Dodoma FM

Recent posts

7 August 2024, 18:19

Ardhi iliyo rasimishwa inasaidia kuleta maendeleo

Wizara imeanzisha Kampeni maalumu kwa ajili ya kumsaidia Mwanamke katika umiliki wa Ardhi. Na Fred Cheti.Inaelezwa kuwa Ardhi iliyopangwa, kurasimishwa na kupimwa vizuri inasaidia kwa kiwango kikubwa kuleta maendeleo kwa Wananchi kutokana na kuruhusu shughuli za kiuchumi ndani ya Miji…

7 August 2024, 18:00

Toam yaanzisha mkakati wa kilimo ikolojia hai

Shirika la Kilimo Hai Tanzania Toam lenye makao yake makuu Jijini Dare s salaam limefanikiwa kufungua matawi yake katika maeneo mbalimbali Nchini ikiwemo Mkoa wa Dodoma. Na Shangwe.Shirika la Kilimo Hai Tanzania Toam limeanzisha mkakati wa Kilimo ikolojia Hai Tanzania…

6 August 2024, 18:32

Wananchi Mpamaa wakumbwa na taharuki jiji kugawa ardhi yao

Miongoni mwa maeneo hayo ni pamoja na yale ambayo yametengwa kwa ajili ya shughuli za Kijamii, kama Shule na huduma nyinginezo ikiwemo Soko. Na Mindi Joseph.Wananchi wa Mtaa wa Mpamaa Mkoani Dodoma wameshagazwa kwa kitendo cha Mamlaka ya Jiji kugawa…

6 August 2024, 17:50

Miradi ya serikali iwanufaishe wananchi wa kawaida

Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa halmashauri ya jiji ambapo kilikuwa kikao cha taarifa cha mwaka na kuhudhuliwa na madiwani kutoka kata za jiji la Dodoma. Na Mariam Kasawa.Viongozi wametakiwa kuhakikisha miradi inayo anzishwa na serikali inawapatia fursa na…

6 August 2024, 17:30

Ifahamu ngoma aina ya Mambala inayochezwa na Warangi

Tunayo ngoma kwaajili ya wanawake ambao hawajaweza kupata watoto walichezewa ngoma ya mambala. Na Yussuph Hassan.Yapo mafanikio ambayo watu wa kata ya Kingale wanayafurahia lakini bado hawasahau mila na tamaduni zao ambazo wanazienzi japokuwa kuna maendeleo mengi ya kisayansi na…

6 August 2024, 17:04

Uwezeshaji wanawake ni chachu ya kuwainua kiuchumi

Uwezeshaji wa Wanawake kiuchumi ni muhimu kwa haki za Wanawake, kwa Ustawi, Ushawishi, Mamlaka, na usawa wao. Na Fred Cheti.Uwezeshaji Wanawake kiuchumi unaofanywa na Serikali, Wadau, pamoja na Familia, unatajwa kuwa moja ya chachu inayoweza kuwainua Wanawake kimaendeleo katika Jamii.…

5 August 2024, 18:21

Miradi yatakiwa kuhusishwa na tathmini za mazingira

Wananchi wanaendelea kuhimizwa kutunzwa Mazingira ili yawatunze kwa kuepuka kufanya shughuli zinazoathiri Mazingira ikiwemo Kilimo na Ufugaji wa kuhama hama. Na Mariam Kasawa.Miradi mikubwa ya Kilimo endelevu inayoanzishwa imetakiwa kuhusishwa na tathmini za utunzaji wa Mazingira. Kilimo kinatajwa kusaidia upatikanaji…

5 August 2024, 18:00

Leo tunaangazia maendeleo katika kata ya Kingale

Wakazi wa eneo hili asili yao ni kabila la warangi kupitia fahari ya Dodoma tutafahamu asili ya kabila hili la warangi. Na Yussuph Hassan. Kata ya Kingale kwasasa imekuwa na mabadiliko makubwa tofauti na kipindi cha nyuma kwani kwa sasa…

5 August 2024, 17:44

Upatikanaji wa maji Vikonje waimarika

Wanasema mwanzoni walikuwa wanapata maji yasiyo salama kutoka vyanzo visivyosahihi ila kwa sasa changamoto hiyo imepata suluhu kupitia mradi wa maji. Na Mindi Joseph.Upatikanaji wa Maji safi na salama katika Mtaa wa Vikonje A Kata ya Mtumba Mkoani Dodoma umeimarika…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger