Recent posts
21 August 2024, 18:25
Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya REA watakiwa kufanya kazi kwa uadilifu
Picha ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko akizungumza katika hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya utekelezaji wa Miradi wa Kupeleka Umeme katika vitongoji 3,060 (15 kila Jimbo) jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Nishati. Vitongoji takribani…
21 August 2024, 18:14
Ally Kamwe apewa kazi PPRA
Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki limebeba kauli mbiu isemayo (Matumizi ya Dijitali kwa Ununuzi wa Umma Endelevu) ambapo litahusisha mataifa mbalimbali kutoka ukanda wa afrika mashariki . Na Selemani Kodima Kuelekea kufanyika kwa kongamano 16…
20 August 2024, 18:31
Naibu PM azindua mwongozo usimamizi wa huduma za majitaka, tope kinyesi
Picha ni Mwakilishi wa Mgeni Rasmi katika kongamano la kwanza la kitaifa la Usafi wa Mazingira 2024 ,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu) William Lukuvi. Picha na Selemani Kodima. Wizara ya Maji kwa kushirikiana na Ofisi…
20 August 2024, 17:27
Rais Samia awataka wazazi, walezi kuimarisha malezi kwa watoto
Picha ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Unguja, Zanzibar .Picha na Ikulu. Uimarishaji wa…
20 August 2024, 17:17
Serikali kuhakikisha zabibu inapata soko la uhakika
Na Fred Cheti Upatikanaji wa soko la uhakika wa zao la zabibu mkoani Dodoma unatarajia kuongeza tija na chachu kwa wakulima wa zao hilo kutokana na jitihada zinazoendelea kufanywa katika kuimarisha uzalishaji wa zao hilo. Hii ni baada ya kauli…
20 August 2024, 16:55
TANESCO Kufanya maboresho ya mfumo wa mita Kanda ya Kati na Kaskazini
Zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za LUKU limeshafanyika katika kanda tofauti hapa nchini ambapo ukomo wa zoezi hilo ni Novemba 24 mwaka huu. Na Selemani Kodima. Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limesema linatarajia kufanya maboresho ya mfumo wa…
17 August 2024, 15:58
Makamu wa rais kufanya ziara ya siku tatu Dodoma
Dkt Philip Mpango ataanza ziara yake mkoani Dodoma tarehe 19 mwezi huu hadi tarehe 21 mwezi nane kwenye wilaya za Chamwino ,Bahi ,Mpwapwa,Kongwa ,chemba na Kondoa. Na Seleman Kodima.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Dkt. Philip Isdory…
16 August 2024, 14:40
Mchango wa wazazi ,walezi, jamii kuhakikisha uwepo wa mazingira rafiki ya kupata…
Leo tunakupa Taarifa hiyo yenye kuonesha umuhimu wa kuchagia ujenzi wa Mabweni kwa ajili ya kupunguza changamoto hiyo ambayo inachangia kupoteza ndoto za mabinti wengi. Na Seleman Kodima.Ikumbukwe Mazingira rafiki kwa Mtoto wa kike kupata elimu yamezidi kuwa changamoto ya…
16 August 2024, 14:12
Biashara ya kofia inavyowanufaisha wafanyabishara
Leo tuna hitimisha fahari ya Dodoma katika kata ya Kingale wilayani Kondoa kwa kutazama jinsi watengenezaji wa kofia hizi wanavyo nufaika kibiashara. Na Yussuph Hassan. Bi.Mwajuma Omary yeye hununua vitambaa vya kofia hizi kwa mzee Juma nakwenda kuzishona hapa anasimulia…
16 August 2024, 13:51
Nini kifanyike TASAF iwafikie walengwa sahihi?
Dodoma TV Imepita Mtaani Kuzungumza na baadhi ya hapa Wananchi Jijini Dodoma kuhoji je nini kifanyike ili wanufaika wa Mfuko huo wawe ni walengwa sahihi. Na Fred Cheti.Kulingana na Takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS asilimia nane ya…