Recent posts
16 August 2024, 13:26
Tumieni sherehe za jando kufundisha maadili na tamaduni za kitanzania
Sherehe hizo ni sehemu pekee ya kuwamsaidia Kijana kupata ufahamu wa namna ya kukabiliana na changamoto za Maisha katika siku za usoni. Na Kadala Komba.Wakazi wa Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma wametakiwa kuzitumia Sherehe za Jando kwa Watoto wa kiume…
16 August 2024, 11:40
Elimu ya matumizi sahihi ya ardhi yawanufaisha vijana
Mitazamo hasi ya baadhi ya vijana katika umiliki na matumizi sahihi ya ardhi umepeklekea vijana wengi kuamini kuwa inahitajika uwe na pesa nyingi ili kumiliki ardhi jambo ambalo wadau wanasema si kweli ardhi inaweza kutumiwa na kumilikiwa na kila mtu…
15 August 2024, 18:22
Kazi ya ushonaji kofia ilivyorithishwa kwa watoto Kingale
Anatueleza shughuli hii ilivyomsaidia katika maisha yake na kuwalea watoto wake hadi wamefikia umri wa kujitegemea. Na Yussuph Hassan.Bado tunatazama ufundi wa kofia hapa kata ya Kingale ambapo mzee Ramadhani ametujuza mengi tokea alipoanza kazi hadi kuwarithisha vijana wake ujuzi…
15 August 2024, 18:09
Nafasi ya wadau katika upatikanaji wa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana
Bado tupo na Dkt Fransic Andrew kutoka Hospitali ya Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) hapa anatueleza zaidi. Na Seleman Kodima.Leo tunaangazia nafasi ya wadau katika kuhakikisha wanafanikisha suala la upatikanaji wa elimu ya afya ya uzazi kwa…
15 August 2024, 17:58
Mwenyekiti baraza la vyama vya siasa azungumzia kazi ya baraza hilo
Khatibu amesema kitendo cha kuhudhuria viongozi na wajumbe wa baraza katika tukio hilo ni ishara wapo tayari kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Na Seleman Kodima.Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Juma Ali Khatibu amesema kazi kubwa…
15 August 2024, 17:44
Wakazi Mchito watatuliwa kero ya maji
Baadhi ya wananchi hao wametoa shukrani zao za dhati kwa shirika hilo kwani kupitia msaada wa kisima kirefu cha maji kimepelekea wananchi kujikita na kilimo cha umwagiliaji. Na Victor Chigwada.Wananchi wa kijiji cha Mchito wametoa shukrani kwa wadau na wahisani…
15 August 2024, 17:29
Serikali yatangaza rasmi uchaguzi wa serikali za mitaa
Uchaguzi wa mwisho wa Serikali za Mitaa ulifanyika mwezi Novemba mwaka 2019, hivyo, uchaguzi mwingine unatakiwa kufanyika Novemba, 2024. Na Seleman Kodima.Serikali imetangaza kuwa terehe 27 Novemba mwaka huu uchaguzi wa serikali za mitaa utafanyika Tanzania Bara. Tangazo hilo limetolewa…
14 August 2024, 18:42
Vijana watakiwa kuhakikisha wanapata elimu ya afya ya uzazi
Elimu ya afya ya uzazi kwa vijana ina umuhimu mkubwa kwa jamii katika kujiletea ustawi wake. Na Witness Obeid.Vijana waliopo masomoni wametakiwa kuhakikisha wanapata elimu ya afya ya uzazi kutokana na wengi wao kupata mabadiliko wakiwa bado masomoni. Akizungumza na…
14 August 2024, 18:10
Mazingira rafiki ya elimu yanavyosaidia kupunguza mimba za utotoni
Leo tumezungumza na Mwl Shaban Kijoji ,mratibu elimu kata ya Mbabala na katibu wa maafisa Elimu halmashauri ya jiji la Dodoma kuhusu suala hili na hapa anaanza kwa kuelezea sera inaelezaje kuhusu Mazingira Rafiki ya kupata elimu kwa Msichana ili…
14 August 2024, 17:46
DC Kongwa: Simamieni lishe kuzuia utapiamlo
Fedha zilizopangwa kutumika katika kutekeleza afua za lishe ni shilingi 27,183,940.14 sawa na asilimia 91.83 ya fedha zilizotumika kwa ajili ya chakula shuleni na kutekeleza siku ya afya ya lishe vijijini ambapo vijiji 87 na mitaa 28 vilishiriki kikamilifu .…