Recent posts
31 July 2024, 17:48
Mpangilio wa maendeleo katika mtaa wa Swaswa
Wataalamu wamekwisha kuwasili kwaajili ya kuanza maboresho mara moja. Na Yussuph Hassan.Na leo moja kwa moja katika kipindi chetu cha FAHARI YA DODOMA tumeangazia moja ya mtaa maarufu unaopatikana jijini Dodoma unaojulikana kwa jina la Swaswa ambao tumekwisha kuona asili…
30 July 2024, 19:46
Rais Samia kuzindua rasmi SGR Dodoma
Ikumbukwe kuwa tangu Treni ianze safari zake Kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma zaidi ya wananchi 900 hadi 1000 wananufaika na usafiri huo. Na Fred Cheti. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani anatarajia kuzindua Rasmi…
30 July 2024, 19:24
Mradi mkubwa wa mapumziko unaotarajiwa kujengwa katika mtaa wa Swaswa
Yussuph Hassani amezungumza na mwenyekiti wa mtaa huo juu ya mradi wa eneo hilo. Na Yussuph Hassan. Tupo mtaa wa Swaswa leo mwenyekiti wa mtaa huo Bw. Charles Nyuma anazungungumzia mradi wa mapumziko ambao unatarajiwa kujengwa katika eneo hilo.
30 July 2024, 19:04
Mitazamo hasi inayowakwamisha wanawake kugombea nafasi za uongozi
CLARA MCHUNGUZI Afisa Miradi kutoka Shirika la Restless Development anaelezea zaidi. Na Mariam Matundu. Bado tunatuzunguza kuhusu uongozi wa serikali za mitaa na leo tunaangazia mitazamo hasi inavyowakwamisha wanawake kugombea nafasi hizo .
30 July 2024, 18:46
RC Senyamule: Maonesho ya nanenane Dodoma yatakuwa ya kipekee
Mkuu wa Mkoa ametumia nafasi hiyo kuwaalika watu kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi kushuhudia upekee wa maonesho hayo. Na Seleman Kodima. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewahakikisha wakazi wa Dodoma kuwa maonesho ya Nanenane kitaifa…
30 July 2024, 18:26
NIRC yatarajia kuchimba visima 60,000 nchini
Mpango huu unalenga kuwa na visima vyenye uwezo wa kuhudumia wakulima na umelenga kuinua sekta ya Kilimo cha Umwagiliaji na kuchochea ukuaji wa uchumi nchini. Na Mindi Joseph. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kupitia Wizara ya Kilimo inatarajia kuchimba…
29 July 2024, 20:07
Jamii yaomba elimu zaidi ugonjwa wa homa ya ini-Makala
Jamii imetakiwa kuchukua tahadhari na kupata vipimo au chanjo. Na Steven Noel.Jamii imeombwa kuendelea kuelimishwa juu ya ugonjwa wa homa ya ini ili iendelee kuchukua tahadhari na kupata vipimo au chanjo. Akiongea na Dodoma FM daktari bingwa na mbobezi wa…
29 July 2024, 19:53
Umeme wa REA waimarisha huduma za afya Hombolo Bwawani
Mikoa mingine inayotekelezwa na mradi huo ni Mwanza, Kagera, Simiyu, Arusha, Pwani, Lindi na Mtwara. Na Mindi Joseph.Baadhi ya Wananchi kutoka katika Mitaa ya Kolimba na Hombolo Bwawani Kata ya Hombolo Jijini Dodoma wamesema uwepo wa huduma ya Umeme wa…
29 July 2024, 19:32
Zipi sifa za kiongozi bora wa serikali za mitaa?
Na Mariam Matundu.Tupo na Clara Mchunguzi kutoka shirika la Restless development anatueleza zaidi kuhusu sifa za kiongozi bora wa serikali ya mtaa.
29 July 2024, 19:18
Jamii yatakiwa kudumisha kampeni ya mtu ni afya
Ikumbukwe kuwa kampeni ya Mtu ni Afya yenye kaulimbiu inayosema Fanya kweli, Usibaki nyuma ilizinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango tarehe 9 Mei, 2024 . Na Mariam Kasawa.Wananchi wametakiwa kuendelea…