumbe wengine. Baadhi ya…
1 August 2024, 15:00
Ufunguzi wa barabara za ndani Miganga kuwainua wananchi
Na Mindi Joseph.Ufunguzi wa Barabara za ndani zenye urefu wa Mita 8, 10 na 15 katika Mtaa wa Miganga umetajwa kuwa nyezo muhimu ya kuwainua wakazi wa eneo hilo kiuchumi. Barabara hizi zinawasaidia wananchi katika usafiri na usafirishaji wa bidhaa…
31 July 2024, 19:30
Wakazi Dodoma wajawa shauku maonesho ya nanenane
Maonesho hayo huanza tarehe 01 hadi 08 ya mwezi Agosti. Maonesho hayo huambatana na uhamasishaji wa matumizi ya teknolojia bora za kilimo, ufugaji na uvuvi. Na Fred Cheti.Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo na Ufugaji (Nanenane) yanatarajia kuanza rasmi siku ya…
31 July 2024, 19:17
Wananchi wahitaji elimu zaidi ugonjwa wa homa ya ini
Kwa mujibu wa wataalam wa afya wanabainisha njia za maambukizi ya homa ya Ini zinashabihiana sana na zile za maambikizi ya Virusi Vya Ukimwi. Na Witness. Ikiwa kila ifikapo Julai 28 dunia huadhimisha Siku ya Homa ya Ini Duniani, takwimu…
31 July 2024, 18:52
Vumbi lahatarisha afya za wakazi Miganga
Eneo hili la Miganga lipo mita 600 tu kutoka stesheni ya SGR, je, serikali haioni changamoto hii na kuwasaidia wananchi hawa ambao wanaona wametelekezwa?. Na Mindi Joseph. Wakazi mtaa wa Miganga wamelalamika kuathirika kiafya kutokana na adha ya vumbi inayosabishwa…
31 July 2024, 18:22
Kampeni za usafi zawahamasisha wananchi kusafisha mazingira Dodoma
Wananchi wametakiwa kutii sheria bila shuruti kwa sababu sheria ndogo ya usafi katika Jiji la Dodoma inasema mtu asipojitokeza kwenye usafi, asipofanya usafi kwenye eneo lake la makazi, taasisi na biashara, faini yake ni kati ya shilingi 50,000-200,000 au kifungo…
31 July 2024, 17:48
Mpangilio wa maendeleo katika mtaa wa Swaswa
Wataalamu wamekwisha kuwasili kwaajili ya kuanza maboresho mara moja. Na Yussuph Hassan.Na leo moja kwa moja katika kipindi chetu cha FAHARI YA DODOMA tumeangazia moja ya mtaa maarufu unaopatikana jijini Dodoma unaojulikana kwa jina la Swaswa ambao tumekwisha kuona asili…
30 July 2024, 19:46
Rais Samia kuzindua rasmi SGR Dodoma
Ikumbukwe kuwa tangu Treni ianze safari zake Kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma zaidi ya wananchi 900 hadi 1000 wananufaika na usafiri huo. Na Fred Cheti. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani anatarajia kuzindua Rasmi…
30 July 2024, 19:24
Mradi mkubwa wa mapumziko unaotarajiwa kujengwa katika mtaa wa Swaswa
Yussuph Hassani amezungumza na mwenyekiti wa mtaa huo juu ya mradi wa eneo hilo. Na Yussuph Hassan. Tupo mtaa wa Swaswa leo mwenyekiti wa mtaa huo Bw. Charles Nyuma anazungungumzia mradi wa mapumziko ambao unatarajiwa kujengwa katika eneo hilo.
30 July 2024, 19:04
Mitazamo hasi inayowakwamisha wanawake kugombea nafasi za uongozi
CLARA MCHUNGUZI Afisa Miradi kutoka Shirika la Restless Development anaelezea zaidi. Na Mariam Matundu. Bado tunatuzunguza kuhusu uongozi wa serikali za mitaa na leo tunaangazia mitazamo hasi inavyowakwamisha wanawake kugombea nafasi hizo .