Recent posts
16 January 2025, 15:44
Serikali yarejesha tabasamu kwa wakazi wa Mlazo
Pamoja na Kuhamasisha, kulinda na kurejesha Afya na Ustawi wa Jamii kwa kuzingatia na mipango sahihi, ya kufikia maendeleo endelevu ya Afya ya Jamii. Na Victor Chigwada.Tabasamu limerejea kwa wananchi wa kijiji cha Mlazo wilayani chamwino baada ya serikali kuboresha…
16 January 2025, 15:23
TAKUKURU Kiteto waokoa mwanafunzi asiolewe
Dodoma FM imezungumza na mama wa mtoto ambaye anadai kuwa hawezi kumsomesha mtoto huyo. Na Kitana Hamis.Kwa mujibu wa mwanafunzi huyo, ameieleza Dodoma FM kuwa mama yake tayari alipokea mahari ili kumwozesha binti huyo ambapo binti huyo aliamua kuomba msaada…
15 January 2025, 17:09
Tunawezaje kudhibiti ukatili wa kijinsia mahala pa kazi?
Mwandishi wetu Alfred Bulahya ametuandalia kisa kuhusu shujaa aliyemsaidia mhanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia mahala pa kazi. Na Seleman Kodima.Umoja wa Mataifa, unafafanua kuwa ukatili wa kijinsia ni kitendo chochote anachofanyiwa mtu yeyote awe mwanamke, mwanaume au mtoto,…
15 January 2025, 16:45
Wazazi na walezi watakiwa kutimiza wajibu kwa watoto wao
Ajenda ya maendeleo ambayo inalenga kuhakikisha kwamba “hakuna anaebaki nyuma,”ikiwa ni pamoja na ahadi ya kuhakikisha elimu jumuishi na bora kwa wote. Na Seleman Kodima.Imeelezwa kuwa ili kuvishinda vikwazo vinavyomkwamisha mtoto wa kike kusoma na kutimiza malengo yake ni wazazi…
15 January 2025, 16:14
Wananchi Muungano walalamika kufanyishwa usafi katika zahanati
Licha ya ukubwa wa kijiji cha Muungano lakini zahanati hiyo ina watumishi wawili ingawa kwasasa imebaki na mtumishi mmoja kutokana na mtumishi mwingine kuwa likizo. Na Victor Chigwada .Wananchi kijiji cha Muungano wamelalamikia kufanyishwa usafi katika zahanati inayopatikana kijijini hapo…
14 January 2025, 14:49
Wagonjwa wa kifua kikuu watambuliwe mapema ili kuepusha maambukizi zaidi
Kikao hicho maalum ni utekelezaji wa mpango harakishi wa kuibua wagonjwa wa kifua kikuu katika halmashauri 76 za mikoa 9. Na Seleman Kodima.Katibu tawala mkoa wa Dodoma Kaspar Mmuya amesema ipo haja ya kuwatambua wagonjwa wa kifua kikuu mapema ili…
14 January 2025, 12:40
Gari la wagonjwa kuondoa kero ya usafiri wa dharula Chifutuka
Awali Wananchi wa Kijiji cha Chifutuka walilazimika kukodi magari binafsi na kusafiri umbali wa zaidi ya kilomita 90 hadi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ujio wa gari hilo umekuwa ahueni ya kupata tiba katika vituo na hospital za…
14 January 2025, 11:47
Vijana 420 kushiriki mrapi wa BBT awamu ya pili
Hata hivyo amesema maandalizi kwa ajili ya kiwapokea vijana hao yamekamilika ambapo alisema katika shamba hilo kila kitu ambacho kinahitajika kwa ajili ya kilimo kipo kwa ajili ya kuanza uzalishaji. Na Selemani Kodima.Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeanza kuwapokea vijana…
13 January 2025, 16:39
Wananchi Ihumwa wapewa tahadhari mlipuko wa kipindupindu
Picha ni vimelea vya Kipindipindu .Picha na Google. Hayo yameelezwa na Katibu Kata wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndg.Lazaro Chiswagala alipo kuwa akiongea na waumini wa kanisa la MT.Joseph Ihumwa Na Victor Chigwada .Wananchi wa mtaa wa Ihumwa A wapewa…
13 January 2025, 16:12
Wananchi Dosidosi waharibu miundombinu ya maji
Wananchi hao wameiomba serikali kufuatilia mabomba yaliyo katwa ili kutatua kero ya maji kijijini hapo. Na Kitana Hamis.Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Dosidosi Wilayani Kiteto Mkoani Manyara Wamedaiwa Kuhujumu Miradi ya Maji wazaidi ya sh: milioni Mianne (400) kwa…