Dodoma FM

Recent posts

5 August 2024, 17:29

Washauriwa kujiunga na vikundi kurahisisha upatikanaji wa mitaji

Na Fred Cheti.Wananchi jijini Dodoma wameshauriwa kujiunga katika vikundi mbalimbali ili kurahisha upatikanaji wa Mitaji kutoka taasisi za fedha ili kujikiwamua kiuchumi kupitia shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo na biashara. Kauli imetolewa na katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha…

5 August 2024, 17:05

Utupaji taka ovyo unavyo haribu mazingira

Wananchi wanapaswa kuendelea kutunza mazingira kwa kutotupa taka ovyo, kupanda miti ili kuifanya dunia kuwa mahali salama pa kuishi. Na Mariam Kasawa.Utupaji wa taka ovyo unatajwa kuharibu mazingira kwa kiasi kikubwa kwa kusababisha taka nyingi kusambaa ovyo. Jiji ya Dodoma…

2 August 2024, 18:09

Leo tunatazama asili ya kata ya Kingale

Yussuph Hassan ametembelea Kingale na kuzungumza na wenyeji wa eneo hilo. Na Yussuph Hassan. Kata hii inapatikana katika wilaya ya Kingale leo tutafahamu zaidi wenyeji wa kata hii pamoja na asili ya jina kingale.

2 August 2024, 18:02

Jamii yatakiwa kuacha dhana potofu dhidi ya mafundi

Pamoja na hayo Mafundi wamekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya uchumi, kiufundi na usalama wa Jamii hivyo ni muhimu Mafundi kuwa waaminifu ili kuhakikisha ufanisi na kiridhisha Wateja. Na Witness.Jamii imetakiwa kuachana na dhana potofu juu ya shughuli zinazofanywa…

2 August 2024, 17:45

Taka rejeshi zatajwa kuwanufaisha kiuchumi baadhi ya wananchi

Kumekuwa na marundo mbalimbali ya taka kama chupa za plastiki, makaratasi, chuma, chupa, taka ambazo zinaweza kurejeleshwa na kutumika katka matumizi mengine mbadala na zikaleta faida. Na Mariam Kasawa.Wananchi wametakiwa kutambua kuwa taka rejeshi zikitumika ipasavyo zinaweza kusaidia watu wengi…

2 August 2024, 17:26

Kusuasua kwa huduma ya maji kero kwa wakazi wa mtaa wa Miganga

Mhandisi Aron Joseph anasema bado hawajaweza kufikia 100% ya malengo ya utoaji wa huduma za maji Dodoma lakini mpaka mwisho wa mwaka wa fedha wa 2024/25 watafikia 75%. Na Mindi Joseph.Kusuasua kwa upatikanaji wa huduma ya maji katika mtaa wa…

2 August 2024, 17:09

Muuguzi anayependwa na wananchi wake

Harambee hiyo imefanyika wiki hii kijijini hapo ambapo wananchi hao wameweza kuchanga fedha zaidi ya shilingi milioni nne kwa ajili ya kumnunulia kiwanja muuguzi huyo ili aweze kujenga na kuishi kijijini hapo hata atakapostaafu kazini. Na Bernadetha Mwakilabi.Wananchi wa kijiji…

1 August 2024, 17:33

Tusiwachukie, tuwape watu vitu

Kanisa la Moraviani Ushirika wa Kongwa limeanzishwa mwaka 2008, ni moja ya makanisa madogo wilayani Kongwa. Na Bernadetha Mwakilabi. Imeelezwa kuwa kuishi katika jamii isiyokuwa na upendo ni sababu kubwa inayopelekea dunia kuwa na matukio ya kikatili na mauaji kwa…

1 August 2024, 16:38

Bado tunautazama Mtaa wa Swaswa

Tuna vijana ambao wamepewa mafunzo na inspekta wa kituo cha polisi hapa mtaani hii inasaidia sana kuhakikisha usalama na ulinzi wa hapa. Na Yussuph Hassan.Na leo tena katika kipindi chetu tunaendelea kuangalia ni kwa jinsi gani mtaa huo umebarikiwa mandhari…

1 August 2024, 16:25

Wananchi wapo tayari kujiandika daftari la kudumu la wapiga kura

Uandikishaji wa daftari la Wapiga kura kwa Mkoa wa Dodoma unatarajiwa kufanyia tarehe 11 hadi 17 Desemba mwaka huu. Na Pius Jayunga.Baadhi ya Wakazi wa Dodoma wameeleza kuwatayari kushiriki katika zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la Wapiga ambalo…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger