Recent posts
11 February 2025, 17:14
Wananchi Kiteto wataka bajeti itatue changamoto za afya, elimu
Rasimu hii ya Bajeti imepitishwa kutumika Elfu Mbili na ishirini na Tano (2025) ishirini na Sita(2026). Na Kitana Hamis.Wananchi wilayani Kiteto wameishauri Bajeti ya zaidi ya shilingi billioni 38 iliyopitishwa na Baraza la madiwani itatue changamoto zinazo wakabili katika sekta…
10 February 2025, 18:12
Akamatwa kwa kusafirisha dawa za kulevya
Jeshi polisi Mkoa wa Dodoma limetoa onyo kwa wote wanaojihusisha na uhalifu na kutoa wito kwa wananchi kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi yao. Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia kijana anaefahamika kama Omar Bakari…
10 February 2025, 17:49
Wananchi waomba uwepo wa nyumba salama
Idadi kubwa ya wakazi wa eneo hili ni wafugaji wanakaa maeneo ya pembezoni ambapo ni vigumu kupata taarifa. Na Kitana Hamis.Wananchi wilayani Kiteto Mkoani Manyara waiomba serikali kuwajengea nyumba salama waathiriwa wa vitendo vya ukatili. Wakizungumza na Dodoma Tv Wananchi…
7 February 2025, 17:17
Akutwa amejinyonga kwenye kingo za mto
Wananchi wa Eneo hilo walipata wasaa wa Kuzungumza na Dodoma Tv Juu ya Tukio hilo. Na Kitana Hamis.Mwanamke Mmoja ambaye Hajafahamika jina lake anadaiwa kujinyonga hadi kufarikia dunia Wilayani Babati Mkoani Manyara. Nitukio la kutatanisha ambapo limetoke katika mtaa wa…
7 February 2025, 16:15
Mkandarasi uchimbaji visima atakiwa kukamilisha kazi kwa wakati
Mradi huo unatarajia kunufaisha wakulima 27,600 nchi nzima, huku kila Halmashauri ikitarajiwa kupata visima kumi(10). Na Mariam Kasawa.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule amemtaka Mkandarasi wa kuchimba visima vya umwagiliaji katika Mkoa huu, kuhakikisha kuwa anakamilisha mradi huo…
7 February 2025, 15:58
Wananchi watakiwa kuona fursa kwenye uchumi wa kidigitali
Ikumbukwe kuwa Shindano hili la Masuala ya Usalama Mtandaoni’ yaan CyberChampions 2025 linaratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa lengo la kuibua, kuimarisha na kukuza uwezo kwa vijana kukabili vihatarishi vya usalama mtandaoni na kushiriki kikamilifu kwenye uchumi wa…
7 February 2025, 15:34
Dkt Jafo atangaza ukomo wa msimu wa manunuzi WRRB
Mfumo wa stakabadhi wa Ghala umeendelea kuimarika zaidi kwani Msimu wa 2024/25. Na Mariam Kasawa.Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Seleman Jafo ametanganza ukoma wa msimu wa manunuzi ya mfumo wa stakabadhi wa Ghala Msimu wa 2024/25 na kuanza kwa…
6 February 2025, 16:58
‘Wanaume washirikishwe mapambano dhidi ya ukatili’
“Wanaume wangeshirikishwa kikamilifu kupinga vitendo vya ukatili ikiwemo ukeketaji vigeisha.” Na Kitana Hamis.Wananchi wilayani Kiteto wameitaka serikali kuwashirikisha wanaume zaidi katika mapambano ya vitendo vya ukatili ili yaweze kupungua. Wakizungumza na Dodoma Tv baadhi ya wananchi wilayani Kiteto mkoani Manyara…
6 February 2025, 15:10
Wananchi wasifia huduma za afya BMH
Prof. Abel Makubi amesema wanatamani sasa hospitali ya Benjamin Mkapa iwe hospitali ya taifa. Na Mariam Kasawa.Wananchi wametakiwa kuendelea kujitokeza na kupata huduma ya matibabu katika hospitali ya Benjamini Mkapa ambayo ni hospitali ya kibingwa . Hayo yamesemwa na Spika…
5 February 2025, 12:57
Wananchi wilayani Kiteto waeleza changamoto zao kilele wiki ya sheria
Mashauri yanayokwenda kwa viongozi na yanashidwa kushughulikiwa mwisho siku yanakaa mda mrefu . Na Kitana Hamis.Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kiteto Boniface Lemwita ambaye pia alikuwa Mgeni rasim katika kilele cha Mazimisho ya Sheria wilayani Kiteto anasema Miongoni mwa…