Recent posts
19 February 2025, 15:32
Akata bomba la Duwasa kwaajili ya kumwagilia Bangi
Kwa mujibu wa taarifa ,Mtuhumiwa huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi huku Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma ikiendelea na kampeni ya usitishaji wa huduma ya maji kwa wateja ambao ni wadaiwa sugu. Mamlaka ya Majisafi na Usafi…
18 February 2025, 19:43
Shule 265 zapokea shilingi 401 milioni mradi wa Kiufunza
Dira ya mpango huu ni kuhakikisha watoto wote nchini Tanzania wanaweza kusoma na kuhesabu kufikia umri wa miaka 10. Na Seleman Kodima.Wakuu wa shule na walimu wa masomo katika shule 265 za msingi katika mikoa 11 hapa nchini wamepokea jumla…
18 February 2025, 19:17
Sekta ya michezo yapiga hatua
Katika hatua Nyingine ameitaja mikakati ya serikali iliyopo katika kuendelea kuikuza sekta ya michezo nchini. Na Alfred Bulahya.Kufuatia Serikali Nchini kuiongezea Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo bajeti ya fedha kutoka shilingi bilioni 35.44 mwaka 2021/2022 hadi shilingi bilioni…
18 February 2025, 18:39
Waziri Pinda aunda tume kuchunguza mgogoro wa ardhi
Miongoni mwa walio Hudhuria Mkutano huo nipamoja na Wananchi wa Vijiji vya Wilaya ya Chemba. Na Kitana Hamis.Naibu waziri wa Ardhi Mh Geofrey Pinda ameunda tume ya kuchunguza mgogoro wa ardhi wilayani Kiteto uliodumu kwa muda mrefu. Awali wenyeviti wa…
17 February 2025, 18:13
Serikali yakamilisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 1,365.87
Serikali imepanga Kutenga asilimia kumi (10%) ya bajeti ya kila mwaka kwa ajili ya Miradi ya mafunzo kwa vitendo kwa Makandarasi Wazawa. Na Alfred Bulahya.Serikali kupitiwa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imekamilisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa jumla ya…
12 February 2025, 16:53
Dhana potofu yakwamisha wasichana kusoma sayansi
Ikumbukwe kuwa Ushiriki wa wanawake na wasichana katika sayansi, teknolojia, uhandisi, hisabati bado ni mdogo licha ya juhudi za wadau katika eneo hilo. Na Seleman Kodima.Dhana Potofu imetajwa kuendelea kuwa kikwazo kinachokwamisha juhudi za wanawake na wasichana kusoma masomo ya…
12 February 2025, 16:30
Kwanini ndoa huvunjika mara kwa mara?
Inaelezwa kuwa ndoa nyingi zimekuwa zikivunjika mara kwa mara na kupelekea madhara makubwa kwenye jamii. Na Kitana Hamis.Wananchi Wilayani Kiteto mkoani Manyara wameeleza sababu zinazo pelekea kuvunjika kwa ndoa Mara kwa mara. Baadhi ya Wananchi Wilayani Kiteto wameeleza sababu mbali…
12 February 2025, 15:36
Usalama mtandaoni kupanua wigo wa watumiaji
Siku ya usalama mtandaoni duniani huadhimishwa Jumanne ya pili ya mwezi Februari kila mwaka ambapo ni mpango wa kimataifa ulionzishwa mwaka 2004. Na Seleman Kodima.Imeelezwa kuwa Usalama wa mtandaoni ukiimarishwa utasaidia kujenga imani kwa watumiaji wengi na kupanua wigo wa…
11 February 2025, 18:14
Waandishi watakiwa kutoa elimu kwa jamii kuhusu marburg
Mafunzo ya waandishi wa habari katika radio za kijamii yamendaliwa na mtandao wa radio jamii,serikali ya mkoa wa kagera pamoja na wizara ya afya ambapo yanafanyika siku 3 kuanzia tarehe 10 ,12,2025 katika manispaa ya Bukoba. Na Benard Filbert.Waandishi wa…
11 February 2025, 17:41
Madereva bodaboda 759 wafariki kati ya mwaka 2022 na 2024
Mbali na vifo vya madereva hao, Sillo amesema kuwa wananchi wa kawaida 283 pia wamefariki dunia kutokana na ajali za bodaboda katika kipindi hicho. Na Lilian Leopord.Jumla ya madereva bodaboda 759 wamefariki dunia kutokana na ajali kati ya mwaka ya…